Ukiwa Airtel na tena ukawa umejiunga na bando za SME (Small and Medium-sized Enteprises) unapata 22GB kwa 20,000 TShs valid kwa mwezi mmoja. Kujiunga *149*91#Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini please mwenye chimbo msaada
ya miez sita bado ipoKuna jamaa yuko humo huduma zake uhakika sema asaiv Halotel wametoa ya Miezi minne imekuwa mwezi mmoja na wiki tu.
Unapotoshwa unapotosheka why!Eeh jamani ndugu zangu yoyote mwenye kujua chimbo la bei rahisi la bando tafazali share hapa .nilikua natumia bando la halotel 10 gb 10 sasa silipati tena inasekana line nyingi zimepigwa pini please mwenye chimbo msaada
Namimi nashangaa anavosema halotel zimefungiwa na Jana nimetoka kuunga bando GB 20_ kwa 20000Unapotoshwa unapotosheka why!
Line hii ninayoongelea ni ya 'halotel 10'.
Mitandao mingine wazinguaji, sidhani kama wana msaada kama Halotel.
Halotel hoyeee!
🔥🔥🔥Unapotoshwa unapotosheka why!
Line hii ninayoongelea ni ya 'halotel 10'.
Mitandao mingine wazinguaji, sidhani kama wana msaada kama Halotel.
Halotel hoyeee!
Tena 20k unapata 24gb mazee. Leo leo nimeunga.Namimi nashangaa anavosema halotel zimefungiwa na Jana nimetoka kuunga bando GB 20_ kwa 20000
Nipo kwenye grupu lake bando zake zilikuwa bei rahisi sana 15K Gb 23 miezi minne na uhakika sanaKuna jamaa yuko humo huduma zake uhakika sema asaiv Halotel wametoa ya Miezi minne imekuwa mwezi mmoja na wiki tu.
Nipe connection mkuuLipo la 12k gb10
Naomba connectionNipo kwenye grupu lake bando zake zilikuwa bei rahisi sana 15K Gb 23 miezi minne na uhakika sana