kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. britanicca

    JamiiForums Tanzania Biden alimwambia Obama Kidogo ajiuzulu

    Utawala bora Uuzwaji Bandari ya Washington DC Utekwaji wa wamarekani Uchumi ku fubaa Biden alikuwa sahihi kwamba muhula Mwingine hagombei Kama mwenza
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ACT Wazelendo yawataka IGP na Waziri wa Mambo ya Ndani kujiuzulu kutokana na vitendo vya Utekaji na mauji ya raia wasio na hatia

    "Matukio ya kuuawa, kupotea na kutekwa kwa wananchi, mwaka 2024 umeshuhudia ongezeko la vitendo vya utekwaji, kupotezwa, na hata mauaji ya wananchi wasio na hatia, visa na takwimu ya matukio zaidi ya 150 ya aina hii yamerekodiwa huku wengi wa wahanga (waathirika) wakiwa ni wanaharakati na...
  3. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau Januari 6 ametangaza nia yake ya kujiuzulu kama kiongozi wa chama na kama Waziri Mkuu wa nchi hiyo mara tu baada ya chama chake kumchagua kiongozi wake mpya. Kwenye hotuba yake ambayo ameitoa muda mchache uliopita, Trudeau alisema kuwa "nchi hii...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lasema liko tayari kujiuzulu huko Korea Kusini baada ya kushindwa kwa Amri ya Utawala wa Kijeshi

    Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic' amedai uamuzi wa Rais Yoon Suk Yeol wa kutangaza Utawala wa Kijeshi Desemba 3, 2024 ni kitendo cha...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Nsokolo ajiuzulu nafasi ya Urais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC)

    YAH: KUJIUZULU RASMI KWA RAIS WA UTPC Husika na kichwa cha habari hapo juu 12 Novemba 2024 Napenda kuwafahamisha kuwa tumepokea rasmi barua ya kujiuzulu kwa Rais wa UTPC Bw. Deogratius Nsokolo tarehe 10 Novemba, 2024. Baada ya kupata uteuzi na kupata wadhifa ambao kuendelea na kazi yake ya urais...
  7. 5523

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa Canterbury ajiuzulu kwa kashfa ya unyanyasaji iliyokumba Kanisa

    Askofu Mkuu wa Canterbury ametangaza kujiuzulu wadhifa wake kufuatia ripoti ya kulaaniwa kuhusu mnyanyasaji mkubwa wa watoto anayehusishwa na Kanisa la Uingereza. Uchunguzi uligundua kuwa Justin Welby, 68, "angeweza na alipaswa" kuripoti unyanyasaji wa John Smyth kwa wavulana na vijana kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unadhani kama Spika mstaafu Ndugai angelikataa kujiuzulu , nini kingelitokea?

    1. Mimi nadhani, my intuition inaniambia kuwa kufuatana na hali ya sasa ya usalama wa wananchi na yanayoendela ya utekaji, and the like, ANGELITEKWA NA KUPOTEZWA Wewe unasemaje?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndungai ulipaswa kuwa kama Gachagua, Naibu Rais wa Kenya , unaondolewa kibishi sio kuwahi kujiuzulu baada ya kupigwa mkwara kidogo

    Ndugai pamoja na kuwa mwamba kwa wapinzani ulishindwa kudinda kama Gachagua ,hata kama ataondolewa kwa masanet kupiga kura lakini ameonyaesha ukomavu kama mwanasiasa Ndugai uliogopa nini mzee wangu ? Mbona haukuonyesha ubabe hata kidogo jinsi ulivyokuwa unawaonyesha wapinzani ?, ili wasumbuke...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla: Siasa na Uongozi ni Vita, niliomba kujiuzulu mara mbili, bila kulindana mnajikuta mnamalizana

    Kumbe Hamisi Kigwangalla aliwahi kuandika barua za kujiuzulu Uwaziri mara mbili akiwa Wizara ya Maliasili, akidai sababu ni vitu vya kipuuzi na masuala ya umbeya. Barua ya kwanza ilichanwa mbele yake, na ya pili hajui iliishia wapi, lakini hakuondolewa baada ya vikao kadhaa. "Mimi nimewahi...
  11. Sodoku Myebusi

    JamiiForums Tanzania Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

    Mambo yamekorogana. Wayazuni walaaniwe kabisa.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

    Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua, amejigamba kwa kudai kwamba yeye ndie pekee aliesababisha na kuchangia pakubwa Rais Dr. William Ruto akashinda uchaguzi wa 2022, la si hivyo bila jina lake kuwako kwenye karatasi za kupigia kura, kamwe asingeshinda urais wa Jamuhiri ya Kenya wakati huo...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu sio suluhisho la changamoto ndani ya dhamana ulopewa kuisimama kwa niaba ya umma

    Ng'ang'ana, simamia na kuongoza wizara, mamlaka au taasisi ulopewa kuisimamia kwa weledi, maarifa, bidii na ujasiri mkubwa, bila kubabaika, wala kuzingatia shinikizo ambazo hazina umuhimu wowote hasa kutoka kwa wanasiasa waliofilisika hoja na kupoteza uelekeo. Muhimu zaidi zingatia sheria...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Fahamu watanzania 5 walioiteka ndege ya Tanzania wakitaka Nyerere ajiuzulu

    mwaka 1982 february taree 26 ipo miamba mitano ilihisi inaweza kuitikisa serikali kwa kuteka ndege ya Tanzania ATC. ndege hiyo ilikua inatoka mwanza inakuja Dar es salaam imetua saa 11 jioni, kwa kipindi hicho uwanja wa ndege wa Mwanza ulikua hauna ulinzi kwahiyo hao jamaa watano walikuwemo...
  15. Msanii

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni na IGP Wambura, mnasubiri nini kujiuzulu?

    Kwa haya yaliyotokea na yanayoendelea kutokea. Ni ukweli kwamba imani yetu wananchi kwa jeshi la polisi imeshapotea. Tumepoteza imani na Rais pia. Sababu za kupoteza imani ni kutochukua hatua thabiti dhidi ya vilio vyetu kuhusu utekaji, upotezaji na uuaji wa wananchi wa Tanzania. Kwa kuwa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tafrani yazuka msibani Tanga: Waombolezaji wakataa dua ya Waziri Masauni wakimtaka ajiuzulu

    Msiba wa mwanachama wa CHADEMA, Ally Mohamed Kibao, huko mkoani Tanga, uligubikwa kuwa na hali ya sintofahamu baada ya waombolezaji kumkataa Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Masauni, na kumtaka aachie ngazi. Tafrani hiyo ilisababisha Waziri kusitisha dua yake kwenye shughuli hiyo ya mazishi...
  17. figganigga

    JamiiForums Tanzania Arsene Bucuti, Msemaji wa Vital O ajiuzulu, ni baada ya Kichapo kutonga Yanga Afrika

    Arsene Bucuti, Msemaji wa Timu ya Mpira kutoka Burundi ya Vital O, ameamua kujiuzulu. Ni baada ya Timu yake kufungwa na Timu kutoka Tanzania ya Young Africans. Amesema ametimiza ahadi yake. Kabla ya Mchezo uliochezwa Azam Complex Mkoani Dar Es Salaam, aliahidi kwamba Timu yake ya Vital O...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu: Waziri Masauni ajiuzulu kwa kushindwa kudhibiti vitendo vya ukatili na uhalifu

    Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni kujiuzulu kutokana na kushindwa kudhibiti vitendo hivyo kutokana na kuongezeka kwa vitendo vya ukatili nchini. Shaibu ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Katoro, Wilayani...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia

    Abdulrahman Kinana Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambaye amemwandikia barua ya kuomba kupumzika. Katika majibu yake Mwenyekiti...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Natamani kuiona barua ya Kinana kujiuzulu

    Hili ndio jambo nalotamani kuliona kwa sasa ili tuweze ku-balance story na pengine kujua ukweli halisi wa mambo. Hata hivyo, sitashangaa wakati wote kuanzia sasa barua hiyo ikaanza kusambaa mitandaoni unless barua ya CCM kuhusu Kinana kujiuzulu inasema ukweli. Binafsi, barua hii ya CCM naiona...
Back
Top Bottom