Ambitious men and womens, hutake full control and outhority over electronic gadgets, mathalani smartphones, tablets, computers etc.
Focus, commitments and full concentrations ni kwenye activity ilowakutanisha hapo faragha penyewe.
Hii husaidia sana kua na performance ya nguvu na ya uhakika kwa...
Kuna wanawake wana papuchi za moto. Mpaka zinaunguza vifungashio. Angalia mwenyewe. Ama utasema ni nini? Tindikali? Ndo linatokea huko. Unaona chupi ilivyoungua? Sasa wewe kwa ubwege wako unapiga deki kumfurahisha.
Mfurahishe. Sisi tunaendelea kutumia tu kifaa mahsusi. Unajua miaka flani...
Habari zenu Wakuu wangu,
Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia.
Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya...
Iliwahi nitokea hii, simu nilinunua laki 4 ikapasuka kabisa kioo, kuulizia bei ya kioo laki 2 na elf 80, nikasema potelea mbali heri ninunue simu mpya tu, lakini kulikuwa na vitu vya muhimu ndani ya simu na inahitaji nivihamishe.
Simu imedondoka kwenye sakafu kioo chote kimejaa wino ama...
Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000.
Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
Hi
Mtoto wa miezi miwili aacha kunyonya kisa wadudu (jini) inasadikika kuwa mtoto akitaka kunyonya hao wadudu wanatokea na kuaza kumnyonga mtoto mpaka ana acha kunyonya
Mzazi ni mpemba na anakiri kuwa mwanae ana mashetani, walipojaribu kumuombea dua hali ikazidi zaidi kwa hiyo waliamua mtoto...
Hello,
Siwatishi na wala siwabembelezi nawajibika kusema kuokoa taifa na jamii kwa ujumla.
Ongezeko la watu wenye rangi za midomo kama ugonjwa wa ukoma wa midomo unapaa kwa kasi.
Kuna wimbi kubwa sana la watu wadada, wakaka, mabinti, vijana, wenye fungus za koromeo, fungus za midomo, homa za...
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.
Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao...
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji.
Sasa napenda kujua madhara yake.
=====
Habari,
Huu ni uzi kwa ajili ya watoto naomba kuuliza kama. Una uzoefu au wewe ni Dr. Naomba kuelimishwa.
Je, mtoto mchanga anatakiwa kunyonya maziwa ya mama kwa muda gani? Kuna watu wanasema miezi 6 bila chochote. Ukimpa maji ataumwa tumbo ukimpa chakula mapema namaanisha uji, hatofanana na...
Habari za kazi madaktari?
Mtoto wangu amefikia umri wa kuacha kunyonya. Naombeni wataalamu mnifundishe jinsi ya kuchanganya UNGA WA LISHE YA MTOTO. Nataka ninunue vichanganyio mwenyewe.sitaki unga wa dukani.
MSAADA JAMANI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.