kujua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Aulizaye ataka kujua

    Kwa nia njema tu. Ustaadh ni daraja gani katika elimu ya kiislamu. Cheo/ ngazi hiyo unaipata unapomaliza elimu ya kiwango gani? Kwanini nauliza hivyo? Hawa ndio wanaokuja kuwa Think Tanks za taasisi za Kiislamu.
  2. blackstarline

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Mobile Wallet ni nini na inafanya kazi namna gani?

    Mabosi wangu wanataka kunilipa pesa ila nimeambiwa wataniwekea kwenye mobile wallet kwa mjuzi hii imekaaje?
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua zaidi

    Hell Natarajia kwenda shule nikaongeze elimu sasa nataka ni change course hii ndio naona kwangu Ipo vizuri embu naombeni mnipe dondo kidogo hii ipo vipi BACHELOR’S DEGREE IN SHIPPING AND PORT LOGISTICS MANAGEMENT
  4. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 🌹Pamoja na kujua unasell labour lakini bado unaisell for cheap! Are you cheap labour? Lakini ni uvivu wa kulima tu!

    MSOMI: MASHINE YA KIWANDA AU ROHO INAYOKIMBA? Huyu msomi! Huyu anayejivunia degree yake, akajilaumu kwa mshahara wa laki tano! Je, tuseme kweli: yeye si kiumbe, yeye ni mashine iliyotengenezwa na mfumo, iliyopachikwa akili ya urobot, imewekwa kwenye mtandao wa minyororo isiyoonekana, ili...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake ukiwasikiliza utapata kujua mambo mengi sana kuhusu jamii inayokuzunguka

    Kama mnavyojua wanawake wanapenda sana kusikilizwa yaani hata kama anaongea pumba wewe jifanye tu unamsikiliza na ukiweza ongezea kidogo kwenye story yake ili ajue mpo sambamba. Sasa jana moja ya kitu kilichonichekesha sana jana nilipotega sikio kwa wife na kuwa active akinipa story za hapa na...
  6. cold water

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua kuhusu m Koba

    Nimeunga kikundi kupitia m Koba lakini tunacheza vikoba Sasa nahitaji kukopesha hela Kwa wanachachama Ili warudishe Kwa riba mfuko uweze kukua nashindwa nianzie wapi mimi ni mwenyekiti wa kikundi,msaada tafadhali na wakikopa Mwanachama akirudisha hela itakayorudishwa pamoja na riba vitaonekana...
  7. R

    JamiiForums Tanzania UDOM LLB naomba kujua mazingira yake

    Nasikia Mabweni na madarasa mpaka upande bajaji/pikipiki. Is that true? ie it is a long distance... Accomodation ikoje? au kuna kupanga nje? Kijana amechaguliwa hapo, sasa wanasema UDOM pagumu kwa usafiri.
  8. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  9. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
  10. Mayova

    JamiiForums Tanzania JINSI YA KUJUA UJAZO WA FREEZER

    Ndugu zanngu mambo vip? Kumekuwa na upigaji mwingi sana kwenye biashara za mafriji hasa mafriza. Wengi tunauziwa mafriza tunaambiwa freezer hilo ni ujazo fulani kumbe sio. Mfano unaweza kuambiwa freezer lina ujazo wa lita 100 kumbe ni lita 50. Naomba mwenye utaalamu wa kujua ujazo wa mafreezer...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hizi Dola 45 na Dola 90 ambazo Watanzania wanatakiwa Kulipa JNIA ni za nini na kwanini?

    Tafadhali mwenye kujua kwa Undani kabisa jambo hili si vibaya tu akatupa Ufafanuzi wa Kiuchambuzi ili Wabongo tujue.
  12. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua mwanamke ni msafi angalia miguu yake

    Take Note.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Aliyepinduliwa na Traore yuko wapi?

    Traore alimpindua nani na huyo aliyepinduliwa yuko wapi? Siasa za Africa majitaka! Tumelaaniwa na nani sijui?
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunaomba kujua ni wapi alipo baba yetu mkuu wa usalama wa taifa seleman mombo DIGS

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana Mkuu wa usalama wa taifa siyo mali ya kikundi flan cha watu bali ni mali ya watanzania wote Kwa kuwa ni mali ya watanzania wote bas tunaomba kujua ni wapi alipo huyu baba yetu kipenz mzee seleman mombo Asanten sana LONDON BOY
  15. I

    JamiiForums Tanzania Je Instagram inaweza kujua na kushare Mahali Nilipo Na Jinsi ganii ya kukwepaq hili

    Instagram Inaweza Kushare Mahali Ulipo na Followers Wako Wote Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, taarifa binafsi zimekuwa bidhaa yenye thamani kubwa. Hata bila ruhusa ya wazi, programu zinaweza kutumia ruhusa za simu yako kufuatilia na kushiriki mahali ulipo. Instagram, moja ya majukwaa...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia akili za ubongo sahau kujua mambo haya

    Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha kanuni za mwendo, nguvu, na nishati; Kemia hueleza muundo na mabadiliko ya vitu; Baiolojia huchunguza...
  17. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo

    Kipimo cha kujua wewe ni maskini ni namna unavyoishi na familia yako hapo nyumbani "Pastor Mgogo UMEELEWA EEH NGOJA TUZIKE KWANZA NTARUDI TENAAAAA
  18. Tanzaniavate

    JamiiForums Tanzania Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua

    Siri za Saikolojia: Mbinu 5 za Kuwashawishi Watu Bila Wao Kujua Umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu wana uwezo wa kuwashawishi wengine kwa urahisi? Sio kwa sababu wanatumia nguvu, bali wanajua siri za saikolojia ya binadamu. Kuelewa mbinu hizi kunaweza kukusaidia katika biashara...
  19. H

    JamiiForums Tanzania "KUAMINI" ni mashaka bali ni "KUJUA"

    Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu. Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu. Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kujua Yu wap Dkt. Wilbroad Slaa

    Habari ya jion wanajanvi. Ningependa kujua alipo gwiji uyu wa siasa apa Tanzania na ni lipi neno lake kuhusu kesi hii ya Lissu na hususan baada ya taarifa ya leo kuhusu wale waitwao mashahidi wa siri.
Back
Top Bottom