Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume
Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji
Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
Utangulizi:
Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
Sote tunajua kuwa miongoni mwa changamoto zinazotukabili waislamu wengi ni kuielewa Quran, na shida ni kwamba tukipata tafsiri tunapata ambazo hazijaelezewa
Hivyo nawapa darsa za Quran iliyoelezewa na atakayeona zitamfaa ILI AZIPATE anahitajika awe na BANDO TU(MBs)
Hizo darsa zinapatikana hapa...
Mto Rufiji, unaoishia katika pwani ya kusini-mashariki mwa Tanzania, ulikumbwa na wimbi kubwa la mafuriko Aprili 2024. Mafuriko haya yalisababisha vifo vya kusikitisha na kuathiri watu 88,000. Zaidi ya hekta 28,000 za mazao ziliharibiwa.
Tanzania ina historia ndefu ya ujenzi wa mabwawa, kuanzia...
Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili.
Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
Utangulizi
Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
Katika miongo miwili ijayo, jukumu la wakandarasi katika kujenga miundombinu imara na endelevu itakuwa muhimu zaidi kuliko hapo awali, hasa linapokuja suala la kuzingatia majanga ya asili kama mafuriko. Kujenga miradi bora ambayo inaweza kustahimili majanga haya ni njia muhimu ya kuzuia serikali...
UTANGULIZI.
Majanga ya moto ni miongoni mwa majanga ambayo hayatabiriki na huleta athari kubwa sana katika jamii kama vile watu kupoteza maisha na mali,kwa Tanzania majanga mengi ya moto yamekuwa yakileta maafa makubwa kipindi yanapotokea hii nikutokana na sababu mbalimbali ikiwepo ukosefu wa...
Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo.
Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
Askari Polisi kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya.
Akizungumza Aprili 17, 2024 wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX USALAMA PAMOJA2024...
Katika hatua muhimu ya kukabiliana na shinikizo la mfumuko wa bei linalotokana na mwenendo wa uchumi duniani, Kamati ya Sera ya Fedha (MPC) imetangaza ongezeko la Kiwango cha Riba ya Benki Kuu (CBR) kutoka asilimia 5.5 hadi asilimia 6.
Uamuzi huu, umefikiwa wakati wa kikao cha MPC...
MAMLAKA YA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
HATUA ZINAZOCHUKULIWA NA TAWA KATIKA KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAMBA NA BOKO KATIKA BWAWA LA MTERA
Hivi karibuni kumekuwepo na ongezeko la matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wakiwemo mamba na boko kujeruhi na wakati...
CHANGAMOTO ZA KUINGIA UTU UZIMA NIMEANZA KUKABILIANA NAZO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nikiwa bado nipo kwenye sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa na kuingia katika utu uzima, hata masaa 24 hayajaisha nimeanza kupata joto la jiwe. Nahisi moyo unapanuka, nahisi kichwa kinapasuka, nahisi pua...
Nimefanya mambo fulani ambayo yameniletea aibu na bado najisikia hatia na kukosa kujiamini. How do i move on...
Vitu kama ulevi wa kupindukia, kutukana watu, kupoteza pesa nyingi nk.
Naomba niweke mada mezani kutokana na yaliyonisibu Mimi, nilikuw ni kijana mtiifu, mwaminifu na mchamungu lakini baada ya kujiingiza kwenye kamari za mitandaoni hasa hasa kasino nilipoteza Kila kitu katika maisha yangu, kuanzia kwenye kazi nzuri, akiba, duka, gari, viwanja na madeni juu na...
HATUA MADHUBUTI YA SERIKALI
Katika upeo wa kisasa wa uchumi wa dunia leo, mojawapo ya changamoto kubwa inayokabiliwa na serikali ni kushughulikia ukosefu wa ajira kwa vijana. Tatizo hili siyo tu linaathiri watu binafsi bali pia lina athari kubwa kwa ustawi wa jamii na utulivu wa kiuchumi. Ili...
Kimya kingi kina mshindo. Hatimae nchi ya Misri imeamua kuongeza askari wake maeneo ya mpaka wa Rafah na lango la Karem Shalom.
Uamuzi huo umekuja baada ya maonyo ya awali na kufuatia taarifa ya jeshi la Israel kwamba liko mbioni kupeleka askari wa miguu eneo la Rafah walipojikushanya...
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.