29% ya Watanzania hawamudu kununua mchele

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Taarifa ya NBS iliyokusanya takwimu za kuanzia Februari 2021 hadi Machi 2021 zimeonesha baadhi ya watanzania wanakosa kumudu huduma muhimu kama Huduma za Afya na Chakula.

Katika vyakula, ikiwemo mchele, mahindi na unga wa mahindi zimeonesha mchele unatumika na 55% ya watanzania huku 29% wakiwa wanataka lakini hawamudu kununua na 16 hawahitaji mchele kabisa.

Kwa taarifa za Benki Kuu ya Tanzania, Machi 2021 mchele ulikuwa unauzwa kwa Tsh 142,013 kwa gunia.

1652783922278.png


Source: https://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/nps/Tanzania_High_Frequency_Welfare_Monitoring_(Phone)_Survey.pdf
 
Back
Top Bottom