kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tanzania Progress Through Self-Reliance (1969)

  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Chato: Yaliyojiri katika Maadhimisho ya mwaka 1 wa kifo cha Hayati Magufuli. Kasala, tusimamie ukweli na haki. Samia kuendeleza Mema

    Leo ni Maadhimisho ya Mwaka mmoja tangu Rais wa awamu ya Tano Dkt John Pombe Joseph Magufuli atukote. Maadhimisho hayo yanafanyika mkoani Geita katika wilaya ya Chato. Maadhimisho hayo yatahudhuriwa na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu, Makamu wa Rais Dkt. Isdori Mpango...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia.. ======== Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
  4. masara

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  5. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 20 ya Moses Nnauye imetegua vitendawili vingi

    ABUU KAUTHAR Tukio la kawaida la mkusanyiko wa watu kumkumbuka mpendwa wao limenifumbua akili na kuyajua mambo mengi kuhusu siasa za nchi hii na asili ya uhusiano wa karibu wa baadhi ya watu. Nazungumzia kumbukizi ya miaka 20 tangu kufariki kwa mmoja wa viongozi mahiri wa Chama cha Mapinduzi...
  6. Determinantor

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
  7. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: G.Lema alimuonya Sabaya,yeye akatia kiburi

    Mkishauriwa kutenda haki muwe na masikio. Sabaya alionywa na Lema hakusikia.Leo yamemfika. Kwa mnaokumbuka vizuri Shujaa naye pia alionywa na huyu huyu Lema atende haki,hakusikia!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

    Kama binadamu, sote tuna mapungufu. Hata hivyo ashukuriwe Mola kwa kutupatia nyota wa kuangalia na kujifunza miongoni mwetu. Enyi viongozi wetu wa zama hizi mliojawa na ubinafsi uliopitiliza, mtakumbukwa kwa ubinafsi wenu? ---------- Credit kwako mkuu sana bwana Achimwene wa Makete: Mambo...
  9. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Waliowahi kuwa Marais wa Zanzibar Katika Picha ya pamoja

    Hayati Abeid Aman Karume & Aman Abeid Karume
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Katika Picha: Mzee Ally Hassan Mwinyi, mkewe & watoto wao akiwamo Rais Hussein Mwinyi

    Picha ya kutambo Mzee Mwinyi Akiwa na familia yake
  12. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwalimu Nyerere alituasa kutoyapa madaraka baadhi ya Makabila tukapuuza, Bila Shaka tumejifunza

    Moja kwa moja kwenye mada. Naomba nitoe angalizo kwamba hili sio bandiko la ukabila wala matusi bali ni kumbukizi aliyotuasa mwaliko hapo zamani za kale akiwa hai. Ndugu zangu hayati mwalimu Nyerere si tu alikuwa baba wa Taifa bali alibeba maoni ya mambo mengi,kwa mfano aliwahi nukuliwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

    Ndugu zangu, Mnamo mwaka 1999 aliyekuwa Meneja wa Billcanas ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Chadema akimkabidhi tuzo mlimbwende Hoyce Temu ambaye kwa sasa ni Balozi mteule.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumbukizi ni Hayati Sokoine, Nyerere na Karume tu?

    Ni swali limenijia kuhusu haya matukio ya kumbukizi ya viongozi wetu waliotangulia mbele za haki. Ni vigezo gani hutumika kufanya kiongozi afanyiwe kumbukizi annually? Je, ni Sokoine, Nerere na Karume pekee wenye hivyo vigezo? Na iwapo viongozi wengi watakidhi hivyo vigezo si tutakuwa na...
  15. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari Ni furaha iliyoje kuiona siku muhimu kama leo, Nawashukuru wazazi wangu kunilea mpaka hapa nilipo Mungu awabariki na kuwapa siku nyingi za uhai wenu na awape afya njema. Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii muhimu ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu furahi pamoja nami siku hii...
  16. Wu-Ma

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Video: WW2, Wajapani wakipambana vikali wakitumia (suicide bomber) dhidi ya Marekani kulinda kisiwa chao cha Okinawa , Mei 1945

    Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea , kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
  17. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Leo kumbukizi ya muungano wa Zanzibar na Tanganyika, utaratibu upo vipi?

    Tuliisha zowea sikukuu za kiserikali kutaarifiwa gharama ( pesa ) kuelekezwa kwenye miradi mingine sasa sherehe hii ya leo imekaaje?
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Kauli ya Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni 2020

    Kauli hii ilitolewa na Mh. Rais Samia Suluhu kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba 2020
  19. Baba ilumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salaam za kumbukizi

    Habarini wana jf ni tumaini langu kuwa nyote mu wazima wa afya kabisa. Leo ningependa tutoe salaam za kumbukizi kwa ndugu,marafiki,wazazi,walezi na wengineo tuliowahi kukutana nao maishani. Nikianza na mimi salaam zangu ziwafikie marafiki zangu wote tuliowahi kuwa pamoja na pia kwa...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi 2015: “Nitailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania; Nitawatendea haki sawa watu wote bila Upendeleo kwa mujibu wa Sheria."- Dkt Magufuli

    Ikiwa imebaki masaa kidogo tu Rais Magufuli kwenda kuapishwa tena kuwa Rais kwa awamu ya pili mkoa wa Dodoma.( 2020 - 2025)
Back
Top Bottom