kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kumbukizi: Makamanda wa CHADEMA wakipigwa Tanganyika jeki baada ya kuleta ujeuri

  2. T

    Kutofanya kumbukizi ya Magufuli ni makosa yataigharimu CCM

    Amekufa na ila mnataka kujifanya hakuwepo wala hamkumbuki. Haya good move kwakweli.... Who is chadema who is ccm
  3. Kumbukizi ya miaka 2 bila Hayati Magufuli inazidi kuchangamsha 2025

    Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM. Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake. Na upande wa pili ni wale ambao wanashangilia kifo chake. Serikali inayoongozwa na CCM imekaa kimya...
  4. Rais Samia yupo Afrika Kusini, kapotezea kumbukizi ya Hayati Magufuli?

    Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli. Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake? Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
  5. Kati ya Mkapa na Magufuli nani anapaswa kufanyiwa kumbukizi?

    Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi Mwinyi akiwa Madarakani. Kati ya Marais walioingia madarakani baada ya Mwalimu Kung'atuka yaani Ally...
  6. Kumbukizi: Waziri Mpina alisema akiruhusu uvuvi haramu atalaaniwa na kizazi kijacho

    Mar 6, 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi kijacho kitamlaani
  7. Kumbukizi: Jinsi muvi ya Kichina ilivyomtoa Rapa RZA

    When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi uniatwa Guangzhou. Sababu ya mimi kupenda mji huo ni kwakua those time nilikua mpenzi sana wa muvi...
  8. Kumbukizi: Waarabu walipokojoa Uwanja wa Taifa

    Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja. Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana, ingawa kwa macho na mtazamo wetu uwanja ulikuwa fresh tu. Huko ndiyo jina la 'Shamba la Bibi'...
  9. T

    Kwa hiyo ccm wameanzisha taasisi ya kumbukizi ya mwalimu chini ya paul kimiti ili kuyeyesha uzito wa hoja za taasisi ya Butiku?

    Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii. Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
  10. Leo ni Kumbukizi ya Nguli wa Muziki Congo DR na Afrika Franco A.K.A Le Grand Mitre

    Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo; 1. Utunzi makini. 2. Upangiliaji wa nyimbo. 3. Upigaji bora wa solo gitaa. 4. Uibuaji wa vipaji vya muziki. 5. Nidhamu kwa wanamuziki. 6. Sebene la muda mrefu. 7. Kuchomekea majina...
  11. Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

    Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy. Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
  12. Party ya Siku ya kumbukizi ya kuzaliwa ya Jakaya Kikwete akitimiza miaka 72, Oktoba 7, 2022

    Uwanja wa Polisi Chalinze kwenye kilele cha sherehe ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete.
  13. Kheri ya Kumbukizi ya siku yaKuzaliwa Kwangu na wengine waliozaliwa tarehe kama ya leo.

    Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu. Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
  14. Ongezea, kumbukizi kuhusu katiba mpya

    Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
  15. R

    Kebehi dhidi ya Nyerere na Magufuli, ni ishara Watanzania wana uelewa mdogo. Viongozi hawa wajengewe kumbukizi

    Habari, Nimekuwa nikipitia mitandao mingi ya Kijamii wachangiaji wakitoa maneno ya kashfa na kuudhi dhidi ya hawa viongozi wetu, ingawa ukipita mitaani hali ni tofauti na kwenye hii mitandao. Swali ni kwamba kuna vijana huwa wana ajiriwa kwa shughuli hii chafu? Mwalimu Nyerere na Magufuli ni...
  16. Kumbukizi: Tanzania Progress Through Self-Reliance (1969)

  17. Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  18. Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia.. ======== Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
  19. Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  20. Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

    ABUU KAUTHAR Tukio la kawaida la mkusanyiko wa watu kumkumbuka mpendwa wao limenifumbua akili na kuyajua mambo mengi kuhusu siasa za nchi hii na asili ya uhusiano wa karibu wa baadhi ya watu. Nazungumzia kumbukizi ya miaka 20 tangu kufariki kwa mmoja wa viongozi mahiri wa Chama cha Mapinduzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…