Kukosekana kwa mahitaji muhimu chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
10,490
13,810
Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k

Lakini zaidi sana,
Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake. na hii huchochea wanaondoa kuanza kuyatafuta mahitaji hayo nje ya mipaka ya ndoa zao, na matokeo yake kusambaratika kwao kama familia.

Fanya kazi kwa bidii, timiza wajibu na majukumu yako ipasavyo kwa familia yako ili udumu na kufurahia ndoa yako 🐒
 
ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k

Lakini zaidi sana,
mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake. na hii huchochea wanaondoa kuanza kuyatafuta mahitaji hayo nje ya mipaka ya ndoa zao, na matokeo yake kusambaratika kwao kama familia.

Fanya kazi kwa bidii, timiza wajibu na majukumu yako ipasavyo kwa familia yako ili udumu na kufurahia ndoa yako 🐒
Kwa hiyo tuseme kwa kifupi ni umasikini.
2. Changamoto ktk kupigana miti.
 
Kwenye Shida Na Raha Mpaka Mungu Atakapowatenganisha
uko sahihi,
wajibika na kutekeleza vyema, sehemu ya wajibu na majukumu yako kikamilifu, na hilo usemalo ndio litakua hitimisho la utengano wenu, vinginevyo yanaweza kua maneno tu 🐒
 
Sure.
Sababu kubwa ya ugomvi ni: 1. Mali/pesa 2. Usaliti na wivu.
fanya kazi kwa maarifa na bidii sana kupata kinachofaa kwenye ndoa yako, usitie bidii sana ukachosha sana mwili wako, kumbuka kuhifadhi nguvu kwaajili ya kutekeleza kikamilifu wajibu mkuu wa kimwili na kiroho kwa mwenzi wako 🐒
 
utatimiza wajibu bila hela au mali
hata hapo mtaani tu jaribu kuchunguza, wanatekeleza wajibu wao vizur sana wa kimwili na kiroho ni wenye pesa ama niaje 🐒

usijitutumue sana kutafuta pesa ukauchosha mwili wako ushindwe kutekeleza wajibu muhimu sana wa kimwili kwa mwenza wako...

tumia maarifa zaidi kutafuta mahitaji na amani yako na ya familia yako kiroho na kimwili 🐒
 
Kuna Muhuni atakuja kukwambia Mkeo kukubari umuoe SIO kwamba anakupenda Ila kiherehere chako cha kutaka kumuoa wakati yeye kuna mwamba HUKO somewhere anampenda balaa
utafiti usio rasmi umebainisha kwamba ndoa nyingi nyakati hizi, zipo tu hai kwasabb ya dhamana zilizopo, mathalani watoto au mali ,lakini upendo wa dhati miongoni mwa wana ndoa hakuna tena. Ni hatari mno lakini ndivyo tena 🐒
 
Back
Top Bottom