Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta viwanja 2 vya kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Ukubwa wa kiwanja unapaswa kuwa 900sqm-2500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja USD 1M.
Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa...
Unataka kununua laptop mpya? Usikurupuke! Haya ndiyo mambo muhimu ya kuzingatia:
1. Matumizi Yako Ni Yapi?
Kwa kazi za kawaida – laptop ya bei nafuu inatosha. Kwa gaming, design au programming – chagua yenye nguvu zaidi.
2. Processor (CPU)
Core i5/Ryzen 5 au zaidi ni bora kwa kazi nzito...
Wakuu kama heading inavyosema naomba wenye uzoefu wanipe muongozo.Sitaki bidhaa ya Dubai.
Leta ushuhuda wako pia kwa simu ya Samsung unayotumia.
Nawezaje kujua simu fake na Original?.
Nina 550k
Nimezitumia Iphone kwa mudamrefu, nilikuwa sisikii wala sioni simu nyingine nje ya iphone, ila baada ya kuhamia android sijioni kabisa nikirudi nilikotoka.
Simu za android hapa nazoziongelea ni zile topbrand Samsung, Google Pixe, One Pus, Xiaomi,
Mitandao ya simu inakubana ukitumia Iphone...
android
baada
bei
bei ghali
buku
dhahabu
ghali
iphone
kuhamia
kununua
kuona
louis
louis vuitton
matumizi
mtoto
mtoto wa
muonekano
muonekano mzuri
ndani
sana
shule
simu
uhuru
wenye
Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima
Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
Ujumbe tumeupata kupitia udukuzi. Wakenya ni majirani wapinzani Kiuchumi, Kisiasa nk. Lkn kwa bahati mbaya tumewapa kazi zooooote za kututengenezea mifumo Nyeti ya serikali kukusanya mapato, Apps, Mishahara nk nk nk.
Tulionya, tukasema tukafoka tukatokwa mapovu hamkuelewa.
Anyway tumevuliwa...
Habari,
Kati ya maeneo haya ni wapi kuna unafafu wa kununua ardhi (shamba) Mluo, mbozi, mbeya, tunduma na Makuyuni ni kwa lengo la shughuli za kilimo cha umwagiliaji au Highlands yenye vipindi virefu vya mvua. Na bei kwa bei nafuu around 200k to 700k kwa hekari pawe panapitika kwa gari...
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
arusha
ccm
chadema
kununua
kutisha
mabilioni
nchi
nyie
nzito
pesa
sana
tuhuma
uchaguzi
ufisadi
umma
viongozi
viongozi wa umma
viwanja
wakuu
wanasiasa
wapi
watanzania
Hivi bado kuna mpuuzi tu Ndani ya CCM na DOLA ambaye bado anashupaza shingo na Kampeni ya kipumbavu ya ununuzi wa watu, kwakudhan ndo mnaisambaratisha CHADEMA ??.
Hata kama mmejawa na maujinga mengi kichwan, ifike Mahali mnakaa mnayatizama mambo katika uhalisia wake !!.
Hiyo Pesa ,ingetosha...
Kamishna WA mechi ya final
Amethinitisha kupokea BARUA Mechi ya final INACHEZWA new AMAN complex
Akihojiwa kamishna amesema UWANJA UKo vizuri na WAMEANZA matayarisho kwa AJILI ya final ya tar 25
Na meneja WA new AMAN complex amesema wamepokea BARUA na Toka mechi ya Simba hawajautumia kabisa...
Habari wadau.
Natafuta Stethoscope used. Hata ikiwa mbovu haifanyi kazi nahitaji pia.
Tunaitumia kushutia igizo la sanaa.
Pia kwa wanaojua wapi used zinauzwa naombeni mniambie
Najua humu kuna watu wengi.. kwa mwenye nayo anauza anipigie namba 0754003715
Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine.
Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
Jamani Nina hitaji hichi kifaa kinaitwa MAGNETIC QUANTUM ANALYSER kina pima maradhi mwilini ninashida nacho,
So anayeuza au kama unafahamu mahali kinapouzwa Ninakihitaji haraka iwezekanavyo.
Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi.
Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
Hello Wafugaji wenzangu 👋🏽,
Nimeona kuna watu wengi wanaanzisha ufugaji wa kuku, hasa kwa lengo la kupata mayai ya kutosha kwa matumizi au biashara, lakini ndani ya miezi michache wanakata tamaa. Nimeona hii mara kwa mara, na mara nyingi chanzo kikubwa ni kununua kuku bila utafiti sahihi...
Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu kadhaa badala ya elfu kadhaa, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare...
Habari wakuu.
Mkuu uliyejipata ni Bora ununue hiki kiwanja ili badae uuze Bei ya juu kuliko Kununua Gari lingine alafu badae uje uuze Bei ya kutuma.
Gari kila baada ya Muda linashuka Bei na likipata ajali ndio kabisa.
Lakini kiwanja kila baada ya Muda kinapanda Bei.
Hivyo basi nakupa hiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.