Tarehe zimewadia za kujua wale wote waliochoka kufanya kazi ya uteuzi na sasa wanataka kufanya ya ubunge.
Dakika chache zijazo kama siyo siku chache tutaona Mkeka kama Mhe. RAIS alivyoelekeza wanaotaka kugombea wamng'ate sikio mapema apeleke wengine.
Je, wakuu wa mikoa wangapi wamechoka kuwa...
Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
Tangu mtandao wa X kufungiwa, imekuwa ni shida sana kupata habari za muhimu kutoka Duniani.
Msaada kwa anayejua namna ya kupata access ya mtandao huo kwa sasa.
Ahsante.
NRNE
Wakuu habari za hapo juu.
Inaonekana Tz sasa mazao yanayotokana na mifugo ya Mbuzi ni ngumu sana kupata. Mikoa kama Mbeya, Songea, Lindi, Mtwara, Dar es salaam ni nadra sana
Inaonekana wafugaji wameacha kabisa kufuga hawa aanyama. Je kuna changamoto mpya kwenye hii industry? Au...
Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema "tuko njiani kupata ushindi".
Akitembelea kambi ya anga ya Israel, alirejelea madai ambayo tumesikia kutoka Israel leo - kwamba "inadhibiti anga ya Tehran".
"Tuko njiani kufikia malengo yetu mawili: kuondoa tishio la nyuklia na kukomesha tishio...
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.
Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,
kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe.
Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
Huyu mwamba anastahili kabisa jina lake liendelee kuwa sehemu ya maisha ya Mwanangu ajaye...
Benjamini Netanyahu ni kiongozi ambaye Israel sijui itampata lini tena baada yake...
Hanaga mbambamba na hacheki na wowote linapokuja suala la kulinda uzayuni na wazayuni....
Kwa heshima namtunuku...
Wakuu Kuna bodaboda nimemaliza mkataba kutoka bank
Sasa bank wananisumbua kunipa kadi je vishoka wa tra wanaweza kunisaidia kufyatua kadi mpya ya bodaboda??
Wakati Makobazi yanasema Israel imepiga upepo. Khayatolla aanza kutoa Milio. Tupate habari toka Al Jazeera. Nuclear Sites zimepigwa na Makamanda kuuawa. Na Nuclear scientists wameuawa pia.
Habari wana JF
Moja kwa moja kwenye mada. nimechoka kufanyia kazi nyumbani mimi ni frelancer nahitaji office space ukubwa km huu kwenye hii video maana wateja wangu wengi ni wa online. naomba km kuna mtu anaweza kuniunganisha na dalali au muhusika anaeweza kunisaidi. najua JF humu wadau wapo...
Bajeti yangu ni shilingi laki 7,nahitaji kununua mashine ya kufulia nguo
Ni mashine ipi nzuri pamoja na model yake
Mashine ambayo hata ikiharibika spea zimejaa na mafundi wengi wanaziweza
JIBU LA DEEP SEEK:Kufunga Kanisa kisheria kunaweza kuleta madhara kadhaa kwa serikali, hasa ikiwa hatua hiyo inapingwa na sehemu kubwa ya wananchi au inaonekana kukiuka haki za kimsingi za kidini. Kwa kuzingatia mazingira ya kisiasa, kijamii, na kiuchumi, baadhi ya madhara yanayoweza kutokea ni...
Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako
Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰
Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online.
Mimi nilifikiri hivyo pia.
Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.