Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?.
Naomba hili swali nijibiwe na...
Hello Fellas
Nataka kuchukua passport kwa ajili ya matumizi ya baadae
Changamoto inakuja kwenye barua ya uthibitisho wa safari
Sina invitation letter nataka kuwa na passport in case anything happen natembea ughaibuni
Naombeni njia za kupata barua ya uthibitisho aiseee.
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui.
Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini.
2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
Wakulungwa. Swali langu ni km nilivyouliza. Km mtu ana router na hana line. Kuna uwekano wwt wa kupata line ambayo itakua na vifurushi maalum kwa ajili ya router husijka?
'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza.
Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
Habarini
Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti
Tokea nijenge nina mwaka sasa
Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba
Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae
Thanks
Nyaraka Muhimu za Kuambatisha
Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa:
Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi.
Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni.
Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja
Inatambulisha biashara yako kama halali.
2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika.
3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali.
4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani.
Baada ya barua ya...
Kiko wapi Sasa!!?
Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!?
Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo)
Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa.
Binafsi nakubaliana na huu...
Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi.
Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule
Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.