Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi.
Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
Kongamano la 12 la Xiangshan hivi karibuni umefanyika mjini Beijing, China. Wakati dunia inapokabiliwa na changamoto mbalimbali, kongamano hilo si kama tu ni jukwaa la mazungumzo, bali pia ni jitihada muhimu za kutafuta njia ya kusuluhisha migogoro duniani. Dhana ya kongamano hilo lililotetea...
Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, ameongoza majadiliano muhimu yaliyoandaliwa na UN Women kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, yaliyolenga kutafuta suluhisho la kudumu kwa changamoto zinazowakabili wanawake na...
Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
Moyo unauma kushuhudia idadi kubwa ya watu wanaumia na hata kukatisha uhai wao kwaajili ya ajali za barabarani. Inaonekana kama vile tumeshindwa kupambana nazo.
Wadau wakubwa wa ajali hizi ni madereva, wenye magari, traffic Police, watengeneza barabara, wasimamizi wa usafiri, shule za udereva...
Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze
Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa meno mpaka boss wake
Ndicho sisiem walichowafanya Watanzania, waliwafungia bandani miaka mingi huku...
Akizungumzia umuhimu wa kuwa na Watu wanaohusika na suala la uhakiki wa taarifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura amesema “Uwepo wa Wadau kama JamiiAfrica unahitajika kutumika kusaidia kutoa elimu ya Uhakiki wa Taarifa kama ambavyo wamekuwa wakifanya (kupitia...
DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya.
PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma.
Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
Maeneo kadhaa ambayo yamekuwa yakitumiwa kwa ajili ya shughuli mbalimbali za kibinaadamu kando ya Ziwa Victoria upande wa Mwanza yamekuwa yana magugumaji ambayo yamekuwa changamoto na kukwamishwa shughuli nyingi.
Magugumaji hayo yamekuwa kikwazo mara kadhaa katika vivuko na kusababisha...
Ukweli usemwe
Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana
Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
Wale mtakao pendelea kujadiliana na kutoa mawazo katika masoko ya forex na jinsi ya kukabiliana nayo upande wa kutengeneza code za Expert,Indicator,Library na n.k karibuni.
Uchambuzi wa masoko ni uwanja mpana wa kupeana ujanja wa kuboresha au kubuni kukabiliana na masoko.
Hizi ni moja software...
Iron-Dome ni mifumo ambao Israel inajivunia sana na umeonyesha kufanya kazi vizuri toka Oct 07,2023 Pamoja na kazi nzuri hiyo Israel imefanikiwa kufanya maboresho zaidi ili uweze kufanya kazi kwa ubiorą zaidi kuliko mwanzo.
Wakati nchi wanachama wa SADC na EAC wakikubaliana kuhakikisha amani inapatikana mashariki mwa Congo, taarifa za chini chini zinaeleza kuwa wanajeshi kati ya 700 na 800 tayari walishawasiri nchini Congo kuongezea nguvu jeshi la serikali hiyo. Chanzo cha habari, Reuters, kimesema kwamba, ndege ya...
Hellow Tanganyika,
USAID inadaiwa kufutwa, makampuni Toka nje yanafunga ofisi, misaada ya madawa inaondoshwa nk nk
Nawauuliza swali dogo tu, maana muda Bado upo na uchaguzi haujatangazwa Bado, hivyo kutangaza wagombea sasa Bado Si HOJA sana, mabadiliko yaweza fanyika.
Tujiulize yafuatayo;
1...
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira ( NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi ameitaka jamii yote kuzingatia maelekezo yanayotolewa na mamlaka za usimamizi na kuchukua hatua za kujilinda na hali ya hatari tarajiwa katika mazingira.
Ameyasema hayo leo tarehe 02...
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini Syria. Israel itapata eneo jipya linalodhibitiwa na kukinga ndani ya Syria kwa ajili ya kusaidia...
Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete
Jinsi ya kupunguza makali
Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye pochi au kibegi Beba misosi na maji. Juzi kidogo nizimie nnavyopenda kula, masaa mawili tumesimama...
Katika muendelezo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyo simama kwa sasa baina ya hizi serikali mbili moja iliyopo Beijing na nyengine ilipo katika kisiwa cha Taiwan.
Siku vita hivi vikizuka kwa mara nyingine tena kwa ukubwa wa vita kamili ukiondoa hizi choko choko za sasa.
Je, ni kwa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.