Rico redi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 166
- 351
Kwema wanabodi nimekua nikijaribu kupitia sites mbalimbali za ajira ambazo ni remotely kuanzia LinkedIn, WWR,flexjobs na nyinginezo nikajiregister kule
Lakini changamoto unakuta hata kazi ambayo ni entry jobs ambayo wanatoa mpaka training kuipata ni changamoto nashindwa kuelewa kuna sehemu nakwama au??
Kwa mfano Mimi baada ya kuona kazi za upande Wa sheria ni ngumu kupata kazi remotely nikaamua kukomaa na kazi za sales ambapo nikapata experience na nakumbuka niliwahi leta Uzi Wa namna ya changamoto ya kazi za sales zilivyo hasa nchini kwetu na pia naamini katika kuongeza ujuzi make kile nilichonacho labda hakitoshi kunifikisha pale napotamani kufika
Nikaamini labda natakiwa kuwa competent upande wa sales nikajifunza software mbalimbali za sales mfano zoho,salesforce,excellent na nyingine google sheet mpaka nikawa naanza na kujifunza tally books endapo watahitaji sales accountant make
Malengo yangu ilikua nikipata kazi upande huo nijifunze pia data analysis upande Wa business ila hii niliona itachukua muda kidogo make data analysis ni nzito kiasi lakini kazi za sales & marketing naziona zipo nyingi na pia zipo nyingi ambazo ni entry lakini sipati
JE nakwama wapi mliowahi pata kazi remotely mlifanyaje fanyaje make nawaza naweza nikasoma pia data analysis lakini nikaambulia patupu kama ilivyo sasa
msaada tafadhali pia kama kuna mtu yuko mwanza anajua data analysis tunaweza wasilianaa