ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,191
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
 
Nilitaka shusha andiko kubwaa baada ya kusoma vyema kumbe ni viti maalum tena chama cha kijani.

Ila afikishiwe tu taarifa kwamba tupo bize na mambo ya msingi ya kitaifa tukiyamaliza ndio tutashughulikia ujinga wa mtu mmoja mmoja.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Ngombe
 
amekosa cha kuchangia ndio wabunge wenu wa ccm unashanga nini
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Yeye asituingilia fantasy zetu bwana. Kuna raha ya kupakatwa na kunyonyeshwa na mkeo.
 
Hizo nii faragha za watu ,amejuaje? Hivi mwanamke huyo anatuchukuliaje wanaume ?? Yaani mama anaye nyonyesha mwanangu ni myonye maziwa yake ?

Dah! Kuna haja ya kufuta viti maalumu viti vyote viwe ni vya kuchaguliwa .

Aombe ladhi wanaume.

Kwanza ni gharama kubwa kulipa mishahala watu kama hao wasio na hoja za maana!

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wanaonyonya wanapata nini hasa?

Maana kuna shost huku huwa anasema nyonya meza. Ila mtoto wake kaka na ameacha kunyonya
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Je anao ushahidi? Alimwona nani? Kama ni hivyo mtuhumiwa wa kwanza ni mume wake kama anaye!! Kama hana mume basi ni wivu tu wa kike huo!
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Khaaa
Jmn
 
Jacqueline Msongozi kama mume wako hakufanyii hivyo umekosa makubwa kwenye ndoa yako
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Nadhani hamjamuelewa Huyu mbunge. Hichi anacho kiongea sio kigeni sana, kwani kipindi cha nyuma kidgo kumekuwa na malalamiko kuwa wanaume wakishalewa hangover wanakata kwa kuyanywa maziwa ya wanawake wanao nyonyesha.

Maziwa ambacho ni chakula cha mtoto mchanga, wanaume nao wamekuwa wakitaka na wao wayanywe kilazima. Matukio hayo ni kutoka mikoa ya tanga na mbeya haswa.

Hamaanishi kunyonya matiti, bali maziwa kama chakula cha wachanga, ambapo mwanaume naye anakigombea
 
Hizo nii faragha za watu ,amejuaje? Hivi mwanamke huyo anatuchukuliaje wanaume ?? Yaani mama anaye nyonyesha mwanangu ni myonye maziwa yake ?

Dah! Kuna haja ya kufuta viti maalumu viti vyote viwe ni vya kuchaguliwa .

Aombe ladhi wanaume.

Kwanza ni gharama kubwa kulipa mishahala watu kama hao wasio na hoja za maana!

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Niliwahi kuona documentary kama 3 hivi zinazungumzia suala hilo na zote zilikuwa kutoka Uganda. Wanawake wanalalamika kuwa wanaume zao wanaforce kunyonya matiti wakati wananyonyesha. Wakawa wanalalamika watoto kukosa maziwa ya kutosha!!! Nilishangaa sana nikasema hao wanaume watakuwa na matatizo ya akili si bure.
 
Back
Top Bottom