kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Nyumba za Kununua.

    Habarini team. Kwa niaba ya wateja wetu, Tunatafuta Nyumba za kununua maeneo mbalimbali ndani ya Dar es Salaam. Nyumba ziwe na Hatimiliki. Nyumba zikiwa na wapangaji itapendeza zaidi. Nyumba ziwe kwenye hali ya kuridhisha, zisiwe zimechoka sana. Bajeti ya mteja kuanzia sh.Mil 30 - Mil 70...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wafugaji/Mashamba ya Kuku wa Nyama kwa Ajili ya Kununua kwa Bei ya Jumla (Dar es Salaam)

    Habari wakuu, Natafuta wafugaji au mashamba ya kuku wa nyama wanaouza kwa bei ya jumla. Mpango wangu ni kuanza kununua kuku takribani 150 kwa wiki hii ya kwanza, na kuendelea kuongeza kiwango hadi 200 au zaidi kwa kila wiki, kulingana na uhitaji wa soko langu. 📌 Vigezo ninavyohitaji: Kuku wa...
  3. veyra

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia aahidi kununua matrekta milioni 10 akiingia madarakani kwa awamu ya pili

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo kwa kuhakikisha serikali inanunua matrekta milioni 10 pamoja na zana nyingine za kisasa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo. Akizungumza leo, Agosti...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanatakatisha pesa kwa kununua magari ya kifahari na kujenga nyumba Masaki

  5. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

    Ndugu mnaopoza injini kwa malaya na mabar medi mna roho za paka. Mna nafsi za mafisi. Hivi Mwanaume uliyekamilika na ukawa na akili kichwani unaanzaje kulala na Malaya? Tena anayejiuza? Hii sio tu tatizo la kisaikolojia, ni kujishusha thamani kwamba wewe unakula mizoga na vya kuchinja...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Unapotaka kuhamia sehemu au kununua makazi, kuna umuhimu wa kuangalia aina ya majirani?

    Unahama kutoa sehemu A kwenda B, kuna umuhimu wa kuangalia utapakana na majirani wa aina gani?? Kabila au dini zao?? Financial status?? I'm just asking.
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Bila kadi na namba ya NIDA huwezi kuuza wala kununua katika serikali ya CCM

    Ukitaka kununua nyumba, kiwanja, shamba, gari na hata kupata ajira au elimu ya juu ni lazima uwe na vitambulisho ikiwemo kadi na namba ya NIDA. Maana yake ni kwamba ukishakua na kadi ya NIDA wewe ni mpiga kura wa CCM utake usitake. Ninakumbuka Ufunuo wa Yohana kuwa siku za mwisho hutaweza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kama hujawa na uwezo wa kununua Gari, Acha ubishi wa kijinga Nunua hata Piki piki utanishukuru

    Miaka kumi iliyopita nilikuwa na Mjonmba wangu akifanya Biashara zake Chanika huku anaishi Mbezi ya Kimara. Alikuwa na fedha kiasi fulani na familia yake ikiishi vizuri tu. Kwa wakati ule alikuwa nauwezo wa kumiliki gari hata ndogo. Siku niliyomtembelea nyumbani kwake niliona shurba na kashi...
  9. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bilioni 100 inaweza kununua uchaguzi

    Kwa mujibu wa sheria za gharama za uchaguzi Mgombea Urais anapaswa kutumia kiasi kisichozidi bilioni 25 katika kampeni zake. Bilioni 100 ni mara nne ya kiasi elekezi. Isitoshe wagombea wengi wa CCM ni wagombea wanaotetea nafasi zao hivyo wengi wanajimudu kikampeni so kwa kiasi kikubwa gharama...
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Kuagiza Nje Pikipiki vs Kununua Hapa Tanzania ipi nafuu?

    Wakuu, Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa gharama nilizoingia kwenye vifurushi vya internet najilaumu sana kwanini sikutilia umakini kununua router za unlimited Internet

    Sijawahi kuwa na uhuru wa kutumia internet kama sasa baada ya kununua unlimited internet, Sina hofu ya kumaliza MB, sina haja ya kupunguza ubora wa video, siogopi video calls, sizikwepi post zeny video kwenye mitandao ya kijamii, n.k. kuna muda nilikuwa najiunga mpaka kifurushi cha elf 5 kwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Trump Aamuru Ushuru Mpya kwa India Kufikia Asilimia 50 kwa Sababu ya Kununua Mafuta kutoka Urusi

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza agizo rasmi la kuongeza ushuru wa ziada wa asilimia 25 kwa bidhaa zinazoingia Marekani kutoka India, kutokana na India kuendelea kununua mafuta kutoka Urusi. Hatua hiyo itafanya jumla ya ushuru kwa bidhaa za India kufikia asilimia 50 – moja ya viwango...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Abdallah Kirungu: Kununua trekta na kuchonga barabara sio kazi za Mbunge

    Mtia nia wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ulanga Mkoa wa Morogoro Abdallah Kirungu kupitia Chama cha Mapinduzi amewataka Wananchi kutokubali kudanganyika kwa pesa za mtu bali wamchague Kiongozi mwenye maono na uwezo wa kuwasaidia Wananchi wa Ulanga. Kirungu ni mmoja kati ya watia nia sita...
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua USAFIRI haswa GARI na PIKIPIKI hua unaepuka makosa gani?

    Dunia ya sasa usafiri binafsi ni jambo muhimu sana haswa pale unapo hitaji kuepuka msongamano na adha ya usafiri wa umma Mambo gani hua unazingatia katika kuchagua na kununua USAFIRI wako binafsi imma usafiri mpya au ulio tumika tayari hapo awali yaani (MTUMBA)
  16. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani?

    Miaka ya sasa ardhi imekua ni yenye kupanda thamani kutokana na miji kutanuka/kukua na kuongezeka shughuli za uzalishaji na makazi na kupelekea migogoro ya ardhi, utapeli na uharibifu wa mazingira JE Unapo taka kununua ARDHI hua unaepuka makosa gani👇👇👇?
  17. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Njia ipi bora ya kununua viwanja -Arusha?

    Ndugu zangu habari. Kwa wazoefu naombeni mtujuze ni ipi njia bora ya kununua viwanja katika mkoa wa Arusha kati ya zifuatazo. 1: Manispaa / ofisi za ardhi 2: Kwa mtu binafsi 3: madalali au makampuni yanayojihusisha na kuuza viwanja. Asanteni
  18. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya Tank la Maji la Kiboko (2000L au zaidi) kwa aliyewahi kununua tafadhali

    Habari wana JF, Naomba msaada kwa yeyote aliye wahi kununua au anayefahamu bei za tanks za Kiboko (Polytank) za kuhifadhia maji – hasa zile za ujazo wa 2000 L liters au zaidi. Nimepitia kurasa zao za Instagram na Facebook (@kibokoplasticstz) lakini hawajaweka bei, na hata namba zao za simu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kununua Spare Part Fake? Iliathiri Gari Lako Vipi?

    Wakuu habari zenu. Napenda kuanzisha mjadala kuhusu changamoto ambayo naamini wengi wetu ambao tunamiliki magari, au tunashughulika na magari, tumeikumbana nayo angalau mara moja – kununua spare part feki. Iwe ni kwa kukosa uelewa, kwa kushawishiwa na mafundi, au kwa sababu ya bei kuwa ndogo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
Back
Top Bottom