Kwenu: vodacom:
Ninaandika kutokea Kahama mji wa dhahabu baada ya kuwa nimechukua muda kujiridhisha na wateja wengine.
Mji huu japo mdogo wenye kupewa hadhi ya ghiliba kama manispaa una miundombinu mibaya kabisa kuliko Chato au labda kuliko wilaya nyingi hapa nchini zisizokuwa na hadhi kama wenyewe.
Hata hivyo kutokana na mzunguko mkubwa wa pesa uliopo hapa usiokuwa na tija sana kwa walio wengi hasa wale wa chini: -
"Ujambazi unaendelea kuwa kitisho cha wazi."
Wanasema: "one mistake one goal."
"Kulikoni VODACOM jana mtandao wake kuporomoka baina ya 22:30 - 02:00 kututia mashakani huku wenyewe wakiwa wamejikalia kimya bila hata neno "sorry?"
Kwamba lines zilikuwa na network, lakini hakuna huduma zozote zikiwamo:
1. Kupiga simu - normal voice calls.
2. Internet
3. Ku access interactively na systems zao iwe mpesa, songesha, kuweka bando, kuangalia registration status ya simu (kupitia *106#)
4. Ku access huduma yao kwa wateja 100
5. Nk nk.
Kuwa tulipata usumbufu mno at the mercy ya majambazi watarajiwa kutupigia ripoti? Kwamba kibongo bongo bado hata neno la nini kilitokea au tutegemee nini kutokea kwenu?
Kuwa hIyo ni sawa?
Wako wapi TCRA kuzilinda haki zetu kama wateja na wadau kwenye sekta hii kama?
Kwa kweli ulikuwa usumbufu mkubwa mno jana. Kuwa Vodacom wamechagua kukaa kimya? Hii haikubaliki.
Acheni ubabaishaji vodacom - mteja ni mfalme.
Nini kilitokea, uko wapi uwajibikaji wenu?
You owe us explanations!
Ninawasilisha.