Nakubaliana na wewe kwa 80%Hizi mambo kwa mtanzania ni kama kupoteza muda au kusema matapeli tu hao.
Mara kadhaa issues za kuweka mafile yako wazi mtandaoni huwa tunaona ni utapeli, ila wengine wanatoboa.
Angalia hata profile ya mtu kwenye email au YouTube account unakuta mtu kaweka picha ya nyani au funza, hapo ndipo unaweza kujua akili ya huyo mtu ikoje kabla ya kumuunganisha na issue unayotaka.
Hizi mambo kwa mtanzania ni kama kupoteza muda au kusema matapeli tu hao.