List ni ndefu ila nitataja vichache vingine wataongezea wengine hapo chini.
1. Mshahara Wako.
Mkeo hapaswi kujua wewe unapokea Mshahara kiasi gani. Fanya unavyofanya usije ukathubutu ukamwambia mkeo napokea kiasi fulani sijui nini hivi na vile, imekula kwako. Nakusanua.
2. Kazi unayofanya...
Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo
Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani
Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao
Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
Wakuu nina hali ambayo hunitokea sana nyakati za usiku nikilala nikashituka hata kama ni saa 6 usiku basi uume (mashine) husimama mazima hata nilale tena na nikashituka tena nakuta hali iko hivyohivyo tena. kwahyo kulala kifudifudi inakuwa shida siwezi.na hata asubhi nikiamka inakuwa hivyo...
Wakuu. Teknolojia inazidi kukua Kila kunapokucha
Kama ilivyo kwa Whatsapp mtu akiwa na namba Yako anaweza kuona picha Yako
Je Kuna app ambayo mtu akiwa na namba Yako inaweza kumletea jina lako au hata akaunti zako za mitandao ya kijamii
Nauliza hivyo kwa sababu Leo mchana Kuna mwanadada...
Nimegombana na mwanamke sababu anataka tumpeleke mtoto shule na mm nimemwambia mtoto mpaka afikishe miaka 4 ndo tumpeleke.
Je Kuna hasara gani naipata nikimchelewesha mtoto shule? Nafaida gani naipata nikikawahisha kakiwa na miaka 3
Siku hazigandi. Kama unashindwa kutoka kwenye ukata ufuta ni wakati wa kubadili gia angani. Utadhani ni jana tu kumbe miaka 7 tayari ishakatika!!
Ungepanda migomba kwenye pori la ekari 4 kijijini kwenu sasa hivi ungekuwa ushajikomboa kiuchumi ila sasa uko town unabishania Man United mwaka wa 7...
Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu.
Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
Haya yaliandikwa na mmishionari 1891-1916
Mazishi
Sasa mazishi yenyewe yanaanza. Maiti akivuliwa nguo anabebwa nje ya nyumba na kuviringishwa mkeka ambao inabidi usifungwe sana, kwa sababu kamba iliyokazwa sana inaweza kuwapatia wanaozika ugonjwa wa matumbo (ingoje). Maiti katika mkeka anawekwa...
Waswahili waliposema ukivuliwa nguo chutama hawakuwa wamekosea kabisa.
Muda mchache ujao Msemaji wa Serikali anaenda kuongea na Waandishi. tena baada ya CNN kutoa habari ya kutisha kuhusu mauaji yaliyofanywa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati na baada ya Uchaguzi wa mwaka huu.
Tuhuma...
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi.
Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu.
Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana.
Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
Kwa nia njema tu.
Ustaadh ni daraja gani katika elimu ya kiislamu. Cheo/ ngazi hiyo unaipata unapomaliza elimu ya kiwango gani?
Kwanini nauliza hivyo?
Hawa ndio wanaokuja kuwa Think Tanks za taasisi za Kiislamu.
Hell
Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu
Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi
BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA?
Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na mfumo, iliyopachikwa akili ya urobot, imewekwa kwenye mtandao wa minyororo isiyoonekana, ili...
Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba.
Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.