Ushamba wa Wabara una Ujanja kuliko Ujanja wa Wazaramo au Wapwani

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Dar Es Salaam mzee wangu alikuwa anataniwa na rafiki majirani Wazaramo ...." We wakuja" anacheka sana. Akawa anawatizama tu anacheka.

Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua nyumba zao pale Jirani akabomoa akatanua uwanja.

Juzi juzi hapa wamekuja waliokuwa majirani wawili kumtembelea mzee pale home. Wamechoka saaana. Wamebaki na maneno mengi tu mdomoni mfukoni choka mbaya.

Mzee kawatembeza eneo letu. Kuna ng'ombe mle ndani kuna bustani ya mboga mboga na kuna bustani ya maua nzuri. Amewazungusha wanashangaa.... Mzee anawauliza haya nyie Wazaramo nani sasa wakuja kati yangu na nyie.

Kwa kweli wamebaki wanashangaa. Mzee wangu alitoka Bara miaka ya 50s huko. Sisi tumezaliwa na kukulia Dar. Bado tunajisikia Fahari kuwa Wabara. Dsm imejengwa na wageni. Hawa hawa mnaowaita washamba.

Angalia Jiji la Dar. Limetawaliwa na
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wahaya
4. Wachaga
5. Wakinga

Na kule Mjini utakuta Wahindi.

Nikawaza nikagundua Ushamba wa Wabara una ujanja kuliko Ujanja wa Wapwani. Hawa wanasema waliwafundisha wabara Kiswahili. Miaka ile wanasema walimfundisha Nyerere kuvaa... Nawatizama nasema Hiiiiiiiiiii.....
 
Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua

Na kule Mjini utakuta Wahindi.

Nikawaza nikagundua Ushamba wa Wabara una ujanja kuliko Ujanja wa Wapwani. Hawa wanasema waliwafundisha wabara Kiswahili. Miaka ile wanasema walimfundisha Nyerere kuvaa... Nawatizama nasema Hiiiiiiiiiii.....
Kwa hiyo umewasahau wapare makusudi. Hv mhaya, mnyakyusa, mkinga, msukuma, amzidi mpare,
 
Kwamba tujue nawewe unaishi Dar? Ukute unaishi kwa shemeji yako Dar halafu eti mzee sijui ana nyumba Dar.

Mwisho wa siku wazawa kwa maana ya watu wa Pwani ndo wamewafundisha wakuja ustarabu wowote unaoujua wewe.
Upo sahihi. Naishi kwa shemu....siyo dhambi. Sister angu ni mrembo sana kaolewa na mtu mwenye kauwezo kidogo. Ndugu zake wengi tupo hapa...
 
Dar Es Salaam mzee wangu alikuwa anataniwa na rafiki majirani Wazaramo ...." We wakuja" anacheka sana. Akawa anawatizama tu anacheka.

Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua nyumba zao pale Jirani akabomoa akatanua uwanja.

Juzi juzi hapa wamekuja waliokuwa majirani wawili kumtembelea mzee pale home. Wamechoka saaana. Wamebaki na maneno mengi tu mdomoni mfukoni choka mbaya.

Mzee kawatembeza eneo letu. Kuna ng'ombe mle ndani kuna bustani ya mboga mboga na kuna bustani ya maua nzuri. Amewazungusha wanashangaa.... Mzee anawauliza haya nyie Wazaramo nani sasa wakuja kati yangu na nyie.

Kwa kweli wamebaki wanashangaa. Mzee wangu alitoka Bara miaka ya 50s huko. Sisi tumezaliwa na kukulia Dar. Bado tunajisikia Fahari kuwa Wabara. Dsm imejengwa na wageni. Hawa hawa mnaowaita washamba.

Angalia Jiji la Dar. Limetawaliwa na
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wahaya
4. Wachaga
5. Wakinga

Na kule Mjini utakuta Wahindi.

Nikawaza nikagundua Ushamba wa Wabara una ujanja kuliko Ujanja wa Wapwani. Hawa wanasema waliwafundisha wabara Kiswahili. Miaka ile wanasema walimfundisha Nyerere kuvaa... Nawatizama nasema Hiiiiiiiiiii.....
Wazaramo ni advanced marginalized community. Dunia nzima makundi ya watu kama wazaramo wapo. Hata USA native Amerindian Wana sifa kama wazaramo.
 
Dar Es Salaam mzee wangu alikuwa anataniwa na rafiki majirani Wazaramo ...." We wakuja" anacheka sana. Akawa anawatizama tu anacheka.

Leo hii wale waliokuwa wanamwita mzee mshamba wameenda kuishi huko Kisarawe na Mbele ya Vikindu. Mzee alinunua nyumba zao pale Jirani akabomoa akatanua uwanja.

Juzi juzi hapa wamekuja waliokuwa majirani wawili kumtembelea mzee pale home. Wamechoka saaana. Wamebaki na maneno mengi tu mdomoni mfukoni choka mbaya.

Mzee kawatembeza eneo letu. Kuna ng'ombe mle ndani kuna bustani ya mboga mboga na kuna bustani ya maua nzuri. Amewazungusha wanashangaa.... Mzee anawauliza haya nyie Wazaramo nani sasa wakuja kati yangu na nyie.

Kwa kweli wamebaki wanashangaa. Mzee wangu alitoka Bara miaka ya 50s huko. Sisi tumezaliwa na kukulia Dar. Bado tunajisikia Fahari kuwa Wabara. Dsm imejengwa na wageni. Hawa hawa mnaowaita washamba.

Angalia Jiji la Dar. Limetawaliwa na
1. Wasukuma
2. Wanyakyusa
3. Wahaya
4. Wachaga
5. Wakinga

Na kule Mjini utakuta Wahindi.

Nikawaza nikagundua Ushamba wa Wabara una ujanja kuliko Ujanja wa Wapwani. Hawa wanasema waliwafundisha wabara Kiswahili. Miaka ile wanasema walimfundisha Nyerere kuvaa... Nawatizama nasema Hiiiiiiiiiii.....
KWA kuwaonyesha maendeleo yake anacho kitafuta baba ako ni kulogwa. Atalogwa yeye mwenyewe au nyie watoto wake. Au wote kwa pamoja

Niko pale nimekaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom