Kulala (plural: Kulals, also known as Moolya) is a caste of India.
The Kulala community is found primarily in the Kasaragod district of Kerala state in India, where they have several exogamous gotras, including Banjan, Banjera, Salian and Upian. They speak the Tulu, Kannada and Malayalam languages. Another Kulala community exists in Andhra Pradesh, where they speak the Telugu language and are also known as Kummara and variants of that name, such as Kumbara and Kummari.The traditional occupation of Kulala people is making pottery, although in the present day their occupations also include government service and wage-labour. Despite this, they held the respect of other communities and their product was an essential item.
1. Mchungaji wake
2. Tajiri
3. Mwalimu wa mazoezi
4. Rafiki yake wa kiume
5. Daktari wa familia
Tujitahidi kuwaepusha wake zetu na watu hao jamani.
https://youtu.be/mukEPwaGAOo
Fanya hivi kama mwanaume akikupotezea baada ya kulala naye!
Umekutana na mwanaume, amekutongoza kwa muda mrefu, au hata hakutumia muda mrefu lakini mwanzo hukuwa unamuelewa. Ulikuja kumuelewa na sasa mmeingia kwenye mahusiano, ukakubali kulala naye. Kabla ya kulala naye, alikua mtu wa kukupigia...
Shetani na mapepo ni viumbe wasioonekana kwa macho. Hao ndio wanaosababisha vitisho, hofu, nywele kusisimka, unasikia maneno au sauti bila kuona mtu anayeongea, kukandamizwa kifua, kunyolewa nywele, kujikuta umelala nje ya nyumba na kitanda chako nk nk.
Ukilala katika nyumba zenye uchawi au...
Hii ni baada ya jana kupigwa sh 60000 chumbani huku wife akidai hajui , Leo nineingiza 30000 saloon naona majibu yaanza kujibiwa, tuwe Makin na wake zetu, na Leo asubui nimetoa msimamo mzito hakuna chai asubui labda mtoto tu lengo ikiwa kufidia loss iliyotokea
Raman ya vyumba 3 vya kulala
Ina vitu vifuatavyo
Chumba 1 master
Chumba 1 hakina choo
Chumba 1 hakina choo
Seble
Dinning
Jiko
Store
Public toilet
Inachukua mita 13 kwa mita 12
Sasa njoo whatsapp 0743 257 669 ili nikupe raman hii kwa bei simple sawa na bure raman imekamilika kila idara ina hadhi...
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI
LIPO BUSWELU-MWANZA
LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM
BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO
DOCUMENTS NI TITLE DEED
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Harakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
Wanatia huruma ya kuhudumiwa, lakini katika upokeaji wao hawaji na appreciation ilio genuine, appreciation yoa inatoka mdomoni lakini haionganishi doti akilini mwao kuwa wanapaswa wakupe heshima kuu sio tu ukiwepo hata usipokuwepo kwa kuwa umemfanyia kitu kama vile baba yake angekuwa na uwezo...
Apartment mpya inauzwa Kariakoo
Vyumba vitatu ya kulala
Kimoja master
Ina Furniture
Ipo ghorofa ya Nane
Jengo lina Lifti
Jengo ni jipya
Bei TSh. 280m
Call/WhatsApp +255758 844 717
COMEDY ZA NDUGU ZANGU ACT.
Kwanza moja ya maombi makubwa ya ACT ni Chadema asishiriki uchaguzi, hii itampa nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani na Zitto kuwa KB automatically. Hivyo Chadema wajue kabisa ACT wanalao kwenye hili.
Pili, Chadema kwenye movement yao ya NO REFORM NO ELECTION...
Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo
Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
Nimekuja Tanga nilifanikiwa kupata room Hotel flani ya nyota 3. Nilipata pia Company ya binti mmoja tumekuja naye kwenye semina elekezi moja.
Shida nini sasa?
KWa huruma tu nlimshauri kuwa haina haja ya yeye kulipia Hotel wakati mimi nipo na nina uwezo wa kulipia.atunze pesa zake nitatumia...
Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka.
AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuwafanya watu wakose usingizi nyakati za usiku. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo:
* Msongo wa mawazo na wasiwasi:
* Mawazo mengi na wasiwasi kuhusu maisha, kazi, au mahusiano yanaweza kuingilia kati na uwezo wa mtu kulala.
* Matatizo ya kiafya:
*...
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22)
CONTACT: 0743 257 669
Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp
UKUBWA WA ENEO SQM 400
BEI TSHG MIL 22,000,000/=
NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ulaya ya karne ya 19 kurudi nyuma sio kama Ulaya ya karne hii ya 21 yaani ni kama vile wameridhika na maendeleo yao.
Hata katika upande wa sayansi na teknolojia bara hilo lipo nyuma katika gunduzi za sayansi na teknolojia. Ukizingatia ya...
TUME ya Ulinzi wa Taarifa (PDPC), imesema kuwa unapokwenda nyumba ya kulala wageni hairuhusiwi kuandika ulikotoka na unakokwenda kwa kuwa kufanya hivyo ni kukiuka sheria ya taarifa binafsi.
Akiwasilisha mada ya zana ya taarifa binafsi, Mkurugenzi wa usajili na Uzingatiaji wa PDPC, Stephen...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.