Petrol na diesel Tanzania ni ghali kuliko Kenya

Trubarg

JF-Expert Member
Jan 8, 2020
4,260
6,908
Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei
Dar
✅Petrol ni Sh. 3100+
✅Diesel Sh 3200+
Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh
✅Diesel 125.5= 2503Tsh.
Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh
✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh
Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya Ukrain na Urusi
 
Dah mkuu Kenya hali ni mbaya asikwambie mtu, kule matajiri wamehodhii bidhaa iyo

Yaan wameifanyanimekuwa adimu kama nini sijui
 
Ukweli futa letu sahivi ndio wameona sehemu ya kulipiga tozo na kodi. Baada ya kuona kutakua na bei mpya. Wakaongeza maradufu
 
Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei
Dar
✅Petrol ni Sh. 3100+
✅Diesel Sh 3200+
Nairobi ✅Petrol 144+ Ksh=2884Tsh
✅Diesel 125.5= 2503Tsh.
Mombasa ✅Petrol Ksh. 142=2850Tsh
✅Diesel Ksh. 123=2463Tsh
Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya Ukrain na Urusi
Exchange rate umekosea. IKsh ni sawa na 20.8 Tshs
Uki adjust hiyo rate unakuta bei zinalingana tu na za bongo
 
Mpaka kufika mwishoni mwa mwaka itagonga 4000+ per litre,ukiongea unaitwa sukuma gang, cha ajabu mpaka hao waliokuwa wanawaita wenzao sukuma gang nao wanalalamika manake mimi nilizani wanaishi Burundi.

Hii ngoma bado mwakani Bi mkubwa akicheka nao ngoma inafika mpaka 5000 per litre.
 
Uchunguzi wangu mdogo inaonyesha kwamba kwa mwezi huu wa Mei
Dar
Petrol ni Sh. 3100+
Diesel Sh 3200+
Nairobi Petrol 144+ Ksh=2884Tsh
Diesel 125.5= 2503Tsh.
Mombasa Petrol Ksh. 142=2850Tsh
Diesel Ksh. 123=2463Tsh
Bado sijaelewa sababu ya hii difference ilihali wote tunasingizia vita ya Ukrain na Urusi
Ungeweka na bei ya Zambia ndiyo ungelia kabisa kwa sababu mafuta yao yanapitia bandarini kwetu
 
Exchange rate umekosea. IKsh ni sawa na 20.8 Tshs
Uki adjust hiyo rate unakuta bei zinalingana tu na za bongo
Rate ya wapi hiyo..Embu tumia rate yako alafu njoo tuonyeshe kama bei zitafanana
 
Ila bei ipo chini sana kuliko huko
Embu acha urongo ww tunaona ktk platform tofauti tofauti wa kenya wanavyo saga meno juu ya bei ya mafuta ...mpaka meimosi rais kapagawa ikabidi mshambulie vice president wake
 
Tuonyeshe evidence ya hiyo bei...
 
Mpaka kufika mwishoni mwa mwaka itagonga 4000+ per litre,ukiongea unaitwa sukuma gang, cha ajabu mpaka hao waliokuwa wanawaita wenzao sukuma gang nao wanalalamika manake mimi nilizani wanaishi Burundi.

Hii ngoma bado mwakani Bi mkubwa akicheka nao ngoma inafika mpaka 5000 per litre.
Hujui kuwa kuna vita Ukraine?
 
Dah mkuu Kenya hali ni mbaya asikwambie mtu, kule matajiri wamehodhii bidhaa iyo

Yaan wameifanyanimekuwa adimu kama nini sijui
Acha uongo wewe, nipo Kenya sasa hivi. Hali ipo sawa, zile foleni na uhaba wa siku chache, ziliisha wiki kadhaa zilizopita. Zilikuwa zimesababishwa na suppliers, ambao walikuwa wanangoja kuona kama serikali itatoa 'subsidy' ya petroli. Subsidy huwa inatolewa na serikali ili kuwakinga raia, kutokana na kupanda ghafla kwa bei ya bidhaa muhimu kama petroli, vyakula n.k.
 
Sema ruzuku,subsidy si kila mmoja ansjua
 
Back
Top Bottom