Nyanda Banka
Member
- Mar 14, 2023
- 31
- 31
Kila ninaposikia kuhusu suala la kutangazwa kwa ajira za TAMISEMI hususani katika kada yangu ya ualimu napata furaha, lakini mchakato unapoanza hadi kukamilika na matokeo yanapotolewa najikuta mtu mwenye huzuni kubwa sana kwa kukosa hiyo nafasi nimeomba ajira zaidi ya mara 4 tena kwa shauku kubwa.
Wazazi wametusomesha kwa shida wakiamini kuwa tutakuja wakombozi wa familia japo kwa kupitia ajira za serikali lakini mpaka wazazi wetu wanafariki hawajaonja matunda ya elimu ambayo waliipigania kwa mtoto wao inasikitisha na kuumiza sana.
Tumesoma kwa shida kutoka shule zenye mwalimu mmoja mpaka kufika chuo kikuu lakini mambo Bado, msitupambaze na kauli za kusema tujiajiri kumbukeni tumepoteza muda wetu mwingi shuleni hivyo inabidi hiyo elimu itulipe.
We deserves to be employed