kukabiliana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tozo za simu zingetumika kutengeneza Mfuko wa Bima ambao ungekuwa maalumu kukabiliana na corona nchini

    Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa kila mtanzania atakaekuwa tayari kuchangia bima hiyo kupitia line yake ya simu. Nilipendekeza namna...
  2. Acehood

    JamiiForums Tanzania Baada ya joto kuua zaidi ya watu 500 Canada, Dubai yatengeneza mvua feki kukabiliana na joto

    Dubai inapitia kipindi kigumu cha hali mbaya joto kali. Eneo hilo ndani ya Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) lina joto kali linalovuka mpaka nyuzijoto 50 na kuhatarisha maisha ya watu zaidi ya milioni 3 wanaoishi katika mji huo. Hivi karibuni nchini Canada zaidi ya watu 500 waliripotiwa...
  3. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kagera: Mkuu wa Mkoa apiga marufuku mikusanyiko isiyo lazima ili kukabiliana na Corona

    Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge, amepiga marufuku mikusanyiko yote isiyokuwa ya lazima na kuwataka wananchi kuzingatia kanuni za afya ili kuzuia kasi ya maambukizi ya virusi vya Corona. Meja Jenerali Mbuge amesema hatua hiyo inatokana na mkoa wa Kagera kupakana na nchi nne...
  5. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zaiomba Benki ya Dunia msaada wa Tsh. Trilioni 231.9 kukabiliana na Corona

    Wakuu wa nchi 13 za Afrika wamekutana Abidjan nchini Ivory Coast na kufanya mazungumzo ya jinsi ya kuhuisha uchumi kutokana na athari za virusi vya corona, kuongeza uwekezaji na upatikanaji wa ajira. Mkutano huo umefunguliwa na Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast aliyetoa wito kwa Benki ya...
  6. ankol

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukabiliana na mbu

    Habari zenu wadau, Leo tupeane mbinu mbalimbali unazotumia kukabiliana na mdudu msumbufu mbu. Wengi wetu hutumia chandarua lakini zinaleta bad looking ya chumba chako. Pia si muda wote utakua kitandani ndio ujikinge na mbu. Ukitumia spray nayo maharufu makali, ukifunga dirisha especially hizi...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache uzushi dhidi ya chanjo ya COVID -19, Je mchango wetu ni upi katika kukabiliana na hili janga?

    Mlipuko virusi vya korona mwishoni mwa mwaka 2019 umebadili kabisa mifumo ya maisha duniani. Ugonjwa huu umesabababisha athari kubwa sana katika kila sekta pamoja na kugharimu maisha ya watu. Nikutokana na athari hizo ndiposa wataalamu wengi wamekuwa wakisumbua vichwa kutafuta suluhisho ili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Masoko na Stendi zote zinazomilikiwa na TAMISEMI kujengewa Visima vya Maji ili kukabiliana na moto

    Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza. Chanzo: Radio One
  9. msovero

    JamiiForums Tanzania Serikali kuajiri walimu wapya wa masomo ya Sayansi na Hesabu kukabiliana na uhaba uliopo

    Serikali inatarajia kuajiri walimu wengine wapya hususani wa masomo ya sayansi na hisabati ili kukabiliana na upungufu mkubwa wa walimu wa masomo hayo katika shule za sekondari nchini. Hayo yamesemwa na waziri wa nchi ofisi ya Rais-TAMISEMI, mheshimiwa Ummy Mwalimu(mb) akiwa ziarani katika mkoa...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
  11. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Umri unapokuwa umeenda na hujaoa au kuolewa unakabiliana vipi na maneno ya jamii inayokuzunguka?

    Kumekuwepo na maswali Mengi katika jamii ambayo umri wako ukiwa umeenda huwa hayakwepi kama vile siku hizi uko wapi? Bado unaishi palepale kwenu au unajitegemea? Kama umesoma utaulizwa umeshapata kazi? Lakini kuna swali moja ambalo wengi wetu tukiuliza huwa hatupendi kuliongelea nalo ni...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  13. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tumia ARDHI kwa njia hii kukabiliana na changamoto ya ajira nchini

    Haka kajamaa kakajengewa hata sanamu DSM kule city centre ama hata Dom. Yupo vizuri, sema nimegundua sio muandishi mzuri lakini ana vision. Halafu ukute ni jobless hahahahahaha ndio atajua hajui. Am joking guys! Ametoa madini si mchezo yaani. Kila mtu ajisomee PDF hapo down. Nina wasiwasi...
  14. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaahidi kuisaidia Tanzania kukabiliana na athari za Corona

    Benki ya Dunia (WB) imefungua dirisha kwa Tanzania la kusaidia kukabiliana na athari za ugonjwa wa Uviko 19 katika Sekta mbalimbali ikiwemo ya Utalii, biashara na bajeti ya Serikali. Hayo yamebainishwa jijini Dodoma na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alipokutana na...
Back
Top Bottom