kukosekana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakivuka mto kwa namna ya tofauti baada ya kukosekana kwa daraja

  2. Analyse

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa ushindani kunafanya tuwe na huduma nyingi mbovu

    Kwa muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali kadhaa, ambayo mengi sikuwahi kuyapitia majibu. Kwa mtazamo wangu, nadhani kukosekana kwa ushindani kwenye sekta kadhaa, kunafanya hata upatikanaji wa huduma hasa za kijamii ziwe mbovu/hafifu. Ushindani ni nyenzo kuu linapokuja swala la huduma bora...
  3. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

    Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi. Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme. Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
  4. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Taarifa ya kukatika Umeme mikoa ya Tanga na Pemba

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawatarifu wateja wake kutokea kwa hitilafu kwenye miundombinu ya usafirishaji umeme kwenye kituo cha kufua umeme cha Hale mkoani Tanga leo Jumanne, Septemba 27, 2022. Hitilafu hii imesababisha kukosekana kwa huduma ya meme kwenye maeneo yote ya mikoa ya...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kukosekana kwa umeme kwenye baadhi ya mikoa Nchini

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kukosekana kwa huduma ya umeme kulikosababishwa na upungufu wa kina cha maji kwenye vyanzo vyetu vya Kihansi na Pangani pamoja na hitilafu iliyotokea kwenye vituo vya Kinyerezi I na Songas leo, Jumanne, Septemba 13, 2022. Hitilafu...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Gap la kukosekana Walimu wengi kwenye zoezi la sensa limeonekana, Serikali mjifunze speed ndogo

    Maeneo mengi walimu walikatwa kwa kigezo kipaumbele kwa watu wasio na ajira sawa ila wakasahau uzoefu katika jambo ni muhimu sana hususani kwenye vitu nyeti kama hivi. Mwalimu ana uzoefu wakurahisisha jambo anajua mbinu zipi zinamuwezesha kufikia lengo site mashahidi hawa makalani wanatumia saa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kukosekana ufahamu wa pamoja wa kimsingi kwa Watanzania

    Habarini nyote! Ni staajabu ya pekee almost in everything thing ni vululuvululu kila kitu ushabiki ukichaa tu logic na reasoning sifuri, kukubaliana vitu obvious hamna kila kitu ukichaa tu, critical and analytical perspectives za issues hamna. Taifa hili linaenda wapi? Tugutuke na tusaidiane...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Man United kusafiri leo, Cristiano Ronaldo kukosekana kwenye msafara

    Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya wachezaji wa kikosi cha Manchester United kinachotarajiwa kusafiri leo Julai 8, 2022 kuelekea Bangkok kwa ajili ya mechi za maandalizi ya msimu mpya, kutokana na kuongezewa muda wa kushughulikia masuala yake ya kifamilia. Pamoja na hivyo bado haijulikana...
  9. Stroke

    JamiiForums Tanzania Deni la mabilioni linalotokana na kukosekana kwa umeme kwa mkandarasi JNHPP ni Batili

    Ripoti ya CAG inasema kwamba mkandarasi wa Mradi wa umeme wa Nyerere anaidai Serikali mabilioni kama fidia ikiwa ni kutokana na kukosekana kwa umeme wa uhakika kumwezesha kutekeleza majukumu yake kimkataba. Binafsi naona deni hilo ni batili kwani kimantiki. (Logically) hatupaswi kumlipa fidia...
  10. Kibingu

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Katiba Mpya alaumiwe Hayati Magufuli

    Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura. Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya. Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
  11. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa Maji na Umeme na kupanda bei za bidhaa kunatia doa Serikali ya Rais Samia

    Kabla ya kuingia Samia madarakani tatizo la kukatika kwa umeme halikuwa kubwa namna hii. Ingawa waziri anadai ni maintenance sitaki kukubaliana nae kwani hata awamu iliyopita walikua wanafanya lakini haikuwa kiasi cha kuathiri upatikanaji wa umeme kwa kiwango hiki. Hapa bila kupepesa macho...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Sababu za kukosekana attention ya kutosha suala la kuachiwa kwa Mbowe

    Asilimia kubwa ya waliopo humu JF ni watu wenye IQ kubwa sana. Nilichokiona suala la kuachiwa Mbowe ni suala kubwa na halikwepeki kuchukuwa nafasi kubwa katika media hasa za ndani including hapa JF. Kiuhalisia humu JF limechukuwa nafasi yake lakini sio kwa kiwango kinachostahili. Kwa mtazamo...
  13. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa staha kwa baadhi ya viongozi wa mihimili ya serekali kudhibitiwe haraka.

    Inanisikitisha Sana Kwa baadhi ya viongozi ya baadhi ya mihimili kuropoka ropoka kana kwama hakuna sehemu mahususi ya kujadili pale tunaposhindwa jambo Fulani kulielewa ingali wote sisi ni watu wa chama kimoja CCM, tusipo dhibiti hali hii ya kuongea hovyohovyo ipo siku tutakuja...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
Back
Top Bottom