Ndugu zangu kwanza niwapongeze sana kwa moyo wenu wa pekee wa kutamani kwa dhati kabisa kuitumikia nchi yetu richa ya JESHI LA KUJENGA TAIFA kujidhatiti dhahiri kuwa awatoi Ajira😭😭😭
Kitendo cha JKT kutoa Rai kuwa awatoi Ajira huo ni kama mchujo wa kwanza tunaita🤣🤣🤣🤣 kwa ambae hatolizika maana...
Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?
Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
Siku ya Kimataifa ya Kujitolea (IVD) huadhimishwa kila mwaka mnamo Desemba 5. Ni siku iliyoteuliwa na Umoja wa Mataifa kusherehekea na kutambua michango ya wafanyakazi wa kujitolea duniani kote.
Siku hiyo inatoa fursa ya kuongeza ufahamu kuhusu umuhimu wa kujitolea na kuwaheshimu watu binafsi...
Jikumbushe kwanza huu uzi;
https://www.jamiiforums.com/threads/ninajitolea-kutoa-namba-za-machimbo-ya-china-kwa-wapambanaji-wenzangu.2137915/
Nia yangu ilikuwa kusaidiana bila kujali kupata chochote baada ya hapo ila katika hali ya kushangaza baadhi ya wachina ambao tumeshakuwa marafiki sana...
Wakuu Habari,
Zenu nilibahatika kuhitimu course ya water supply and sanitation engineering pale chuo cha maji ubungo kwa ngazi ya NTA 4.
Changamoto ambayo nakutana nayo katika hivi vituo vya dawasa Ata nafasi ya kupatia uzoefu nakosa namaanisha kujitolea ngumu ila wapo form 4 leavers dawasa...
Wakuu nauliza swali kutokana na Tangazo la kazi la NSSF, wanasema only wanaojitolea na mikataba ya muda mfupi.
Sasa je Kuna watu wanajitolea katika taasisi mbali mbali, za Serikali. Na wana vigezo husika kama vinavyotakiwa lakini hawaruhusiwi kuomba kwa sababu ya hawajajitolea NSSF.
So...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
TUNAOMBA serikali yetu sikivu ipige marufuku kujitolea ili vijana tupate ajira na pia kujitolea ni upendeleo nafasi hazipo wazi na mpaka uwe na connection.
Pia tunaomba ajira zote za kudumu kwenye mamlaka ya serikali ndogo (local government) wizara...
Habarini Wana JF
Mimi ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili nasoma Bsc in chemistry. Hivyo nahitaji kujitolea wakati wa likizo kuanzia mwezi wa nane Hadi kumi na moja. Mwenye connection kiwanda chochote au mwenye kujua taratibu za kupata nafasi naomba Msaada.
@everyone
Serikali inapaswa kufikiria mara mbili kabla ya kutekeleza programu ya walimu na waganga wa kujitotea. Kwa mujibu wa utafiti wa haraka nilioufanya, nimebaini hasara zake ni kubwa mara 100 kuliko faida. Utafiti wangu umejikita katika hoja zifuarazo:
Mosi, kwa mujibu wa muongozo uliotolewa na...
Ndugu zangu watanzania,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais huyu mzalendo, mchapa kazi, Jasiri, shujaa , shupavu, madhubuti na imara mh mama Samia suluhu Hassan amejitoa na kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania, amekabidhi muda wake katika kuleta Tabasamu, furaha na...
Kuna wabunge wanatoa mawazo ya hila hadi wanakera!! Ni unafiki mkubwa sana!! Lengo lao ni kutaka kuwapitisha watu wao kwenye ajira ya utumishi wa umma kwa mlango wa nyuma wa "kujitolea". Hii itatesa sana wale watakaoingia kichwa kichwa kujitolea wakati wako nje ya kundi hili la wateule...
Ukiweka sharti la kujitolea ili mtu apewe ajira maana yake ni kwamba kila mwajiriwa mtarajiwa atataka kujitolea! SWALI: Je waajiriwa wote wanaweza kupata fursa ya kujitolea? Jibu la dhati ni HAPANA. Sasa hivi kuna vijana takriban 600,000 wanasaka ajira. Je tuna uwezo wa kuwapa wote hawa fursa ya...
Hali yetu ya uchumi ni mbaya na ndio maana watu wetu wako tayari kufanyiwa lolote ili TU labda wajisogeze kidogo.
Hata kama ni kwa kuhatarisha maisha Yao !! Kwanini wasiruhusiwe iwe na utaratibu maalumu namna na jinsi ya kujitolea.
Figo ni kiungo ambacho wagonjwa wengi wanateseka kama Kuna...
Habari,
Kujitolea katika Serikalini au kwenye private kwa sasa imekuwa ni ugonjwa mkubwa sana nchini.
Baada ya Uhaba mkubwa wa ajira nchini, kumekuwa na wimbi la Hali ya mashirika,taasisi za umma na binafsi kuhitaji watu wa kujitolea kwenye sehemu za kazi.
Kiuhalisia kujitolea sio jambo baya...
Habari wakuu.
Mimi ni mwanachuo wa DIT mwaka wa kwanza,ngazi ya Ordinary Diploma in Electrical engineering.
Katika kipindi hiki cha likizo ya wiki mbili,nilikuwa naomba connection kama nitaweza kupata sehemu nikajiegeza kwa ajili ya kupata ujuzi nje ya workshops.
Sehemu iwe yoyote...
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana...
Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada?
Viongozi wa mkoa...
Kata ya Kiriba ya Jimbo la Musoma Vijijini imepata Sekondari ya pili ili kutatua matatizo ya umbali mrefu unaotembewa na mwanafunzi wa Kata hiyo kwenda masomoni Kiriba Sekondari.
Vilevile, Shule hiyo mpya, iitwayo Bwai Sekondari, itapunguza mirundikano ya wanafunzi kwenye madarasa ya Kiriba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.