kulala

Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.

They belongs to other backward class.

View More On Wikipedia.org
  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kulala na muathirika wa VVU

    Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika. Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi, Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyo unaemleta aje kulala kwako, ikitokea hajaamka unayo maelezo ya kutosha kwa ndugu zake pamoja na kulisaidia jeshi la polisi ?

    Hii hoja ni ya kuwekea lamination maana kimasihara unaweza kuishia nyuma ya nondo bila kosa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nilifanya kazi iliyonitia aibu mwanzoni lakini ikanipa ujasiri wa kutambua ni heri kuaibika unapotafuta kuliko kufulia ukijifanya everything is ok

    Baada ya kumaliza form six nilirud mkoan, nyumbani nilikuwa sina cha kufanya, hakuna pesa, likizo ni ndefu sana. maisha yalikuwa ya kuamka, kula, kulala na kushinda vijiweni kupiga stori za mpira, mademu na matajiri. Nilihitaji pesa, nilienda kufanya kazi ya ukuli. asikuambie mtu kubeba...
  4. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kulala na mtungi wa gesi ndani.

    Tena ile ambayo ni mikubwa mirefu inayotumia mipira ni hatari sana, bora ile midogo ya kawaida. Ikiwezekana mtungi unatakiwa ukae nnje halafu unauchimbia chini kidogo unaujengea ukuta juu unaweka kifuniko cha zege au cha bati unaweka kufuli, halafu mpira unatoboa ukuta kiufundi unaingia ndan...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latangaza uchunguzi wa video ya Askari kulala chini, madai ya rushwa na mateso

    Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mwanaume kulala uchi kila siku, kuna madhara?

    Mko salama humu? Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa? Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.
  7. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Mke wa mbunge wa zamani Arusha mjini kadhulumiwa nyumba na kulala nje

    Mke wa mbunge wa zamani Arusha Felix Mrema kadhulumiwa nyumba na kutupiwa vitu vyake nje. Licha ya mahakama kuu Arusha kutoa uamuzi wa mgawanyo wa mali kati ya Milka Mrema na mume wake Felix Mrema lakini kazuiwa kuingia kwenye nyumba yake ambayo iliuzwa kwa mmiliki mpya. Sasa hivi mama huyo...
  8. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kutokulala Nyumbani

    Mara Chache sana huwa nalala Nyumbani, Kama Leo, hii nipo nyumbani ila nawaza niondoke nikalale Sehemu ingine. kwa Wajuzi wa mambo hii Tabia inatokana na ninini. Sipendi hii hali,Natamani kuiacha lakini nashindwa. Sasa hivi nipo nyumbani ila Natamani niondoke.
  9. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Hivi unajisikiaje kulala ukiwa uchi

    Katika kitu ambacho nimeshinda kabisa ni Kulala nikiwa bila nguo kabisa yani bila kaboksa au pensi fulani la kwenda sitoboi. Wenzetu mnaweza vipi? na umeshawai kufikiria kama Ikitokea dharura una save vipi
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

    Zamani nilikua na uwezo wa kulala masaa 8 mpaka 10. Ila kwa miezi ya karibuni sipati usingizi kwa haraka nikiwahi sana kulala basi ni saa 7 au 8 usiku. Kitu pekee kinachonilaza fasta ni kuliwa mbususu vizuri nikarusha :uwotWater: na hapo nitalala masaa kadhaa halafu nitaamka usiku wa manane...
  11. haszu

    JamiiForums Tanzania Kukumbatiwa wakati wa kulala ni miongoni mwa raha wanazokosa wanaume

    Wengi hudhan anaekumbatiwa ni mwanamke tu wakati wa kulala ila ukweli ni kua hakuna shida mwanaume kukumbatiwa wakati wa kulala. Unafeel confort and warm na pia inaongeza upendo na uaminifu, so msiogope kukumbatiwa wakati wa kulala na haiondoi uwanaume.
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hata moja ya mababu zako leo wakiamka na kuona umepost uzi wa kulalamika mbele za wanaume wenzako kuwa mkeo anakubania msos atakukana na kurudi kulala

    "Nyakati ngumu huunda wanaume wenye nguvu. Wanaume wenye nguvu huunda nyakati nzuri. Nyakati nzuri huunda wanaume dhaifu. Na, wanaume dhaifu huunda nyakati ngumu" -G. Michael Hopf
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hamna Wabunge wa Mfukoni ,Taifa haliwezi kua na Wabunge Machawa !Machawa mmepigwa!! PIGO la Kwanza 🤣🤣

    Tunawachoraaa tuuuu Taifa haliwezi kuongozwa na Machawa !!. Imeishaaaaaaaa Kwa Leo !!🤣🤣🤣
  14. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Kurasini ni Changamoto sana

    Wadau siku ya pili hii natafuta nyumba ya kulala wageni eneo la Kurasini ni shida. Sijafanikiwa kuna wageni wangu wanataka fikia huku shughul zao zipo ukanda huu. Gharama ya chumba iwe tsh 40,000 mpka 60,000 kwa siku. kuwe sehemu tulivu na yenye chakula (hotel) kusiwe na fujo.. Nahitaji...
  15. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Wachawi wamefanikiwa kuniogopesha kulala ghetto

    Aisee wakuu,...ndugu yenu saivi yapata siku ya nne silali kwa amani kabisa. Siku ya jana nikiwa tayari nimesinzia nilishtushwa na kitu ambacho kilikuwa kinanitambaa mkononi kinaanzia kwenye vidole hadi begani.,bhasi nikashtuka nikarusha shuku,nikajipangusa kwa kiwewe huku naweweseka,,nikawaza...
  16. farfat

    JamiiForums Tanzania Kulala peke yako ni bora kuliko kulala na mtu anaelala na mtu mwingine

    Shida ni kwamba wakati mtu anaanza kukusaliti wewe ndio unakuwa mtu wa mwisho kujua.. ni heli maumivu ya mwili kuliko maumivu ya moyo wa mapenzi... Endeleeni kupendana
  17. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Siku mkeo akianza kulala na mwanaume mwingine jua kifo chako kimekaribia

    "Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume...
  18. laii

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa wa kulala ghafla mchana hata kama ulilala masaa mengi usiku.

    Shida ya kulala mchana,hata kama ulilala vizuri usiku,unakuta mtu hata afanyaje anashindwa kujizuia kulala, inawapata asilimia chache ya watu Duniani,zaidi unawakumba wanawake, kwa kitaalamu unaitwa, Narcolepsy. Huu ni ugonjwa wa usingizi wa mfumo wa neva unaosababisha mtu kulala ghafla wakati...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  20. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Uume kulala baada ya bao la kwanza

    Ni kawaida kwa wanaume wengi kushuhudia uume “kulala” au kulegea mara tu baada ya kumaliza tendo la kwanza la ngono (kufika kileleni / kumwaga shahawa). Hali hii husababishwa na mabadiliko ya kimwili na homoni baada ya kufika kileleni (kumwaga shahawa). Lakini kwa wanaume wengine, inaweza kuwa...
Back
Top Bottom