kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  3. Lavit

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Cryptocurrency njooni tushauriane coins za kununua!

    Nafahamu Jf ni jukwaa kubwa lenye wadau wa kila aina! Hivyo basi kupata wadau wanaojihusisha na hizi coins either kutrade au kuhold itakuwa si jambo la ajabu. Kwa upande wangu nimeanza kutengeneza portfolio kwa ajiri ya long term investment(miaka 15 mpka 20), lengo ni kufikisha usd 2000 mpka...
  4. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua air condition au kuchukua ya mkopo kutoka kampuni ya baridi baridi ?

    Habari ndugu zangu, nimefikilia kufunga kiyoyozi nyumbani kangiu, kiyoyozi kimoja tu chumbani kwangu, baada ya pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii kampuni ya BARIDIBARIDI ambayo inatoa huduma za aina mbili, HUDUMA YA KWANZA: AC wanakufungia na utalipia awali shillingi 180,000/= baada...
  5. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nina Millioni 1 nataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua grosari (mini pub)

    Nina milioni 1, ninataka kununua vitu vya awali kwa ajili ya kufungua ki grosari au mini pub. Nianze na nini na nini? Niweke ndani kabla ya kukusanya nguvu kwa ajili ya hela ya kodi na matengenezo ya ofisi.
  7. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufanya Wateja Wakuamini na Kununua Haraka

    Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli ni kwamba, mteja hanunui tu bidhaa ananunua uaminifu, ananunua uhakika, ananunua hisia ya kuwa...
  9. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kwamba Bora Kununua tu…

    Wakuu, yaan hapa bora kununua tu kuliko kuleteana mambo ya ajabu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Soko la ushindani kikabila,wateja wajumla wanaenda kununua kwa wauzaji wa jumla wakabila zao

    Habar wakuu msaada wenu kimawazo ,mim nimefanya biashara wa jumla vyakula na vinywaji Sasa Niko katika changamoto ya ushindani,hapa tupo masupply wa jumla kama wanne wa vyakula na vinywaji,Sasa kati yetu Kuna wawili kabila moja,Sasa wateja wooote wengi wale wanaokuja kununua jumla wakauze ktk...
  11. Joseph 44

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania sio rahisi kununua mpaka ufuate utaratibu maalum, ambapo ni kufungua account na kupata redeem code –...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Usijiroge kununua gari isiyo brand ya Toyota kama unaishi mikoani, maji utayaita Mma !

    Uwe mkoani halafu uige watu wa kwenye majiji ununue mazda cx5. Range Rover, Ford, Volks-Wagen na gari nyingezo nje ya Toyota, jiandae maumivu !! Wenzako ukiwaona wapo mikoani na wana push hizo brand mara nyingi huwa zinaenda kufanyiwa matengenezo na service Dsm na kwa mbali kidogo Mwanza na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaotaka kununua magari ndani ya nchi na nje ya nchi

    Habari Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa wanaotaka kununua magari ndani ya nchi na nje ya nchi

    Habari, Suala la usafiri, iwe ni usafiri wa kibiashara au usafiri binafsi ni muhimu Kwa maendeleo ya Taifa na wananchi wanalitambua Hilo changamoto huja katika kumudu gharama za Kodi, bima, usafirishaii na hata Bei halisi ya gari. OZB CAR IMPORTERS Kwa kuiona changamoto ya gharama kuwa kubwa na...
  15. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam. Ukubwa wa Eneo unapaswa kuwa 800sqm-1500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja Dola 800,000. Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa maelezo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hatukopi kununua sare za harusi, tunakopa kujenga mashule nk

    Tukumbushane Mheshimiwa Rais alisema hatukopi ili kununua sare za harusi, badala yake tunakopa kujenga Mashule nk. Usisahau kua deni limefika 107t Na leo tumeambiwa uchumi wetu unafanya vizuri kuliko ulaya na Marekani. Shule zetu ndo hizo wajameni baada ya miaka 63 ya uhuru
  17. D

    JamiiForums Tanzania Shule zimefungwa lakini watoto wa darasa la pili wameambiwa waendelee kwenda shule kununua visheti na sambusa kwa walimu

    Wizara ya elimu ni kwamba hamjui faida za likizo? Waziri wa elimu mbona hatukuoni umekaa wapi ebu simama tukuone! Viongozi inamaana hamuoni watoto wanavyofanywa huko mashuleni? Ratiba ya masomo mlipanga wenyewe, kwamba mtoto atasoma wiki kadha na likizo kadhaa! Inamaana likizo iko ndani ya...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
  19. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya kununua nyumba au kiwanja Dar Es Salaam

    Salamu matajiri. Namba zangu hizo hapo dalali ambaye Sina mkuu lakini Kazi zangu zimenyooka. Ukitaka nyumba ya kununua au kiwanja basi nahakikisha kila kitu Kipo Sawa. Hakuna mgogoro wa kiserikali au kifamilia. sikutozi Hela ya kukupeleka kuona eneo Ila utalipia usafiri WA kukupeleka sehemu...
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo/Open Yard ya kununua

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Yadi! Tunatafuta Open Yard ya kununua katikati ya jiji la Dar es Salaam. Yard iwe katika maeneo haya: Vingunguti, Kiwalani, Pugu road, nyuma ya airport. Tunatafuta Yadi yenye ukubwa wa 5000-6000sqmtrs. Bajeti ya Mteja: Tzs 1B. Ikiwa una Yadi au eneo inayofaa...
Back
Top Bottom