Nadhani nusu ya Wanawake Tanzania hawafai kuolewa

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,130
4,468
Huu utafiti binafsi nilioufanya pamoja na kuwa idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume nimekuja gundua kuna idadi ndogo ya wife material kwa mana hiyo nusu ya wanawake wa sasa hawafai kabisa kuolewa.

Kwa hali ya sasa ukifikilia kwa makini ni kama hatuna wanawake wakuoa wengi wamekuwa na viburi na zarau. Ukipata mwanamke mnyenyekevu mwenye kukuheshimu ujue umefanikiwa sana.

Pia, kuna kundi wanawake waliozalia nyumbani hawa nao ndio hawana sifa kabisa ya kuolewa kuna wanaume walijaribu kuwa sitiri lakini mwisho waliendelea na mahusiano ya awali.

1624272255288.png

 
Back
Top Bottom