kujiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Katika nchi zinazojitambua, kumlazimisha kiongozi anaetetea haki za wananchi kama Dr. Nchimbi kujiuzulu kutasbabisha ghasia za kupindua nchi

    NI Tanzania tu ambapo wananchi wanakaa kimya pale ambapo watetezi wa haki zao kama kina Ben Saanane, Ali Kibao, Luhaga Mpina, Tundu Lissu, Job Ndugai, Hamphrey Pole Pole au hata Dr. Nchimbi, wanaondolewa katika uongozi, kutekwa na kuuwawa au kufunguliwa kesi za mchongo na watu wanakaa kimya tu...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hizi ni zama za kujiuzulu kwa barua

    Utake usitake barua yako ya kujiuzulu itakuwa hadharani. Hayati Spika Ndugai, Makamu wa Rais mstaafu Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu wa CCM mstaafu Daniel Chongolo wote walijiuzulu kwa barua. Anayefata atakuwa nani?
  3. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Raisi kujiuzulu nini chanzo?

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma. Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha kuhusu uamuzi huo pamoja...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Kazungu atangaza kujiuzulu Siasa, akemea uchawa

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CDE Bakari Kazungu, ametangaza rasmi kujiuzulu na kujiepusha na siasa za kukitetea chama hicho katika mitandao ya kijamii. Kazungu, ambaye amekuwa mwanachama wa CCM tangu mwaka 2007 na kushika nafasi mbalimbali za uongozi katika ngazi ya kata, wilaya, na mkoa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 2027 Countdown Yaanza: Watumishi wa Umma Wanaotaka Viti Wapewa Hadi Februari 10 Kujiuzulu

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imetangaza kuwa watumishi wa umma wanaopanga kuwania nyadhifa mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 10, 2027 wanatakiwa kujiuzulu kufikia Februari 10, 2027. Mwenyekiti wa IEBC Erastus Ethekon amesema tarehe hiyo ni miezi sita kabla ya uchaguzi na...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu maanake abebe kesi zote za mauaji akabuli kuachia kundi la mauji bila ulinzi wa vyombo haiwezekani kwa hiari hata katiba mpya sahauni

    Mtasubiri sana kujiuzulu Kwa hiari Nani Yuko tayari kubebeshwa lawama zote za mauaji ? Nani Yuko tayari kujikabidhi Icc PEKEE yake ? Utakuwa usaliti Kwa kundi lote na mtandao na washauri wake Nani Yuko tayari kuachilia mpini ashile MAKALI ya Upanga Hata maboresho ya katiba yatafanyika...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mwanahalisi: Nchimbi agoma kujiuzulu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi. Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hii habari ya Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu imekaaje? Dalili zinaonyesha kuna mpasuko mkubwa sana.

    Kama hii kitu ina ukweli basi taifa letu lina mpasuko mkubwa sana👇
  9. O

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Nchimbi agoma kujiuzulu

  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Gunter Guillaume: Jasusi aliyosababisha Kansela wa ujerumani kujiuzulu

    Hebu Fikiria kwa sekunde moja. Unatawala moja ya mataifa yenye nguvu zaidi barani Ulaya. Kila siku unajadili siri za vita, diplomasia, NATO, na mustakabali wa taifa lako. Pembeni yako amesimama mtu unayemwamini kabisa. Anakupangia ratiba, anakusindikiza kwenye safari za kikazi, anakuletea...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kwani Samia si ajiuzulu tu

    Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa
  12. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Latvia Evika Silina atangaza kujiuzulu

    Waziri Mkuu wa Latvia, Evika Siliņa, ametangaza siku ya Alhamisi kuwa atajiuzulu, hatua inayosababisha kusambaratika kwa serikali ya muungano nchini humo kabla ya uchaguzi muhimu wa bunge unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba. Siliņa, ambaye ni kiongozi wa mrengo wa kati-kulia, alitangaza uamuzi...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kutokana na vifo zaidi ya 500, baadhi ya viongozi wa juu wa serikali na vyombo vya ulinzi walipaswa kujiuzulu.

    Haijalishi nani mhusika au nani mwenye makosa; kitendo cha viongozi wa juu wa serikali pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kujiuzulu kufuatia vifo vya Watanzania zaidi ya 500 kinaweka mfano hatari sana kwa siku zijazo linapokuja suala la uwajibikaji katika kulinda uhai wa raia.
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Raisi wa FIFA Ametoa Masaa 72 Uongozi wa CAF kujiuzulu

    kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa rasis wa fifa gian infantinho ameta masa 72 kwa uongozi wa caf kujiuzulu Katika chapisho hilo ambalo limesambazwa kwenye mtandao huwa facebook lia nukuu ya ujumbe kama ufuatavyo” BREAKING NEWS...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuondoa dhana ya uchawa, Prof Kabudi ajiuzulu kama Yule wa US

    Huko US, kuna kiongozi WA counter intelligence ame jiuzulu na kupinga us kuipiga vita Iran, Kwani Iran sio tishio Kwa U.s
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  17. G

    JamiiForums Tanzania Ukweli kama Amiri Jeshi mkuu ameshindwa Jukumu la kulinda raia na kinyume chake raia wanatekwa na kuuawa hivyo ajiuzulu au atukabidhi wauaji

    Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya jamhuri ni waasi wa taifa letu tukufu Serikali ya uasi Ile inashindwa kulinda katiba ya nchi na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Waziri wa Mambo ya Ndani (Simbachawene) yasemekana aliandika barua ya kujiuzulu

    Watu wa ndani wanasema waziri aliandika barua ya kujiuzulu baada ya kiburi cha maafisa wa Polisi na maovu mengi aliyokutana nayo. Kama Polepole, Mama Samia kabadilisha na kujifanya kumtengua kwa hasira. Hii ni tabia ya Mama ya kawaida ya kiburi kilicho pitiliza. Polepole alitoa barua...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ivory Coast ajiuzulu

    Rais wa Côte d'Ivoire, Alassane Ouattara, amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Robert Beugre Mambe pamoja na serikali yake siku ya Jumatano, kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais. Hatua hiyo inafungua njia ya kuundwa kwa serikali mpya kufuatia uchaguzi wa wabunge uliofanyika Desemba 27...
  20. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuona kazi kujiuzulu

    1. Mwaka 1955 alijiuzulu ualimu Pugu sekondari baada ya kuambiwa achague siasa au ualimu 2. Kama mwaka 1958 hivi alijiuzulu ubunge baada ya kuona hamna anachofanya, mapendekezo yake yote yanatupiliwa mbali. 3. Mwaka 1962 alijiuzulu uwaziri mkuu 4. Akamaliza na kujiuzulu/kung'atuka urais. Au...
Back
Top Bottom