Kila siku mbinu mpya zinabuniwa ili mradi madawa ya kulevya kufika duniani kote.
Kuna mbinu mpya ambayo meli za mizigo zimejikuta zikisafirisha madawa bila kujua .
Kinachofanyika ni kwamba wanatumia wale diver
Meli wakati hipo bandarini au zikiwa zimepark.diver wanazama na vifaa maalumu na...
Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used….
Je,
Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo.
……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
bestiphonedealersintanzania
bila
bila kujua
hii
hizi
iphone
iphonedealerstanzania
iphonempyanausedkariakoo
kujua
siri
sirimuhimuzaiphone
tena
ukwelikuhusuiphone
usiyoyajuakuhusuiphonetanzania
wauzaiphonekariakoo
Waweza kuingia hata tovuti za Necta kuthibitisha hayo, miaka nenda miaka rudi nafasi za mwisho huwa ni Zanzibar.
Kwa wale wanaofika vuoni ambao asilimia kubwa husomea Bara, uwezo wao ni wa kawaida sana,
Lakini kitakwimu hakuna sehemu ambayo ina watu wengi maofisi ya taasisi kubwa au kwenye...
Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) pamoja na wateja wengine, ambao wamejikuta fedha zikitolewa kwenye akaunti zao...
Anonymous
Thread
account
bila
crdb
crdb morogoro
fedha
kujua
manispaa
morogoro
upotevu
wao
wateja
wimbi
zao
Naomba kujua kwa walioamua kuishi bila bila kuoa/kuolewa maisha yao yote na bila kuwa na watoto kabisa(sio kwasababu hana uwezo wa kuzaa).
Ni mambo gani yaliwasaidia kuishi hiyo lifestyle? Umelala kwa muda gani na attention yako umehamishia wapi zaidi tofauti na ndoa/Watoto?
Mwenye kujua jina la huu mwimbo na jina la mwimbaji tafadhali nijulishe?
Huu upo kwenye background wa hilo Tangazo.
https://www.instagram.com/reel/DY5FyGRMbVY/?igsh=MWJlb214MWtxejZjbg==
Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini please mwenye chimbo msaada
Habari za Ijumaa wana JF.
Mimi leo nimeona nije na hii mada tajwa nahitaji kujifunza mambo ya asili hasa matambiko faida zake pamoja hasara zake kama zikiwepo.
Na vitu gani vinatakiwa katika kukamilisha zoezi hilo la kutambika.
NB: Mimi asili yangu mkurya itapendeza sana kurya iwe case study...
Kiu ya Maisha
Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji".
Maji yenye Sumu
Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi:
Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
Wakuu,
Nimewaza sana, hapa kuna kitu nilikua nakitafakari nikajikuta nimeingia deep sana nikachukua remote control nikaweka mziki fulani wakati naendelea kusikiliza nikahamisha mawazo nikaingia kwenye nyimbo ya G Nako ft. CHIN Bees & Nikki Wa II - AROSTO
Sasa nikaruka moja kwa moja kwenye...
Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea.
Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri.
mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
Special gift nini, ni uwezo au vipawa anavyopewa mtu(choosen one) na Mungu kwa ajili ya kumsaidia kutimiza kusudi(calling) au wito duniani.
Choosen one ni nani, ni mtu aliyechaguliwa na Mungu katika familia au ukoo kuvunja baadhi ya tabia au maagano(generation trauma) yaliyo kinyume na Mungu na...
Wakuu,
Nimekuwa nikipata changamoto ya kutambua code ya namba ya simu iliyokupigia au uliyopewa na mtu kwa kuangalia maana zinafanana na kila siku zinakuja mpya.
Sasa hii inakua Changamoto kama mjuaavyo nchi hii imeshakua ya mabando, sasa unajikuta una dakika za mtandao mmoja tu ambazo huwezi...
Kifupi yaani huyu demu katokea kunielewa code ninazopiga sababu ni pamba Kali na kunukia pafyumu nzuriMimi ni mtaalamu sana wa kupangilia pamba Sasa huyu jamaa yeye kuva hajui na pesa Hana Sasa mke wake hua namchapia gesti Sasa Leo Kuna jicho kaniangalia nimepishana nae yeye alikua kwenye...
Nimepita tiktok nimekutana na hiki kipande cha video kinachohusu kutelekezwa kwa gari la abiria,sasa wengi tulitamani kujua kilicho peleka mpaka gari hii kutelekezwa.
Wachangiaji wote nilio fuatilia hakuna hata mmoja alietoa sababu za kutelekezwa gari hili.
nimeleta labda tunaweza kupata ABC za...
Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
Mimi ni mwanachama wa mifuko kadhaa UTT na kwamba UTT wamefanya maboresho ya program ambapo program iliyokuwa inatumika zamani imefungwa tangu tarehe 01/03/2026.
Sasa tatizo lililopo ni kwamba taarifa zetu hazijahamishwa automatic toka kwenye mfumo wa zamani kuja kwenye mfumo huu wa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.