kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tuhuma za Jeshi la Polisi kuzuia majeruhi wasitibiwe wapelekwe mochwari ni za kusikitisha. IGP lazima ajiuzulu.

    Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi. Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa. Hivi leo polisi waliofanya...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Historia imekwisha kuandikwa Samia mwanamke wa kwanza Africa kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji mkubwa wa Damu , una nafasi ya kujiuzulu kusafisha

    Kama tunavusoma historia ya Nyerere na wenzake kutafuta Uhuru na kuingia madarakani bila umwagikaji wa damu , Ndivyo watoto wetu watasoma historia ya Mama Samia kuingia madarakani kukiwepo umwagikaji wa damu, Wataenda mbali zaidi na kujiuliza baada ya hapo alichukua hutua gani baada ya mababu...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mshaurini Wanu ajiuzulu angalau kupoza kipengele hicho

    Vipengele ni vingi vya Rais Samia vinavyolalamikiwa katika uteuzi wake. Aliye karibu na Wanu mshauri ajiuzulu angalau kipengele hiki kipoe
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je Samia amekataa au kushindwa kujiuzulu au analazimishwa kuendelea kubomoa nchi asiwe na pa kukimbilia?

    Chonde chonde wote mnaomshauri hata kumshikiria Rais Samia. Acheni kumdanganya. Mtamponza. Tanzania ishamtoka atake asitake. Namshauri afanye maamuzi magumu mapema kabla umma haujamuamulia na akaumia. Binadamu hukosea. Hata hivyo, hakuna kosa kama kuendelea kung'ang'ania au kurudia kosa...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Waafrika kujiuzulu kwao huwa ni kama kifo ni Msamiati mzito Kwao

    Nilitegemea kwa mambo yaliyotokea October 29 basi nilitegemea kuona watu wakijiuzulu lakini wapi bado wamo. Bado ni neno kujiuzulu kwa Tanzania ni kama msamiati ni kama kifo Msamiati mgumu sana hapo...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kwa kujiuzulu nafasi zao

    Mzee Clemence Mwandambo anasema Katika nchi zenye kuwajibika leo hii IGP na Mkuu wa Usalama wa taifa walitakiwa kuwajibika kujiuzulu nafasi zao, waache ofisi wazi waingie wengine. Anaendelea kwa kuongeza kuwa, Huwezi kushughulikia maharage yaliyoungua unamwagia maji kwenye sufuria harufu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ili kulinda hadhi yake na Majaji wengine ajiuzulu

    Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
  9. Life2

    JamiiForums Tanzania Nlitegemea kujiuzulu kwa viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama mpaka sasa.

    Mwenyezi Mungu atusamehe watanganyika, Nimeshindwa kulala ndugu zangu, najuta sana kwanini nimeangalia hizi video za mauaji ya watanzania wenzetu. Je kama mimi nashindwa kulala vipi aliyetoa amri ya haya mauaji ya halaiki au aliyeshiriki? Kama huko walipo wanaamani hakika watakua wasaidizi wa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Skauti wa Simba Mels Dalder ajiuzulu kwasababu haioni nafasi yake ndani ya Klabu

    Mels Dalder raia wa Uholanzi ambaye ni Chief Scout wa Simba ametangaza kupitia ukurasa wake wa Instagram kujiuzulu wadhfa wake ndani ya Simba huku akiweka wazi kuwa sababu hajioni kama anapita njia moja na mwelekeo wa Klabu kwasasa, yaani yeye ana vision nyingine ila kinachofanyika ni kingine...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sexless: Nashauri kila mzalendo ajitenge na serikali hii kwa kujiuzulu nafasi yake kama alivyofanya Polepole

    Wapenda haki na mabadiliko wote walioko ndani ya serikali wnapaswa kuhiriki ktk vita dhidi ukandamizaji wa demokrasia na uonevu unaofanywa na serikali hii kwa njia hii.
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji kujiuzulu kabla ya tarehe 16 Sept ameona nini?

    Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu) kutokuwa na imani n kikosi chake msimu huu alimtonya kondakta (Mo) kuwa kikosi chetu ni dhaifu sana...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka 2025?

    Hii Taarifa ya GSM kujiuzulu ni ya mwaka huu?
  15. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Serikali itamkamata Polepole kwa ajili ya barua ya kujiuzulu na kauli zake, basi huo ni udhihirisho kamili kwamba tuna serikali ya kidikteta

    Hebu niambeni, nyie wote mnaoshabikia na mnaotarajia Polepole akamatwe, akamatwe kwa kosa gani alilofanya? Hadi sasa hebu tuseme wazi, Polepole amevunja sheria ipi ya nchi? Kusema hawezi kufanya kazi na serikali inayokiuka taratibu? Au serikali yenye makandokando yasiyoeleweka kuhusu utekaji na...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya barua ya kujiuzulu, Polepole atambue kwamba Press Conference ina jambo moja kwake, akisimama nchale akikimbia nchale

    Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania. Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natamani mtu mmoja ajiuzulu

    Kusema tu ukweli nahisi mtu mmoja ajiuzulu tupone. Weka jina la unayetamani ajiuzulu hata leo.
  18. Five55

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujiuzulu kwa Polepole na maswali 7 yanayofikirisha

    Na. Manase Visulo Nikiri kwamba taarifa za kujiuzulu kwa Balozi wetu nchini Cuba, Balozi Polepole sio jambo lililotarajiwa wala kufikiriwa na tulio wengi. Nikwasababu hiyo naomba kuteta nanyi kwa kusema mambo Saba (7 ) ikiwa sita ni ya kufikirisha kwa kuzingatia historia ya Balozi Polepole...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Anaye trend sasa ni Humphrey Polepole, tupitie mawazo ya wadau wanasema nini kuhusu kujiuzulu

    Maria Sarungi NASEMA KILA SIKU #TutaelewanaTu 🚨‼️ Pole zako kaka Humphrey Mara ya mwisho tuliongea ana kwa ana ulikuwa insider wa utawala wa Magufuli na ulinifokea sana! Uzuri mi naamini muda ni mwalimu mzuri! Nikakuacha sikukujibu! Ulikuwa sehemu ya genge lililoniPERSECUTE na kuninyanyasa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nitaijibu Barua Ya Kujiuzulu ya Humphrey Polepole kwa Hoja Nzito na kuonyesha Unafiki wake na wale wanaomtumia kumyumbisha Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania , Muda wowote nitaijibu barua ya kujiuzulu iliyoandikwa na polepole aliyekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Cuba. Nitazijibu hoja zote alizoziandika katika barua yake. Nitajibu kwa kufafanua kwa undani kabisa na kuonyesha Unafiki wake wa Kiwango cha juu alichoonyesha kupitia...
Back
Top Bottom