Habari wana Jamii.. Nilikua na omba kujua namna ya kupata connection ya kazi/ajira Kwenye Mashirika ya kimataifa kama vile UN,Unicef na kadhalika .. Nina Degree ya Account na CPA.
Shukran..
Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
Kuna uzi nimetoka kuusoma humu nami wacha nikazie
Na ndivyo ilivyo hata kwenye ukoo wetu, wengi wamesomea Sheria, Uhandisi ama Udaktari.. Wachache sana wamesomea Accounting baada ya kushindwa kuchagua kozi hizo tatu.
Hata mimi nimesomea kimoja wapo na nikiri kwamba nilipata msaada mkubwa...
Habari ndugu zangu, mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24. Ninaomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia nikapata kazi.
Elimu yangu kidato cha sita japo chuo nimesoma Ila niliishia mwaka wa pili.
Msahada wenu jamani, kwa yoyote mwenye connection maisha ni kusaidiana please...
Habari ya asubuhi.
Leo nina maumivu mno🥹. Moyo wangu unawaka moto wa tanuru na nahisi katika hali ya kibinadamu ninakosa uvumilivu💔.
Nilimpa mtu connection ya kazi lakini amegeuka mwiba kwangu🥹. Yes, ninajijua ni mwanamke jasiri sana katika kuvumilia changamoto lakini katika hili ninahisi moyo...
Bamkubwa wangu aliweza kumsomesha ndugu yake aliekuja nyumbani kwake kutoka kijijini, aliweza kumsomesha form 1 hadi chuo na kumtaftia kazi.
kijana huyo aliweza kupokelewa vizuri na kuwa sehemu ya familia, yani kuanzia bamkubwa, mke wake, watoto wao watano na wengine kwenye nyumba waliishi nae...
Habarii wakuu,
Mimi ni kijana wa miaka 28, ni mhitimu wa stashahada ya Uhandisi Ujenzi (Ordinary Diploma in Civil Engineering) mwaka 2020 na kufanikiwa kupata upper second class kutoka chuo Cha ufundi Arusha (ATC).
Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbalii ila bado sijafanikiwa kupata...
Wakuu!
Huwa wanasema sharing is caring.
Ngonja ni wape Tips wapamabanaji wenzangu na watu wote ambao bado wanatafuta nafasi za kazi na pia kwa wanafunzi ambao bado wapo chuo. Hii trick niliitumia mm mwenyewe kama kufanya majaribio ya kupata nafasi amabazo hazipatikani kirahisi
UTANGULIZI...
Wakati dunia inazidi kubadilika technologically, Nchi za Ki-Africa hatuna sababu ya kubaki nyuma maana resources zote za mtandaoni ni za dunia na wala si nchi fulani. Nadhani kama umepata kuona Ai mpya ya chat GPT utagundua within 5 years kama utalala sasahivi, basi utakuwa nyuma sana.
Lakini...
Ndugu zetu ambao mmeshaanza kulamba asali, ebu mtujuze je status zenu za application katika account ya PSRS zilikuwaje na sasahivi zikoje?
Najua huwenda kila mtu aliandikiwa tofauti, basi usisite kutuambie ulichoandikiwa.
NB: Kama bado hujaanza kulamba asali, usiwe na haraka kukoment, subiri...
Ndugu wanajamvi, habarini za majukumu. Kutokana na wimbi la uhaba wa ajira na hasa ajira za Serikali, baadhi ya vijana wameonekana kukata tamaa juu ya ajira hizi za serikali.
Wengi huwa tunaomba kazi za serikali pale zinapotangazwa na hatujawahi kubahatika kuajiriwa.
Najaribu kufikiria kutuma...
Kiutani utani hivi hivi nimefanikiwa kupata kazi FBI.
Walinifuata facebook tukajadiliana mambo kadhaa wakaniajiri hapohapo.
Kutokana na vita vinavyoendelea Ukraine wamesema mambo fulani fulani yanasumbua kuhusu usafirishaji so wameniomba dola 100 ili wampe mdau mmoja anakuja huku Tanzania...
Achana na hizi kazi za kwenye vijikampuni uchwara vya wachina au wahindi.
Nauliza kuna mtu amewahi kupata kazi ya maana either serikalini au kwenye makampuni ya kimagharibi na NGO kwa nguvu za witch doctors a.k.a waganga wa jadi?
Kama yupo ebu aje hapa atoe ushuhuda wake ili na sisi tukajaribu...
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.
watu wengi wamekuwa...
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko
Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote"
Unaweze kupata kwa kupambana
Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut! Jifunze, fanya na onyesha!
Kwenye kuonyesha tengeneza Project iwe Github au Gitlab na uwaonyeshe uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.