Wanawake emu njooni hapa mtuambie kipi kinawafanya mpende sana shughuli/harusi kuliko ndoa yenyewe?
Binafsi kuna wanawake kama 5 nishawashirikisha hili jambo, na nilikuwa nikiwaambia hivi langu "nataka nikuoe tufunge ndoa ila kusiwe na harusi hata ikiwepo iwe ya kifamilia tu, watu wasiwepo...
Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama,
1. Uwanja wa sokoine mbeya
2. Sokoine University of agriculture
3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam
4. Sokoine secondary
5. Sokoine regional refferal hospital lindi
6. kituo cha afya sokoine...
Ni takribani Mwaka wa 2 sasa tangu Serikali ya Awamu ya 6 iingie Madarakani. Serikali iliyojipambanua kwa kufungua mipaka na kuichora upya ramani ya Tanzania kwenye ramani ya dunia. Katika safari hii yenye mafanikio makubwa na matumaini kwa Watanzania, Mh Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan , Makamu...
Wataalam wa minyanduo, wale wanaopenda kunyandua spring chicken, tule tutoto tubichiiii, wale wanaochapa wake wa watu, na wale wote wanaoona usalama wao ni mdogo wakati wa majamboz, Airbnb ndio mpango mzima.
Ingia zako tu mtandaoni, tafuta nyumba ya uwezo wako nenda kale maisha.
Hili taifa la Morocco wana kila sababu kujiita ni watu wa Ulaya!
Umbali kutoka fukwe za Morocco na Uhispania iliyoko bara la ulaya ni 14km tu! Umbali huu unaruhusu muingiliano rahisi sana kama ilivyo Pemba na Unguja!
Koo nyingi za uhispania wameoleana na Wamorocco kama ilivyo kwetu bara na...
Alhamdulillah Ijumaa ishaingia na si vibaya kukumbushana mawili matatu.
Hakika Ulimi ni kiungo kidogo lakini hakika madhara yake ni makubwa mno katika Maisha yetu hapa duniani na kesho Akhera.
Watu wengi huenda hatutambui kuwa hakika halitoki Neno lolote kinywani kwetu isipokuwa linaandikwa na...
Na, Robert Heriel
Moja ya dalili ya MTU Maskini na mjinga ni suala la kuongozwa na Maoni na mitazamo ya Watu wengine zaidi kuliko kuongozwa na Sheria na Kanuni.
MTU Maskini na mjinga Kabla hajafanya lolote hufikiria kuwa Watu watasemaje na kumuonaje, au watamchukuliaje.
Unajua umaskini na...
Mambo yetu ili yanyooke mtoeni jamaa nje alafu moja kwa moja aje nyumba mithili ya meli ! Pale wanapoingia kwa code maalumu na hawaitani majina wanaitana chifu pili ukienda ijumaa aga kabisa nyumbani wenda ukarudi jumatatu maana simu zinaachwa reception 🤕
Itatupunguzia haya
Kitaifa tutatulia...
Salaam great thinkers.
Vurugu zimekuwa nyingi mno kwenye jukwaa au majukwaa.Minyukano mawe mkononi kulaumiana we unajua we hujui kitu maneno makali makali we mpumbavu tu hujui kitu mi ndo najua we hujatembea duniani ngumi mkononi mateke.
Kifupi ni vurugu tupu majukwaani mwisho wa siku...
Duniani kote usafiri wa reli ndiyo usafiri wa bei rahisi sana kuliko usafiri mwingine wowote. Malengo makuu ya kuboresha usafiri huu kwa kiwango cha SGR yalikuwa:
~Trip moja ya treni ya mizigo ingaliweza kusafirisha mzigo wa sawa na semi-trailers za malori 500 kwa mara moja, kwa spidi ya 120...
Imezoeleka kudhani kuwa ugali ni chakula chenye nguvu sana. Lakini ukweli ni kuwa ugali ni moja ya chakula dhaifu sana duniani.
Nguvu ya chakula hupimwa kwa calories. Sasa, 100g za chips zina kilo calories(Kcal) 350. Wakati grams 100 za ugali zina kilocalories 210.
Lakini hapa pia inategemea...
JamiiForums ni jamii moja maridhawa mno, ambamo watu watakuonyesha tabia zao halisi zaidi ukilinganisha na jamii nyingine za mtandaoni.
Kwasababu wengi wanatumia majina kificho na picha kificho hapa JamiiForums imekuwa ni rahisi kuonywa kwa kupewa makavu laivu, tabia zako na mambo yako ya hovyo...
Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani.
Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
Kuna hili suala la watu kusema hata ukioa mwanamke ambaye kwao wana uwezo kukuzidi sio tatizo. Huko ni kujidanganya. Inakuwa sio tatizo labda mwaka wa kwanza wa ndoa yenu, wakati wa honeymoon period.
Ndani ya moyo wake, mkeo ambae ataishi na wewe katika mazingira duni kuliko ya nyumbani kwao...
Huyu ni mke wa Rais Mstaafu Barrack Obama!
Huyu ni mwanamke mweusi aliyewahi kushika nafasi kubwa zaidi kisiasa hapa duniani, THE FIRST LADY OF USA. Lakini, pia ni msomi ambaye alibahatika kusoma vyuo vikubwa duniani kama Harvard University na Princeton.
Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake...
Habari za mapumziko wana jamvi
Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi"
Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington.
Soma:
Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa.
Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni Watu wa Kilimo Wanamlalamikia. Sasa hivi anapima udongo anajenga maghala sababu anaamini Wakulima...
Washindi mara nne wa Kombe la Dunia walitoka katika hatua ya makundi nchini Qatar
Kuondolewa mapema kwa Ujerumani kutoka kwenye Kombe la Dunia la FIFA nchini Qatar ni "kufeli sana" kwa taifa hilo, kulingana na kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Urusi Valery Gazzaev. Alishutumu wachezaji wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.