Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan.
Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya!
Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
Kuna mdahalo mkali sana unaendelea kuhusu kumbukumbu ya miaka miwili bila JPM.
Kumeshaibuka pande mbili za wanaomkumbuka.Magufuli. upande wa kwanza ni wale wanaomuomboleza wakikumbuka mema yake. Na upande wa pili ni wale ambao wanashangilia kifo chake.
Serikali inayoongozwa na CCM imekaa kimya...
Kesho Machi 17 ni miaka miwili ya kumbukizi ya hayati Magufuli.
Rais Samia yupo nje ya nchi, je amekwepa kwa makusudi au bahati mbaya kwenye kumbukizi ya mtangulizi wake?
Ikumbukwe mwaka jana waliadhimisha Rais Samia pamoja na Kaguta Museveni huko Chato. Mwaka huu kulikoni?
Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi Mwinyi akiwa Madarakani.
Kati ya Marais walioingia madarakani baada ya Mwalimu Kung'atuka yaani Ally...
Mar 6, 2019
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi kijacho kitamlaani
When I was young and stupid kama ungeniuliza ni mji gani ungependa kutembelea duniani basi ningekuambia mji wa Canton, Canton ni mji ulio kando ya bahari katika nchi ya china lakini kwa sasa hivi uniatwa Guangzhou. Sababu ya mimi kupenda mji huo ni kwakua those time nilikua mpenzi sana wa muvi...
Wengine inawezekana mmeanza kujua mpira baada ya uwanja wa Mkapa kujengwa. Ngoja leo niwape story moja.
Wakati tunatumia uwanja ambao leo unaitwa wa Uhuru, uwanja ulikuwa katika hali mbaya sana, ingawa kwa macho na mtazamo wetu uwanja ulikuwa fresh tu. Huko ndiyo jina la 'Shamba la Bibi'...
Kama ccm ndio hawa, basi upinzani una safari ndefu sana kuchomoza katika nchi hii.
Nilijiuliza nini kiliwasukuma hawa watu kuanzisha taasisi nyingine kwa jina na malengo yanayoelekeana, ila nilipowaona aina ya wageni walioalikwa kutoa mada na ukumbi uliotumika nikajua ccm ni wajanja wajanja...
Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo;
1. Utunzi makini.
2. Upangiliaji wa nyimbo.
3. Upigaji bora wa solo gitaa.
4. Uibuaji wa vipaji vya muziki.
5. Nidhamu kwa wanamuziki.
6. Sebene la muda mrefu.
7. Kuchomekea majina...
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy.
Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
Leo ni July 15, Ni kumbukukizi ya siku ya kuzaliwa kwangu.
Naomba Nichukue sekunde zako chache Tuwatakie wote waliozaliwa terehe kama ya leo kheri na fanaka tele katika maisha yao!
Wamesema wengi kuhusu ongezeko la UJINGA uliokithiri miongoni ndani ya jamii yetu, Tanzania. Sijui ni vipimo gani vimehusishwa na hilo. Ila tunao usemi ule kwamba lisemwalo na wengi laweza kua kweli, hata kitakwimu hii inakubalika ... yale ya normal distribution kuhusu data za collective...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.