Katika pitapita zangu huko mitaa-ndooni, nilikutana na tangazo la kuwalika "Single Mothers" kwenye event. Sio dhambi kukusanyika lakini why only Single Mothers?! Wanataka wawafundishe Nini au wajadili nini?
Kuna group la Whatsapp la Single Mothers, wanajiita Single Mothers Tanzania, hawajawahi...
Malaya, ni mwanamke, anafanya na nani huo umalaya? Mwanaume, sasa kwanini hatajwi?
Usiache mwanamke mchawi aishi. Heeee, yaani wachawi ni wanawake tu, wachawi wananaume kwanini wanapewa haki ya kuishi?
Bongo ukitaja ujambazi mkubwa kabisa, utaambiwa ni ule wa Sarah Simbaulanga. Mabenki na...
Kwa kifupi tuanze kujadili dhana ya kifo ninayoiamini "Kifo ni kuondoka taratibu kutoka Sasa Hadi zamani. Yani kutoka kuto kuwepo na kuwepo(kuzaliwa) kutoka kuwepo na kutokuwepo Tena(kufa).
Madondoo ya miongozo ninayoiamini
-Kufa ni namna nyingine ya kuishi ya binadamu
- Mtu hafi akapotea (MTU...
Wanawake ila sio wote maana wanawake wengine akili zao wanazijuaga wenyewe mimi na uanaume wangu wote nikili tu vitu vingi vya tech nimeelekezwa na mwanamke wangu huyu mfano jambo dogo tu ilikua mwaka 2015 nimenunua simu mpya sasa nataka niingie play store nipakue vitu ninavyo vitaka niseme...
Ebu ngoja niende moja kwa moja kwenye mada leo nilikutana na kijana ana heleni masikio yote na puani ana kipini na nyusi ana wei na kichwani nywele Katia rangi yaani mpk ujue ni mwanaume umuone usoni.....moja kwa moja nikawaza na kujiuliza aya mabadiliko ni usasa au nini iki yaaani mwanaume...
Habari waungwana,
Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga.
Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali?
👇👇👇👇👇👇
Zama Zama ni neno litokalo kabila la hausa kwa kngereza (To be).ila kwa kizuru(Try Try).
South africa imebarikiwa kuwa na uchimbaji mkubwa wa dhahabu na migodi mikubwa inayozalisha madini ya dhahabu.
kutokana na upatikanaji mkubwa wa dhahabu nchini south africa,ukilitimba wa wachimbaji wa dogo...
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania unatetea na kuwapinga hadharani wanaomtukana.
Nguvu ya Hayati Magufuli inatoka wapi wakati hayuko...
Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana.
Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
Angalia sana kila anaejisifu na kujidai kutenda haki, sio wote wapo kama wasemavyo,
Huku wanasema hivi na kule wanasema vingine,
Chukua tahadhari sana
Ikibidi chambua sana mpaka upate kitu safi 100% halafu ndio uunge mkono
Wengi huwenda kwa maslahi yao zaidi
Angalieni wasiwapoteze
Haki hutendwa...
Wengi wetu tumekua wa kwanza kutafuta lawama kuliko kuangalia suluhisho, hii inatufanya kushindwa kuendelea kwa sababu ya kubaki na kinyongo. Tupambane tuachane na lawama zisizo za msingi.
Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika?
Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA...
Katika hali iliyoonekana kama vile kuzidiwa na uzee au matatizo ya kusahau sahau Rais wa Cameron, mheshimiwa Paul Biya alijikuta akigeuka kichekesho wakati wa mkutano wa kimataifa wa US Africa Leadership Summit in Washington DC.
Rais huyo mzee kuliko wote alijikuta akisahau mahali alipo punde...
Kutana naye ofisini /sehemu ya ibada
Utasema mwanamke ndiye huyu! Anavyomnyenyekea boss wake, utasema ana heshima Sana. Boss ataulizwa nikupe chai au kahawa? Kuna kitu unahitaji, tabasamu Kama lote. Ushawahi kukutana na wadada wa customer care? Utasema hapa ndiyo penyewe 😁
Kanisani nako...
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Wana CCM wamekaa miaka sita Bila kujibu hoja za upinzani; lakini pia Kwa safu waliyonayo hakuna timu ya kupambana na wapinzani. Nchi imepitia mdororo WA kiuchumi usiosemwa, madeni yameongezeka na miradi isiyoendelevu NI mingi. Kufunguliwa Kwa majukwaa ya kisiasa maana yake nikuruhusu akina Tundu...
Fikra au Mawazo. Speed yake haijaweza pimwa mpaka sasa. Ukikaa ndani ya sekunde unaweza ukawaza umefika Ulaya na kurudi Tz. Ilhali hujanyanyua hata nyusi.
Unaweza waza mambo kadhaa ndani ya musa mfupi sana au ukaenda sehemu na lazima kurudi ndani ya muda huo huo mfupi kwa mawazo. Hata unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.