kukosekana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa uzalendo wa kweli miongoni mwa Watanzania ndio sababu ya CCM kushinda kila uchaguzi. Nov 2024 CCM itashinda, Oct 2025 itashinda tena

    Kwa tafsiri sahihi isiyogemea chama chochote cha siasa UZALENDO ni hali ya mtu kuipenda nchi yake na kuwa tayari kuifia. Kwa nyongeza ni pale raia anafikia hatua ya kupambana na mtu yeyote bila kujali cheo, hali au mali alizonazo ikiwa tu mtu huyo atahatarisha au kuweka rehani mali za umma...
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Open Source ya Symbian: Jinsi Mwelekeo wa Android ulivyoibuka na Kutoa Msaada wa Kizazi Kipya cha Simu za Mkononi

    Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
  3. cutelove

    JamiiForums Tanzania Cutelove nimerudi upya Jf baada ya kukosekana kwa muda wa miezi 8 nashukuru walionitext pm kuniulizia kama nipo hai

    Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni mzima wa afya Nitoke Jf niende wapi jamani ,mi nipo wa kutosha Credit: Kona ya Bwiru,Mwanza
  4. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni mijadala imepoa

    Kukosekana Mbowe Lissu Bungeni 1. Maswali ya papo kwa pao yamepotea, na hata yakiwepo sio yale tuliozoea 2. Mijadala mikali ilikuwa inamsha hisia kwa Watz sas haipo 3. Bunge kufatiliwa na watu wengi imepungua sana 4. Mawaziri kutumia muda mwingi kusoma na kupitia maendeleo ya wizara zao kwani...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live Bungeni: Kukosekana kwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Kumepelekea Kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Kukosa Impact?

    Wanabodi, Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

    Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k Lakini zaidi sana, Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa : Kukosekana kwa familia imara inaweza kuwa sababu ya kuchochea uharifu na kuporomoka kwa maadili

    "Faida za kuwa na familia imara yenye amani, mshikamano na upendo kwa watoto ni kubwa sana, kwanza watoto watakuwa salama, sio rahisi watoto kufanyiwa ukatili, watoto watakuwa na maadili mazuri lakini utaona hata idadi ya watoto wa mitaani inapungua" Mratibu THRDC, Wakili, Onesmo Olengurumwa...
  9. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa daraja katika Mto Themi ni changamoto kubwa kwa Wakazi wa Kata ya Themi (Arusha)

    Wananchi wakivuka mto Themi kwa tabu kutokana na Kukosekana kwa daraja kwa zaidi ya miaka mitano. Mto huo ni kiunganishi kikubwa kati ya kata ya Themi, Lemara, Sinoni nk. Mto huo umekuwa ni hatari hasa kwa Wanafunzi na hata watu wazima kipindi cha mvua kutokana na kuhatarisha usalama wao...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

    Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo. Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya yatoa ufafanuzi madai ya kukosekana kwa Mashine ya Kuchomea Taka

    Akizungumza na Jamii Forums, Afisa Mawasiliano na Uhusiano wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, Agrey Layson Mwaijande amesema: Tuna mashine mbili, moja ya mafuta na nyingine ya umeme, kupata hitilafu ni vitu vya kawaida, faida yetu ni kuwa ikiharibika moja tunatumia nyingine. Hivyo...
  12. sanalii

    JamiiForums Tanzania Je, ni ipi sababu ya DAWASA ya kukosekana kwa maji?

    Ndugu zangu, Hizi mvua zinanyesha mpaka mafuriko, ila maji hayatoki kwenye mabomba je na DAWASA kuna mgao? sababu ni nini? Hivi kweli hakuna kiongozi wa kusimamia haya mambo? umeme shida maji shida huku mvua zanyesha hadi zasababisha maafa?
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Hitilafu imesababisha kukosekana kwa umeme Tanga, Arusha na Kilimanjaro

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wateja wake na Umma kuwa Kituo cha New Pangani kimepata hitilafu kwenye mitambo yake hali inayopelekea kituo kutozalisha megawati 68 na kusababisha upungufu wa umeme katika Gridi ya Taifa. TANESCO imesema hali hii imeathiri upatikanaji wa...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kukosekana kwa Usd nchini! Mamlaka husika zina Habari?

    Kuna Tatizo kubwa la uwepo wa fedha Za dola nchini! Serikali imepiga kimya! Ni nini kifanyike?
  15. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania January Makamba ameacha shida kubwa kwenye nishati ya umeme

    Kilio ni kikubwa maeneo mengi ya nchi huyo waziri kiujumla mimi tangu amepewa Wizara ya Nishati sijaona amefanikiwa kwenye chochote zaidi ya kutuacha kwenye giza totoro Hata huko alipopelekwa kufichwa hakuna atakachofanya ila kwa kuwa utawala wenyewe hauangalii uchapakazi basi maisha lazima...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom wawajibishwe kukosekana huduma zao kuanzia saa 4:30 hadi saa 8:00 usiku, siku ya jana, Kahama

    Kwenu: vodacom: Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine. Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama...
  18. Teslarati

    JamiiForums Tanzania BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  19. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Watanzania wenye asili ya Asia kwenye majeshi yetu kunasababishwa na nini?

    Hi? Nimekuwa nikijiuliza bila ya kupata majibu hivi hawa Watanzania wenzetu wenye asili ya Arabu na India mbona siwaoni jeshini sio Tanzania bara wala visiwani.
  20. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ukuaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano hutegemea uwepo wa uhuru wa kujieleza

    Uhuru wa kujieleza na kutoa Maoni Mtandaoni unapokosena huathiri jamii nzima kwa kuzuia upatikanaji na usambazwaji wa Taarifa Muhimu. Ni kikwazo kikubwa katika kujenga jamii inayoendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Habari na Mawasiliano Duniani. Uhuru huu unapaswa kutambuliwa na kulindwa...
Back
Top Bottom