kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba mkoa wa arusha

    Habarini Nimepata makazi apa mkoa wa arusha maeneo ya olasiti Tokea nijenge nina mwaka sasa Nilikuwa naomba msaada jinsi gani ya kupata hati ya nyumba Kama mtu ana mtu huku aliopo kwenye hiyo mission anisaidie kuniunga nae Thanks
  2. JamiiForums Tanzania VIGEZO VYA KUPATA LESENI YA BIASHARA

    Nyaraka Muhimu za Kuambatisha Unapoomba leseni ya biashara, utatakiwa: Kuwasilisha TIN (Taxpayer Identification Number) kutoka TRA ili kuthibitisha kuwa umejiandikisha kama mlipa kodi. Kama ni kampuni, jumuisha cheti cha usajili wa kampuni. Onyesha mkataba wa pango kama biashara ipo eneo la...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Leseni ya Biashara ya Duka la fremu

    Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja Inatambulisha biashara yako kama halali. 2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika. 3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali. 4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya Polepole kuimarisha uongozi nchini ni kujiunga na Chadema au ACT Wazalendo kama mgombea uraisi asaidie kupata wabunge wengi wa upinzani

    Huko nyuma niliwahi kupendekeza kwamba ni vema Raisi Samia ajitoe kuwa mgombea Uraisi na kumwachia Polepole apambane na Lissu, kwa sababu uwepo wa Samia katika nafasi yake unaleta migongano mikubwa ambayo pia inatishia kuanzushwa uhasama kati ya Tanzania bara na Visiwani. Baada ya barua ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tulishasema kwamba Tanganyika aikumwaga damu kupata uhuru wake, ila hiyo sio sababu kwamba watanganyika hawawezi kuipigania nchi Yao. Kiko wapi Sasa!!

    Kiko wapi Sasa!!? Mama, mama, sasa anavuliwa nguo mchana kweupe!? Ajabu badala ya kutulia (kuchutama) ili aone anajistiri vipi yeye atatoka mbio kumkimbiza aliemkwapulia nguo. (Namaanisha Sasa taarabu inaandaliwa kuja kumpasha mkimbizi wa nguo) Sasa ataendelea kutoa mipasho au kuua watanganyika...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  7. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa?

    Kama kuna mtu amewahi kupata mwenza kupitia hili jukwaa alete ushuhuda hapa
  9. JamiiForums Tanzania Picha: Iran yaonyesha namna inaweza kutumia nyuklia kuifuta Israel, hivyo inapaswa kupigwa kila inapojaribu kupata nyuklia

    Mshauri mkuu serikalini aonyesha picha ya namna ya kuifuta Israel kwa kutumia mabomu mawili ya nyuklia, hizi ndio sababu kwa nini hao magaidi wa waislamu hawapaswi kumiliki silaha zozote zenye maangamizi makubwa, maana adhimio lao kuu huwa kumaliza Wayahudi. Kila wakipanga kujihami kwa nyuklia...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata ajira ya kueleweka

    Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Janeth Rithe: Msitegemee kupata huduma bora za afya

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Rithe, amewaambia wakazi wa Jimbo la Tunduru Kusini Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, kuwa wasitegemee kupata huduma bora za afya kwakuwa Chama Cha Mapinduzi hakijali matatizo ya wananchi hivyo dawa pekee ya kuboresha huduma zote za kijamii...
  12. JamiiForums Tanzania Mliowahi kupata kazi remotely job mlifanyaje

    Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu...
  13. JamiiForums Tanzania Je Israel wana hitami kupata Ndege-vita ya kimkakati B-2.?

    Je Israel wanataka Ndege vita za kimkakati B-2? Netanyahu: Bila shaka tungependa kuwa nao! Lakini tunashukuru msaada wote tunaopokea kutoka Amerika.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Yezebeli kupaka wanja na kujipamba baada ya kupata habari za uhaini, aliutoa wapi?

    Salaam, Shalom! Mnasema wanaume ni majasiri, kuna mwanamke mmoja aliishangaza Dunia. Mchawi huyu alikuwa mke wa Mfalme Ahabu, alikuwa mchawi sugu, alikuwa amemtia limbwata mfalme, Mchawi huyu akauwa manabii wote nchini pake manabii wa Mungu aliye hai, waliopona kuuwawa walifichwa mapangoni...
  15. JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi vitabu original vya Torati, Zaburi na Injili ambavyo havijapotoshwa/kuchakachuliwa?

    Inasemekana kwamba hivi vitabu vya sasa vya Taurat, Injil na Zabur wanavyotumia Wakristo ni nakala zilizopotoshwa na kuchakachuliwa na wajanja kwa kuingiza mambo yao. Ni wapi vinakopatikana vitabu original/halisi ambavyo havijachakachuliwa au kupotoshwa?
  16. JamiiForums Tanzania Hatuwezi kupata mabadiliko iwapo mtesi wetu anakula na kushiba ni lazima afinywe na kukerwa ili akubali kukaa mezani na kujadiliana

    Katika nchi iliyokubali kuwa na vyama vingi vya siasa lakini katiba yake bado ni ya chama kimoja. Ili viongozi wao wawe bora ni lazima wapitishwe kwenye chuo cha Uongozi kilicho mkoa wa Pwani ambacho kinafadhiliwa na Jamhuri ya watu wa China. Chama kina viongozi wanaoamini upinzani ni uahaini...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto acha kudharaulisha upinzani, wapinzani sio wa kulenga kupata viti 30, 40 au 50 vya ubunge.

    Huyo mtu yuko serious kweli na mabadiliko? Yani baada ya miaka 35 ya siasa za vyama vingi anawaambia wapinzani walenge kupata chini ya 18% ya viti vya ubunge zama hizi!
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata solar

    Nahitaji kuwasha taa kumi na mbili Tv Je ni wapi naweza kupata solar kwa ajili ya kazi hizi kwa bei poa
  20. JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…