kuona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwangu ni kituko kuona mtu anamwamini mchungaji anaejinadi kufufua watu, wao kwanini walishindwa kufufua watu wao wa karibu?

    Kinachotokeaga ni kwamba mchungaji anaejinadi anaweza kufufua mtu huwa ni filamu inachezwa mbele ya watu weye imani kubwa kuzidi akili, kila kitu kimepangiliwa na wahusika wanapewa script. Wenye imani na hisia kubwa kuzidi akili hasa wanawake ndio huwa wanachotwa akili hapa na ndio maana...
  2. JamiiForums Tanzania Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Muamar Ghaddaf alitusaidia sana kujenga Misikiti. Ukipita barabara ya kwenda Mwnza unakuta kiia baada ya kms kadhaa pembezoni mwa barabara kuna Msikiti. Ukienda Tanga vivyo hivyo, ukienda Ntwara, ukienda Mbeya, Rukwa... Kiukweli jamaa alikuwa jembe sana. Na pale Dodoma alitujengea Msikiti...
  3. JamiiForums Tanzania Temeke umeme umekatwa nusu saa kabla ya mwaka mpya

    Hili ni jambo jipya kuwahi kuliona tangu nipate akili. Na kwa kweli ni aibu kubwa kwa Nchi. Nakulilia Tanzania.
  4. JamiiForums Tanzania 2024 uwe mwaka wa Mbowe kuona aibu na kug'atuka. CHADEMA irudi kwa wazalendo kiuhalisia

    Sio vibaraka wanaomuabudu Mbowe kama Mwaipaya na dogo wa Mwanza ndio wabaki kufurahia upuuzi. Chama kinatakiwe kiwe mikononi mwa wazalendo kikwelikweli. Chama kinatakiwa kije kukamata dola. Siasa siasa za kibiashara tu.
  5. JamiiForums Tanzania Wakatoliki waanza kuona aibu na fedheha, Papa na Vatican wameharibu sana taswira ya ukatoliki

    Sio siri tena tangu Papa na Vatican kutoa miongozo ya kuukumbatia ushoga, kwa sasa wakatoliki wengi wameanza kupoteza furaha, amani, ujasiri na ufahari wa kujivunia ukatoliki. Papa na Vatican walianza kutoa kauli tata za kuona ushoga (kubadili jinsia nk) sio dhambi ya kukemewa na kanisa (yaani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  7. JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa

    Kupitia mtandao wa X, GODBLESS LEMA ameandika kuwa wameamua kusitisha safari ya kutembelea wahanga wa mafuriko kateshi wilayani Hanang kutokana na vikwazo vikali wanavyokutana navyo tokea waanze safari ya kuelekea huko --- Tumekatisha safari ya kuelekea Katesh- Hanang kuona waanga wa mafuriko...
  9. JamiiForums Tanzania Mnashangaa nini leo kuona CCM kumevurugika? Mimi si niliandika uzi hapa JF kuelezea mpasuko CCM mkanipuuza?

    Mkiambiwa kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu katuumba na Tunu / Shani Kuu ya Kimaono na Upeo msiwe mnatubishia au mnapinga. Kwa taarifa nilizonazo na nilizozipata Kitambo tu mnachokiona sasa it is just a tip of an iceberg ndani ya Bahari Nyeusi na yenye Kina Kirefu na makubwa yanakuja. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Waafrika tunaupenda umasikini na kuona ni ufahari. Ubinafsi unatuangamiza

    Waafrika sisi watu watu weusi neno umasikini kwetu ni neno la faraja na utajiri ni chukizo masikioni mwetu. Je, ni wazazi wangapi au familia ngapi za watu weusi zinafanya hivi? ⏬ Au ndio tuna andaa tabaka la kimasikini katika jamii yetu kila siku? lukesam JF-Expert Member "Hatuwezi kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Jicho langu la kushoto, limepoteza 50% ya kuona.

    Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumwona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la...
  12. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona malaika?

    Hello natafuta majibu hasa kwa wenye uzoefu, hebu tupe story Ilikuwaje Anaonekanaje Alisema nini Na mimi nataka kuona nifanye nini nipo kwenye research nataka kuuona ulimwengu mwingine sasa sitaki kukaa kizembe hebu nipeni uzoefu na mimi niwe miongoni mwa watu wanaotafuta ukweli kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimesikitika baada ya kuona Nigeria ina GDP karibu mara tano ya Tanzania

    Kumbe nchi yetu imezidiwa kiasi hiki na nchi yenye boko haram? Yaani kweli wao wanakaribia gdp ya bilioni 400 usd wakati sisi tupo kwenye bilioni 80s usd?
  14. JamiiForums Tanzania Harmonize Aleta Msisimko Kariakoo: Biashara Zasimama, Mwendokasi Zasimama!

    https://youtu.be/rK1Y8GhcZFI = https://youtu.be/B_cAMoJBT5Q
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wamekuwa wahanga wa makanisa, msishangae kuona anagawa mali zote kwa mchungaji wake

    Ninao ushahidi wa ndoa kama nne zimekufa sababu ya hawa called dady my dady ma... Hawa ni pastors wanatumia udhaifu wa kina mama kuwaibia mali zao na wanapojua una hela basi mume ujipange yaani kilicho chako kifiche kama ni hati ficha mbali kwa ndugu zako Nimekaa nikawaza hawa wanakuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Napata raha sana kuona mashabiki wa Simba na Man U wakiwa hawana raha

    Yaani katika maisha yangu naweza kupata hela nyingi tu na nikaona kawaida yaani. Ila Mashabiki wa Simba na Man wakiishi kwa stress napata faraja sana na naona nina kila kitu katika maisha. Hasa hasa hawa watu wa Msimbazi wanapoanza kunyosheana vidole, kukamatana uchawi, kufukuzana na kusutana...
  18. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Achana na kunguni, UDOM ina vyoo vichafu sijawahi kuona

    Nimehitimu chuo kikuu cha Dodoma hivi punde, lakini mazingira tuliyokuwa tunaishi pale chuoni hakika yanasikitisha. Colleges nyingi za pale UDOM kuna changamoto kubwa ya usafi chooni na ukiachilia mbali suala la usafi ila maintenance kwenye vyoo vya UDOM ni hovyo kabisa. Wanafunzi wanalipa ada...
  19. JamiiForums Tanzania Ni jambo la ajabu kuona mtu mweusi anaumia kisa slave master wanauana huko Israel na Palestina

    Kama kuna jamii ya watu wa ajabu ni Waafrica, ukitizama mitandaoni utaona namna gani watu wako busy kuitetea Izrael na Palestina, watu wanakosa usingizi kutetea SLAVE MASTER wao. Kwa kifupi kama umepata nafasi ya kuisoma vizuri historia ya Africa juu ya biashara ya utumwa ambayo imefanywa na...
  20. JamiiForums Tanzania Tungoje kuona Chongolo na Nnauye watakavyofanya kazi na Makonda

    Makonda karejeshwa. Atajiondoa kama alivyofanya mwanzoni kwa kudhani anaweza kuwatumia wenzake kufikia malengo yake. Sipati picha watakavyofanya kazi na chawa wenzake kama vile Daniel Chongolo ambaye sasa ni bosi wake na Nape Nnauye aliyemdhalilisha wazi wazi na kumfukuzisha kazi kwa aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…