kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Komando kipen

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  3. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mitandao ya kijamii ya mtu kwa kupitia picha yake.?

    Kuna some people nimepoteza contacts zao ila nina picha zao nahitaji kuwapata kupitia facial recognition
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata Proof of Residence

    Habari wana Jf Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Siku za hivi karibuni freelancer . com wamedili sera zao ku withrawal fedha kwa njia ya Bank mpaka ufanye Address verification MNimejaribu kutumia option ya bank statement Ya CRDB unfortunately wameikataa Kutokana na uhalisisa kua Format...
  6. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hata mchepuko ana ndoto ya kupata bwana aliyetulia na muelewa" Yani mwanadamu lazima ajivutie kwa upande wake hata kama yeye havutiki

    Namiini Shetani hajiiti shetani kama tunavyomuita huku, anajiita lucifer ingawa ana matendo ya kishetani. Ni kwa kiasi gani mwanadamu ni mnafiki? Sometimes tuna stahili yanayotukuta kwa maana sisi wenyewe ndio ma-engineer wa vituko hivyo. Umekula wake za watu weeeeh sasa unataka kuoa at 37 na...
  8. Strong25

    JamiiForums Tanzania KUPATA BLUE TICK

    #habarini humu naomba kujua nivipi naweza pata blue tick
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza tokea kupata uhuru kuna raia wa msumbiji ambao walikuwa sio raia Zanzabar?

    Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
  10. bestboy

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Common Interface adapter ya Samsung TV?

    Habari zenu wanajf. Nahitaji msaada wa kupata kifaa kwa ajili ya matumizi ya camcard kwa samsung tv. Kuna port nyuma ya TV lakini inahitaji adapter ili kupokea Camcard. Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kupata kwa hapa Dar nitashukuru kupata mawasiliano yao. Asanteni.
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uiengereza yasema itaingilia kati kuikoa India baada ya kupata hasara kubwa siku ya mwanzo tu ya vita

    Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana Uiengereza ina wajibu wa kufanya hivyo ikijua kwa sasa haina uwezo kuisaidia India wakati yenyewe...
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  13. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kama una kipaji cha U Mc na haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako waone Maduskodusko Entertainment. Wana manage Ma Mc ( Washereheshaji)

    Wewe una kipaji cha U Mc( Ushereheshaji?) Haujui jinsi ya kupata kipato kupitia kipaji chako? Kama jibu lako ni NDIO basi hii ni HABARI NJEMA Sana kwako. Maduskodusko Entertainment Promotion tuna manage Ma Mc wenye vipaji kwa kuwatafutia events mbalimbali za Ku perform ndani na nje ya jiji la...
  14. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Miezi hii miwili ni ya muhimu sana ili kupata maridhiano ya kisiasa

    Hii miezi miwili. May na June 2025, ni miezi ya kuombea amani ya nchi, uvumilivu, na kubwa kuliko yote ni kuanza maridhiano kati ya jamii na hasa kisiasa. Tuliyoyaona katika kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita yanasikitisha na kuashiria kupotea mshikamano wa wananchi wa Tanzania. Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kupata hati ya kiwanja

    Natumaini nyote wazima, naomba kujua gharama za kupatata Hati ya kiwanja ambacho kimeshapimwa na kupatiwa block number, kiwanja kipo chanika. Au kama kuna mtu anaweza nisaidia nikapata nitashukuru Natanguliza shukrani
  16. T

    JamiiForums Tanzania IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  18. Sumbaye

    JamiiForums Tanzania Taifa linalodharau elimu ya juu haliwezi kupata maendeleo.

    Kwa miaka ya karibuni zimesikika kauli mbali mbali kutoka kwa viongozi wa serikali juu ya wahitimu wa vyuo vikuu Tanzania kwamba elimu yetu ni ya kukariri, elimu yetu inazalisha graduates wasioendana na soko la ajira, na baadae tukasikia wahitimu wajiajiri. Bado haikutosha, tukasikia hivi...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ninavyosaidia brand za afya kupata wagonjwa wengi na mauzo zaidi kupitia victoria agency

    NINAVYOSAIDIA BRAND ZA AFYA KUPATA WAGONJWA WENGI NA MAUZO ZAIDI KUPITIA VICTORIA AGENCY. Unajua changamoto kubwa ya biashara za afya? Dawa nyingi za asili Herbal medicine zinasaidia sana watu wengi wanapona kwa gharama ndogo sana. Nimefanya kazi na brand za afya, Ila 👇👇 Unakuta mtoa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
Back
Top Bottom