Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118

Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.

Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi yoyote baada ya uteuzi huo.

Februari 26, 2021, Hayati Rais Magufuli, alimteua Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na siku hiyo hiyo aliteuliwa kuwa Balozi. Hata hivyo Machi 21, 2021 aliondolewa katika nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa Mbunge.
 
p7582_p_v8_aa.jpg
 
Mshahara huko mjengoni umepaa ghafla from 13m to 18! Probably na posho na kiinua mgongo cha baada ya "kazi" ya miaka 5 vitapanda. Let's wait and see asemacho Dr. Bashiru.
 
Hawa wabunge hawanaga kikokotoo? Maana sisikii wakilalamikia
 
Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu.

Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi yoyote baada ya uteuzi huo.

Februari 26, 2021, Hayati Rais Magufuli, alimteua Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na siku hiyo hiyo aliteuliwa kuwa Balozi. Hata hivyo Machi 21, 2021 aliondolewa katika nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa Mbunge.
bashiru utakufa kifo kibaya. maovu yote ya maguduli uliyakumbatia as long as unapata mlo wako na waliokuzunguka.
 
Mshahara huko mjengoni umepaa ghafla from 13m to 18! Probably na posho na kiinua mgongo cha baada ya "kazi" ya miaka 5 vitapanda. Let's wait and see asemacho Dr. Bashiru.

Hawa nao ni zigo lisilo bebeka kwa nchi. Nini kifanyike?
Hawalipi kodi
Pension kubwa isiyomithirika
 
Nilimdharau sana kwa jinsi alivyokuwa anajipendejeza kwa Magufuli, na kuiga tabia za Magufuli. Kama Kuna baadhi ya wasomi walijadhalilisha kipindi Cha Magufuli ni yeye na profesor Kabudi. Ni kama Magufuli alikuja Ili unafiki wao ukae hadharani.
 
Back
Top Bottom