Diva the Bawse: Ni kweli kabisa sijui kupika, ila Mahari yangu ya 'Kuolewa' ni Shilingi Bilioni 10

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,877
Mtangazaji maarufu kabisa wa Vipindi vya Mapenzi Diva The Bawse amekiri kuwa kupika hajui ila haolewi bila Mahari ya Bilioni Kumi.

Chanzo: globalpublishers

Binafsi kama GENTAMYCINE nimejiuliza Maswali mengi mno tu na kuanza kuhisi kuwa huenda huyu Mbunye yake ni ya Dhahabu tupu
 
Anaezungumza kuhusu kuolewa ni yeye..

Waoaji wala hawana habari...
Ni kama ukimsoma vizuri ni anapiga kelele waoaji wamsikie lakin wapi..

Ni sawa na mwanamke akwambie Ukinitongoza sikupi na wala hujamtongoza wala kupanga kumtongoza..
Wenye akili watajua keshavua na nguo tayari anakusubiri ujaribu tu..

Hawa ndo wanalipaga wenyewe mahari ..
 
Huo upumbavu wake unazunguka kwenye kichwa chake tu yeye peke yake kiuhalisia hamna kitu kama hicho bitch anaropoka tu she is just a piece of shit kuna wanawake wanajifanyaga wanathamani utadhani huwa wanakunya tanzanite kumbe hamna kitu ni binadamu kama mimi na wewe
 
Anaezungumza kuhusu kuolewa ni yeye..

Waoaji wala hawana habari...
Ni kama ukimsoma vizuri ni anapiga kelele waoaji wamsikie lakin wapi..

Ni sawa na mwanamke akwambie Ukinitongoza sikupi na wala hujamtongoza wala kupanga kumtongoza..
Wenye akili watajua keshavua na nguo tayari anakusubiri ujaribu tu..

Hawa ndo wanalipaga wenyewe mahari ..
Mkuu huyu bibi mabwana zake karibia wote anatongoza yeye,
Vitoto vingne vya chuo kabisa.
Na mara zote wanamtema kwa fedheha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom