kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 KUMBUKIZI | Dkt. Kigwangalla: Kama kuna mtu ataweza kushindana na mimi kwa vigezo, akachukue fomu. Nzega ni njema

    Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

    Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima. "Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Benjamin Mkapa: Ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa Serikali iliyopita

    Leo ikiwa ni miaka mitano tangu kufariki kwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, alisisitiza kuwa ni kosa kwa kiongozi kudharau mchango wa serikali iliyopita na kuwataka viongozi kuheshimu misingi na mafanikio yaliyotangulia. "Tuna mabadiliko ya serikali katika nchi za Afrika, wakati...
  4. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Kibajaji na Hoja ya Kihistoria Katika Mkutano Mkuu wa CCM – 2025

    Dodoma – Januari 2025 Mwaka 2025 utabaki kwenye historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama mwaka ulioshuhudia moja ya mijadala ya ndani ya chama yenye mvuto mkubwa wa kisiasa, ujasiri wa ndani, na tafakuri ya kidemokrasia. Tukio hilo lilitokea katika Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika jijini...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Treni- ndege (TRENDE)

    Mradi wa Treni-Ndege ya umoja wa Kisovieti (Soviet Jet Train) ulianza katika miaka ya 1970 kwa wazo rahisi, weka injini za ndege ambazo haziwezi kutumika tena angani, lakini bado zinaweza kutumika ardhini. Kwa mradi huu, Treni ya ER22 ilirekebishwa umbo kuweza kusimikwa injini za ndegevita ya...
  7. Fifteen

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya wimbo wa Kala Jeremiah

    Naomba kala Jeremiah asikilize huu wimbo wake tena kisha aje atuambie ulikua unahusu nini? Ndipo asifie serikali ya awamu hii inaupiga mwingi maana huu wimbo ni kama alitabiri yatakayo tokea awamu hii na ndo anayo yasifia UBETI WA 1 Rest in peace Kawawa Karume Baba Nyerere Mlipanda mahindi...
  8. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi namna polisi walivyo wapiga vibaya watu wa CUF

    Hii ilikuwa mbaya sana
  9. mama D

    JamiiForums Tanzania Ijumaa kuu ikiwa kumbukizi ya mateso na kifo cha Kristo hatuli nyama ila vifo vya wapendwa wetu tunakula nyama tena tunaangusha ng'ombe kabisa

    Wakristo wenzangu, haswa wa kanisa mama kanisa Katoliki. Hii imekaaje? Tunajua, tunaamini na tunaiishii imani hii kwamba kula nyama ijumaa kuu siku ambayo Bwana wetu Yesu Kristo Aliteswa na kusulubishwa inachukuliwa kama Kufurahia au kusherekea mateso yake. Vipi kuhusu wale ng'ombe na mbuzi...
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita tangu Simba akimbie mechi ya derby

    Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila...
  11. F

    JamiiForums Tanzania AIRTEL: Hatuadhimishi Karume Day bali Twakumbukia " Kumbukizi".

    Mtandao wa simu wa Airtel wamenitakia maadhimisho mema ya siku ya Karume. Sio kuadhimisha bali ni kukumbukia. Tunaadhimisha jambo Zuri lililotokea bali jambo baya kama kifo ni kumbukizi maana alitutoka huku tukimuhitaji. Wazungu husema Commomerate na sio celebrate. Asanteni.
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Malikia fundi magari

    Wengi wanamfahamu Malkia Elizabeth II kama kiongozi wa Kifalme aliyedumu kwa muda mrefu, lakini wachache wanajua kuwa alikuwa fundi wa magari aliyepata mafunzo rasmi. Mnamo mwaka 1945, wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, Malkia Elizabeth, ambaye wakati huo alikuwa bado binti wa mfalme na mwenye...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Peugeot 504.. Chuma cha pua. Chombo ya fundi

    Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Kifo cha Marijani Rajab

    Alizaliwa Machi, alikufa Machi na kuzikwa Machi. Kaburi la Marijani Rajabu katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Leo ni miaka 30 kamili tangu afariki.`Pumzika kwa amani King rajab.
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa wakongwe tuu. Kumbukizi zenye simanzi

    Tuliyaishi haya maisha.. Leo yamebaki kuwa simulizi za vitabuni.. Hakuna uhalisia tena Hakuna urafiki wa kweli tena.. Marafiki wa siku hizi ni mazombi ya mitandaoni.. Ni urafiki gani huo hamjuani wala hamjawahi kuonana?
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Magufuli akimtumbua Kangi Lugola, 'kama kuna wizara inanitesa ni wizara ya mambo ya ndani, kusainiwa kwa mikataba ya ajabu ajabu'

    Alhamisi ya Januari 23, 2020 aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya tano Dkt. John Pombe Magufuli alionesha kusikitishwa na kitendo cha waliokuwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kutia saini makubaliano ya zabuni ya kununua vifaa...
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Rais wa nchi kukaa kimya katika siku ya kumbukizi ya kifo Cha mtangulizi wake ? Kuna jambo halipo sawa! Magufuli pumzika kwa amani

    Mpaka sasa hakuna page yoyote ya rais iliyoposti chochote kuhusu kumbukizi ya mtangulizi wake john pombe magufuli ! Sio waziri mkuu Wala makamu wa rais aliyethubutu kuzungumza chochote ! Labda tunajaribu kuifubaza siku hii muhimu ni yenye kumbukumbu ya kutisha kuwahi kuipata nchi yetu !na kwa...
  18. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo na siku ya kumbukizi ya kifo cha JPM tarehe 17 Machi kila mwaka ni dhihaka kwa taifa

    17 March 2021 Rais John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano aliaga dunia. Pamoja na madhaifu yake kama binadamu ila ameacha legacy itakayodumu vizazi na vizazi. Ametuachia miradi mikubwa ya kimkakati ikiwepo SGR, bwala la Julius Nyerere, uboreshwaji wa huduma za kijamii ikiwepo shule barabara...
  19. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Redio na TV havina mpango na kumbukizi ya kifo cha John Magufuli

    VItuo vya Tv na Redio ukitazama au kusikiliza huwezi kusikia kiashiria chochote kuhusu siku ya leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka minne ya kifo cha John Pombe Magufuli ila mitandao ya kijamii kila sehemu lazima ukutane na taarifa hii. Serikali nayo kama haijui kinachoendelea labda kiongozi mmoja...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Upendo toka Manyara: Sherehe ya Kumbukizi Kuzaliwa Rais Samia Suluhu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto, Manyara. Sambamba na hilo wakazi wa Mji wa Kibaya walijitokeza kwa wingi katika upandaji wa Miti 500...
Back
Top Bottom