kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Serikali tusaidieni kujua nani aliahirisha derby na sababu zake

    Tanzania Ina technology ya kisasa kabisa katika nyanja ya mawasiliano inayoweza kutusaidia kujua mawasiliano yote yalisaidia kuahirisha mechi ya Simba na Yanga iliyokuwa imepangwa kufanyika 8 Match 2025. Sakata hili limevuka katika ngazi ya michezo na Sasa limefika katika ngazi ya usalama...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Kujua yatakayotokea 2025 nchini huitaji uwe nabii

    Kawaida kila baada ya miaka kumi yani awamu mbili kupita basi chama tawala tunachagua mgombea Mpya katika kiti cha Urais baada ya kutuongoza kwa awamu mbili. Aliyekalia kiti cha urais akifanya jambo lolote ovu basi adhabu lazima apewe atakayefata kukalia kiti. Nakupa mfano mmoja, Daudi...
  3. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Kwa Lugha rahisi na mifano msaada wa kujua tofauti ya active, portifolio na Passive incomes.

    Karibuni wataalam wa uchumi na masuala ya kifedha. Natanguliza shukrani.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua kuendesha gari/ Driving school

    Habari wadau, Driving school gani au mwalimu gani Mzuri sana wa gari kwa Dar es Salaam ambae anaweza kumsaidia mtu ambaye hana confidence kabisa ya kuendesha gari (ana uoga sana) ukizingatia alishawahi kwenda driving school mara mbili katika vipindi tofauti lakini bado hajui Msaada jamani...
  5. Under-cover

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuangusha noti bila mteja kujua

    Pale Ubungo Plaza nilifanyiwa hivyo mara ya kwanza....nikasema poa ngoja na kesho nije nione ...ikawa yale yale... Nikaa siku mbili nikaenda tena na laki mbili nikafika dirishani kwa yule dada nikaanza kumpa noti moja bada ya nyingine nikamwambia tunahesabu kwa pamoja akataka azuie nikamwambia...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Watanzania ni wajinga,angalia jinsi wanavyomjibu Gwajima

    Ukisikiliza wote wanaomjibu Gwajima,hawajibu yale aliyoyauliza muhusika,lakini wanakimbilia kumuatack muhusika,wamesahau hiki kizazi cha sasa siyo wajinga,bali wajinga ni wale wanaomjibu Gwajima kwa kutumia ujinga wao na ndiyo kundi kubwa linalowakilishwa na wana CCM kuanzia Viongozi,wanafunzi...
  7. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  9. O

    JamiiForums Tanzania WATAALAMU NAOMBA KUJUA AI GANI NZURI KWA KUTENGENEZA VIDEO?

    HABARI ZENU NNATAKA KUTUMIA AI KUTENGENEZA VIDEO NAOMBA KUJUA IPI NZURI KATI YA GROK AI AU DEEPSEEK AU KM KUNA NYINGINE YOYOTE NZURI ZAIDI YA HZO NAOMBA KUJUA
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kutenda ubaya pasipo wao kujua kuwa wao ni vyombo

    Kuna watu wanatumika kama vyombo vya kueneza ubaya na kufanya ubaya pasipo wao kujua kuwa ni vyombo. Katika kitabu cha 48 Law of power .- Ambacho kinazungumzia mbinu mbalimbali za kuwa na Power , kijamii, kisiasa n.k . Mwandishi wa kitabu hiki Moja ya sheria aliyoizungumzia ni ile inayosema...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili la mechi ya Simba kuchezewa Zanzibar Kuna uhuni ndani yake, nani aliyeruhusu awali mechi ichezewe Zanzibar bila TFF na Simba kujua?

    Taifa limefikia hatua ya kuwa na matapeli Kila mahali, hivi kwa akili za kawaida tu CAF walijisemea tu wenyewe mechi iwe Zanzibar bila watu wetu kuwaandikia barua? Haiwezekani na haipo viwanja vipi vingi Afrika na kama maofisa wa CAF lazima walifika benja kukagua na kusema hapana basi hata...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania KITAA INTELEJENSIA: Wanaoongoza kula wake za watu.

    1: Doctors 2: Marafiki wa mitandaoni 3: Headmasters/Mwalimu wa mwanao 4: Boda Boda 5: Boss wake kazini 6: Garden boys 7: Graduate alieko kitaa muda wote 8: Mfanyakazi mwenzio 9: Mpangaji mwenzio/Jirani 10: Wachungaji/Manabii feki/Mashehe ubwabwa 11: Wauzaji dukani
  13. D3F4ULT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MAMBO YA MSINGI KWA MWANAUME KUJUA KUHUSU MAHUSIANO:

    Wakuu habarini za wakati huu, kutokana na trends ya vijana wa kiume wengi wa chuo ndani ya wiki hizi mbili kujinyonga au kujidhuru nafsi kutokana na mapenzi. Nimeamua kupita na nondo zilezile za ndugu yangu Natafuta Ajira ili kuwahasa vijana wenzangu. 1. Jifunze kujidhibiti –...
  14. suzie _barbie

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani (1000kgs)ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala(Uganda)

    Habari wadau, Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu! Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala. Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara genuinely na anatafuta soko nchini Uganda, tunaweza kuzungumza na kushauriana. Asanteni.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  16. Stability

    JamiiForums Tanzania Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?

    Wakuu! Jana nimelala geto kwa demu wangu huko mbagala leo nimeamka hivi, nisaidieni kujua hii ni condition gani?
  17. Umeyashenyeta

    JamiiForums Tanzania naomba mwenye kujua au maswali ya written ya interview ya Afisa utamaduni II

    Afisa utamaduni II nimechaguliwa kwenda written interview lakini sijui maswali yanatokaje, naomba kueleweshwa
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ukirithishwa duka limejaa bidhaa Kariakoo haimaanishi sasa mambo yako ni safi, Lissu na timu yake wamerithi Chama bila kujua misingi yake

    Lissu na timu yake wasipokaa vizuri na Mbowe, ni wazi kuwa CDM itawafia mikononi mchana kweupe. Chadema kimefika kuwa chama kikuu cha siasa kuwahi kutokea Tanzania sio kwa majungu na ubaguzi, bali kwa hekima na bidii kubwa zikiambatana na kujitolea mali nyingi. Wamuulize Mbowe amepoteza...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mbeya ni sehemu yenye watu strong sana , kimtazamo, kimaamuzi na katika kujua haki zao Study case kwa Mdude!

    Issue ya kutekwa kwa Mdude , Inaacha Alama katika vichwa vya watu wenye maono . Ni kuwa Mbeya ni sehemu ya watu wenye uwezo mzuri wa kupigania haki. Mpango mkakati wa mabadiliko. unabidi kulenga na kuwekeza sehemu zenye watu wanaojielewa na kujua nini wanataka Issue ya Mdude haitopita hivi hivi.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ulipata Kujua kuwa Vita ya India na Pakistan imeongelewa Kwenye Quran/Sunna za Mtume (SAW)?

    Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India. Aidha, Kiongozi wa Juu wa Pakistan amekiri wazi wazi kuwa Jeshi lao la Akiba wanalolitegemea ni Vijana wao wanaopata mafunzo ya...
Back
Top Bottom