Wakuu Salama!!!
Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye mada naomba majibu wakubwa Mimi kijana wa 2000 (elfu mbili) ivi ni kweli inawezekana kabisa mke kunikimbia kisa eti anasema Nina mchosha sana kitandani kwenye tendo la ndoa, kabla ajaondoka alianza kuwambia majirani wa mama wa mtaa eti waniambie...