Kuona Engagement ya Manara DStv ni Tsh 10,000

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10.

Kwenye mahojiano mafupi ya wawili hawa ikiwa ni saa chache kabla ya tukio la leo la pete ya uchumba, kila mmoja ameonekana kuwa na utayari ikiwemo kuweka ahadi za kulitunza huba lao.

“Sitokubali ndoa yangu itetereshwe na manenomaneno, sitokubali. Sitokubali Mke wangu aingie katika sehemu iwe ya kikazi ya kibiashara ambayo itaharibu hadhi yetu, nitamlinda..... kwa sababu unayempenda huwezi kutaka aharibikiwe"-Manara
 
“Sitokubali ndoa yangu itetereshwe na manenomaneno, sitokubali..... sitokubali Mke wangu aingie katika sehemu iwe ya kikazi ya kibiashara ambayo itaharibu hadhi yetu, nitamlinda..... kwa sababu unayempenda huwezi kutaka aharibikiwe"-Manara
Africa tutaendelea kuwa bara la mwisho kimaendeleo mpaka kiyama kufika
 
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10.

Kwenye mahojiano mafupi ya wawili hawa ikiwa ni saa chache kabla ya tukio la leo la pete ya uchumba, kila mmoja ameonekana kuwa na utayari ikiwemo kuweka ahadi za kulitunza huba lao.

“Sitokubali ndoa yangu itetereshwe na manenomaneno, sitokubali..... sitokubali Mke wangu aingie katika sehemu iwe ya kikazi ya kibiashara ambayo itaharibu hadhi yetu, nitamlinda..... kwa sababu unayempenda huwezi kutaka aharibikiwe"-Manara
CCM itatawala mpaka yenyewe iseme basi Kwa Aina ya RAIA iliyonao.
 
Kampuni ya Multichoice Tanzania DStv imesema Mashabiki wote wa Haji Manara na Mwigizaji Zai ambao watataka kutazama LIVE tukio lao la leo la “The Royal Engagement Party” litakalorushwa kwenye channel ya MAISHA MAGIC watalipia kifurushi cha shilingi elfu 10.

Kwenye mahojiano mafupi ya wawili hawa ikiwa ni saa chache kabla ya tukio la leo la pete ya uchumba, kila mmoja ameonekana kuwa na utayari ikiwemo kuweka ahadi za kulitunza huba lao.

“Sitokubali ndoa yangu itetereshwe na manenomaneno, sitokubali. Sitokubali Mke wangu aingie katika sehemu iwe ya kikazi ya kibiashara ambayo itaharibu hadhi yetu, nitamlinda..... kwa sababu unayempenda huwezi kutaka aharibikiwe"-Manara
Na wewe umeolewa tayari? Leteni habari za mambo ya maana.
 
Mae...
Screenshot_20240118-195918_Google.jpg
 
Ni kweli usemayo ila mara moja moja sio mbaya bwana, ubaya ni kama hivi kugeuza maisha yenu reality show kama Manara na wanawake zake.
Manara psychological problem
Ana inferiority complex hajiamini vile alivyo ana shida mahala itakua utotoni alipitia zile Enzi zetu ukiwa vile unaonekana abnormal Sasa hv ndo anataka kuwaprovs watu wrong
Anayoyafanya kwa umri wake,dini yake, na maisha yake haviendani kabisaaaa
Mimi naona wanaomfatilia nadhani nao pia wagonjwa
 
Back
Top Bottom