Poland yasitisha kununua gesi toka Urusi: Lakini mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka Urusi sasa yataleta gesi toka urusi kupitia Ujerumani!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,036
Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!!

Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani.

Inajulikana kuwa ujerumani haina gesi bali hununua gesi toka urusi!! Hii ina maana kuwa Poland itaendelea kununua gesi ya urusi kwa kuitumia ujerumani kama wakala kwa bei ya juu zaidi maana wakala lazima aweke cha juu!! Hii ni akili, ni ujanja au ni nini?

Poland terminates Russian gas supply contract​

The Polish government has announced it terminating a Russian natural gas contract without waiting for its expiry at the end of 2022. Along with Bulgaria and Finland, Warsaw has refused to accept Russia’s new ruble-based payment mechanism introduced in late March.

“After 30 years, it can be stated that relations in the gas industry between Poland and Russia have ceased,” Piotr Naimsky, Polish Commissioner for Strategic Energy Infrastructure said.
Poland terminates Russian gas supply contract

The agreement was set to expire at the end of the year

The official added that the Polish section of the Yamal-Europe gas pipeline, which was previously used to pump natural gas from Russia, could be used for supplies from Germany.

Hiyo sentensi ya mwisho hapo juu ndo imeniacha hoi!! Mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi tuka urusi, sasa yataleta gesi toka ujerumani (inayopata gesi toka urusi!!).
 
Wewe umejuaje kama ataweka cha juuu
 
Wewe umejuaje kama ataweka cha juuu
Hiyo ni biashara!! Ni kuwa mtu wa kati kwenye biashara!! Kuwa mtu wa kati inatumia gharama, gharama hizi hulipwa na mtu anayehitaji huduma hii!! Hakuna cha bure kwenye biashara!! Yaani mtu aagize mzigo toka china hadi kariakoo, halafu akuuzie wewe kwa bei ile ile aliyonunulia China!! Labda wewe peke yako ndiye unaweza kufanya hivyo!
 
Ningekuwa Mimi ni Mrusi nangemuuzia Mjerumani inayomtosha yeye tu nione atanunulia wapi?
Uzuri Urusi inaalngalia maslahi tu!! Kama ingeamua kulipa mabaya kwa mabaya ingewakatia wabaya wake wote gesi na wangelia sana!! Nchi kama ujerumani, Italia, Austria zingekufa kabisa kiuchumi!
 
Anazunguka mduara ngoma iko palepale, hawezi kivyovyote hawezi kukwepa kulipia na hela ikaingia Moscow
Hiki kitu Pro.NATO hawajui lakini ukweli ni kwamba Poland ananunua gesi kwa Rubo. Mjerumani anaponunua ananunua nyingi ya kumuuzia Poland ,mjerumani ananunua kwa Rubo hivo pesa ya Poland inapitia Ujerumani kabla ya kupekwa Russia. Poland alichogoma ni kufungua akaunti ya Rubo lakini analipia kwa rubo
 
Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!!

Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani.

Inajulikana kuwa ujerumani haina gesi bali hununua gesi toka urusi!! Hii ina maana kuwa Poland itaendelea kununua gesi ya urusi kwa kuitumia ujerumani kama wakala kwa bei ya juu zaidi maana wakala lazima aweke cha juu!! Hii ni akili, ni ujanja au ni nini?

Poland terminates Russian gas supply contract​

The Polish government has announced it terminating a Russian natural gas contract without waiting for its expiry at the end of 2022. Along with Bulgaria and Finland, Warsaw has refused to accept Russia’s new ruble-based payment mechanism introduced in late March.

“After 30 years, it can be stated that relations in the gas industry between Poland and Russia have ceased,” Piotr Naimsky, Polish Commissioner for Strategic Energy Infrastructure said.
Poland terminates Russian gas supply contract

The agreement was set to expire at the end of the year
The Polish government has announced it terminating a Russian natural gas contract without waiting for its expiry at the end of 2022. Along with Bulgaria and Finland, Warsaw has refused to accept Russia’s new ruble-based payment mechanism introduced in late March.

“After 30 years, it can be stated that relations in the gas industry between Poland and Russia have ceased,” Piotr Naimsky, Polish Commissioner for Strategic Energy Infrastructure said.

The official added that the Polish section of the Yamal-Europe gas pipeline, which was previously used to pump natural gas from Russia, could be used for supplies from Germany.

Hiyo sentensi ya mwisho hapo juu ndo imeniacha hoi!! Mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi tuka urusi, sasa yataleta gesi toka ujerumani (inayopata gesi toka urusi!!).
Wakati mrusi anawapigisha kwata mabeberu sisi wabongo tumeamua kwa moyo mmoja kumkabidhi mchina gesi yetu.
 
Hiyo ni biashara!! Ni kuwa mtu wa kati kwenye biashara!! Kuwa mtu wa kati inatumia gharama, gharama hizi hulipwa na mtu anayehitaji huduma hii!! Hakuna cha bure kwenye biashara!! Yaani mtu aagize mzigo toka china hadi kariakoo, halafu akuuzie wewe kwa bei ile ile aliyonunulia China!! Labda wewe peke yako ndiye unaweza kufanya hivyo!
kwahiyo we wa gongo la mbogo una akili zaidi kuliko wapoland na wajerumani waliokaa pamoja wakaelewana.
 
Back
Top Bottom