kumbukizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Leo ni kumbukumbu ya miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius K Nyerere, unakumbuka nini kuhusu huyu mzee?

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanganyika (baadaye Tanzania), alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkubwa barani Afrika na duniani. Katika kumbukumbu ya miaka 25 ya kifo chake, haya ni mambo 7 muhimu kuhusu Nyerere: 1. Muanzilishi wa Taifa la Tanzania: Nyerere...
  2. R

    GE2020 Kumbukizi ya homa za uchaguzi CCM 2020

  3. Kumbukizi Miaka 25 ya Nyerere; CCM Imetutosa Wastaafu, Kutudanganya na Kutudharau kwa Kauli za Mwigulu Bungeni

    Kwako Mwalimu Nyerere; Wiki hii tunaitumia kukukumbuka wewe na uongozi wako. Sisi wazee tunakumbuka mbali zaidi hasa zile nyakati za vita Kagera ambavyo wapo wenzetu ambao waliambulia vilema na mpaka leo tunao wakiwa hai na huku wakilipwa Pension ya Laki 1 kwa mwezi na Hazina na hakuna msaada...
  4. Heri ya kumbukizi ya siku ya Kuzaliwa kwangu

    Nimeipokea miaka 27 nikiwa (happy) happily regardless of the future...... Nisaidieni kuniwish basi
  5. Kumbukizi: Leo ni Miaka 21 tangu Marc Vivien Foe adondoke uwanjani na kufariki Dunia

    Tarehe kama ya leo miaka 21 iliyopita Dunia ilimpoteza kiungo mahiri wa Man City na timu ya Taifa ya Cameroun, Marc-Vivien Foe. Foe alidondoka uwanjani dakika ya 72 wakati wa mchezo wa Kombe la Mabara, kati ya Cameorun dhidi ya Colombia katika hatia ya nusu fainali ambapo michuano hiyo ilikuwa...
  6. Furahia pamoja nami katika kumbukizi ya kuzaliwa kwangu

    Habari wadau wangu, Namshukuru Mungu kuiona siku ya leo wengine hawapo duniani ila ni mapenzi ya Mungu kuniweka hadi leo kufurahia siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwangu kwangu naona ni neema ya ajabu mno kuona siku hii. Namshukuru Mungu kunipa afya njema na kunipa tumaini jipya basi enjoini...
  7. #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

    Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
  8. Arusha: Rais Samia ashiriki Misa Maalum ya Miaka 40 ya Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Sokoine. Atoa pole kwa familia za wanafunzi waliofariki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Maalum ya miaka 40 ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Juu, Mkoani Arusha tarehe 12...
  9. Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Sokoine

    Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead. Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na akifahamika Masaini kote na alitajirika katika biashara. Mali hii aliitumia bila choyo wala khiyana...
  10. Rais Samia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu Hayati Sokoine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho, Ijumaa Aprili 12.2024 anatarajia kuwaongoza Watanzania katika kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine Akizungumza na wanahabari leo, Alhamisi Aprili 11.2024 Monduli...
  11. Kumbukizi ya Dkt. Bashiru: "Sitagombea wala kukubali uteuzi wowote baada ya huu". Kilichofuata baada ya hapo ilikuwaje?

    Mei 29, 2018, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, aliteuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu cha chama hicho akichukua nafasi ya Abdulrahman Kinana ambaye aliomba kujiuzulu. Baada ya uteuzi huo, Dkt. Bashiru alitoa kauli kuwa nafasi hiyo ni ya kwanza na ya mwisho kwake na hatakubali kuteuliwa katika nafasi...
  12. Kumbukizi: Mashabiki wa Simba waweka bango la ushindi wao dhidi ya Yanga

    Hii picha niliipiga mtaa fulani katika kata ya Yombo vituka Dar es salaam miaka kama miwili nyuma hivi ,leo katika kupekua simu nimeiona..
  13. F

    Makongoro Nyerere ashauri kumbukizi ya Hayati Mwl Nyerere isichanganywe na shughuli nyingine

    Moja wa watoto wa Mwl Nyerere aliyepo ktk siasa na utumishi wa umma, hafurahishi siku ya kumbukizi ya kifo Cha baba yake kuchanganywa na shughuli nyingine ya serikali. Makongoro ameyatoa ya Moyoni mbele ya Rais Samia aliyetumia siku hiyo kuuzima mwenge mjini Babati Manyara. RC Makongoro...
  14. S

    Nyerere day imepita na mambo mengi bado hayako sawa

    Nimeona ukimya wa kitaifa kuhusiana na migogoro ya kimataifa,nimeona tumeshindwa kutumia walau fursa hiyo kuwaenzi Aman karume na jk kuwaonya majirani zetu wa karibu kupatana sisi kama moja ya wakubwa wa east africa,hamna tumaini jipya juu ya migao ya umeme,hamna kauli yoyote juu ya upandaji wa...
  15. Kumbukizi ya Dkt. Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme

    Kumbukizi ya Dr Remmy Ongala wakati wa Nyerere hakukuwa na mgao wa umeme.. unaniamsha unajua nimelala vipi uhuni huo.
  16. Kumbukizi ya Hayati Magufuli kuhusu umeme

  17. KUMBUKIZI: Abajalo Vs Sparrow, Van Dame anachukua maamuzi ya kijasiri, Louis Mfede anausimika Ufalme wake, Kally Ongala anaamua Mechi

    Ukiniuliza kule Ulaya ni Mshabiki wa Timu gani basi ni wazi kuwa ntakujibu Mimi ni Mshabiki na Mfuasi wa AC Milan. Ukija Bongo ukiniuliza basi ntakwambia nipo Yanga, lakini pia ni mshabiki lialia wa Tangu na Tangu wa Club Deportivo Abajalo maarufu kama Abajalo Mnyama Mkubwa yenye Maskani yake...
  18. Kumbukizi: Tarehe kama ya leo Mwaka 1977, Simba iliifunga Yanga magoli 6-0

    Tarehe kama ya leo Julai 19, 1977 miaka 46 iliyopita Timu ya Simba ilitoa kipigo kikubwa cha kihistoria kwa wapinzani wao wa jadi, Yanga, mshambuliaji Abdallah ‘King’ Kibaden alifunga magoli matatu ‘hat trick’ na kuweka rekodi ya kuwa mchezaji pekee kuwahi kufunga hat-trick katika mchezo baina...
  19. R

    Kumbukizi Magufuli: Tumerogwa na nani?

    Mbali na viongozi kujua wanaowateua ni bure kabisa lakini bado wanaendelea kuteua watu hao hao! Awamu zote mambo ni haya haya, miaka nenda rudi bado tunafanya makosa haya haya! Hii inafanya tupigie mstari wa wino mwekundu kuwa, kuna ka mkono kao huwa kanahusika kwenye upigaji wa hii mikataba...
  20. Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

    Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…