Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,232
6,478
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.

Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro ameshauri siku ya kifo Cha baba yake ibaki kwa kumbukizi ya kifo Cha Mwl Nyerere tu na sio kuchanganywa na mambo ya serikali.

Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyota ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.
 
Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyotz ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.
Wazo zuri sana haifai kuhusisha tukio la ufuska na ufisadi na tukio muhimu la kumkumbuka Hayati Rais Nyerere
 
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.

Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro ameshauri siku ya kifo Cha baba yake ibaki kwa kumbukizi ya kifo Cha Mwl Nyerere tu na sio kuchanganywa na mambo ya serikali.

Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyotz ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.
Angetulia tuuuu.....Mako naee....hivi RC wapi sasa??? Amshukuru sana saa 100
 
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.

Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro ameshauri siku ya kifo Cha baba yake ibaki kwa kumbukizi ya kifo Cha Mwl Nyerere tu na sio kuchanganywa na mambo ya serikali.

Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyota ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.
Mwenge ukakae makumbusho
 
Correct
 
Nakuel
Huyu hata kabla hajala teuzi wakati tunakaa naye Uzunguni - Arusha tulikuwa tunapiga naye mvinyo safi kabisa,na Rose Garden hapo DSM.

Hivyo usifikiri kuwa anababaika na uRC.
Nakuelewa sana mkuu....ana source kibao za mpunga lakini RC si haba pia....chako ni chako zaodi kupewa wife ( jaji) au cut familia au watoto.......hoja iko hapo
 
Mtu akifa, na habari zake huishia hapo...

Sijui hili suala tutakuja kulielewa lini sisi ambao Mungu bado katujaalia uzima
 
Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali.

Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro ameshauri siku ya kifo Cha baba yake ibaki kwa kumbukizi ya kifo Cha Mwl Nyerere tu na sio kuchanganywa na mambo ya serikali.

Lengo la serikali kuzima mwenge kila tarehe 14 October ni kuashiria kuzima kwa nyota ya Taifa Mwl Nyerere ambaye aliasisi mwenge huo.
Naunga mkono hoja
 
Kenya tuliowaiga walifuta Kenyatta Day siku ya kukumbuka kifo cha Kenyatta wakaibadili kuwa mashujaa day na sababu walitoa ni.kuwa Kenyatta hakupigania uhuru akiwa peke yake wengi walishiriki hivyo wakaiita mashujaa day ambapo hukumbukwa wote waliopigania uhuru

Hata sisi iko haja hiyo ili iwepo ya kuwakumbuka wote wakiwemo akina Kawawa nk
 
Back
Top Bottom