Natafutafuta kituo cha kujitolea nimesoma kozi ya Clinical Medicine

bK698

Member
Dec 20, 2023
12
9
Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate (tabibu msaidizi)/ clinical Assistant, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe zahanati au kituo cha afya, naweza kufanya kazi maabara, duka la dawa, OPD nk.

Mawasiliano yangu 0623332979

NAWASHUKURU.
 
Leseni umebeba? Kwanini ujitolee vijiwe vya kupiga pesa vipo endelea kutafuta
 
Hahaaa kiongozi hili suala niliambiwa kabla sijamaliza ila nilipomaliza nilijikuta nazunguka mwaka mzima bila bila nikaona nirudi nangu nangurukuru nipambane tu na mtaa kwa namna zingine.😃🙌
 
Kijana azunguke japo vijiwe vya co vingumu😄😄 zahanati zenyewe njaa tu wanalipa 150k laki 3 hapo ndo wamekulipa sana
 
Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana nipo mkoa wa mwanza, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (utabibu) katika ngazi ya certificate (tabibu msaidizi)/ clinical Assistant, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe zahanati au kituo cha afya, naweza kufanya kazi maabara, duka la dawa, OPD nk.

Mawasiliano yangu 0623332979

NAWASHUKURU.
Kama una Leseni njoo pm,lakini uwe tayari kufanya kazi Wilaya au Mkoa wowote
 
Back
Top Bottom